Tetesi: Mange Kimambi adai Benki Kuu Tanzania (BoT) imechapisha pesa Makontena kwa Makontena (Money Printing)

Tatzo siyo theory ya uchumi!
Tatzo ni pale unapotumia propaganda na taarifa za kuokoteza ili u prove hyo nadharia ya uchumi kama ulivyoielezea!

Mabadiliko hayataletwa kwa taarifa za kuokoteza na kujitungia
Ni wapi nimesema hiyo taarifa ya mange ni ya ukweli ebu nionyeshe
 
Kununua fungua la nyanya uende na pesa kwenye kikapu kama ni kweli ndio utakuwa muelekeo
 
Uelewa wako wa somo la uchumi ni mdogo sana
Fedha nyingi kujaa kwenye mzunguko ni hatari kwa uchumi kama ni kweli basi hii itapelekea bot kuongeza interest rate kupitia contraction monetary policy na madhara yake ni makubwa

Usipende kudandia mambo usiyoyajua kama alichoongea ni kweli kwa sababu hakuna uthibitisho basi ni hatari sana

Hiyo inaitwa Quantitative Easing (QE)
Hako kadada ni kilaza sema mdomo ndio umlisha.....
Na nyie mnakurupuka na vielimu vya uchumi kutoka vyuo vya kibongo....
 
wamegawana zote Samia na genge lake, hivyo kinachoendelea sasa ni wanachapisha pesa makontena kwa makontena (money printing) kwaajili ya kugharamia uchaguzi na kuzuia maandamano, kwenye maandamano pekee wanaelekea kutumia matrilioni na matrilioni kuyazuia hayo maandamano

Hayo matangopori endeleeni kulishwa PEKE yenu Mimi siwezi kuya digest Wala kuya absorb shikweni nyie masikio
assumptions za uchumi kwa kweli zinkataa. Yaani BOT ichapishe tu fedha hovyo hovyo.. daaah, tunafikiri BOT ni printing machine ya fedha tu??
 
Kufika kama zimbabwe kuna njia nyingi sio lazima iwe vikwazo pekee yake kuwa na fedha nyingi sana kwenye mzunguko wa uchumi ni tatizo baya sana ndo maana kuna hizo policy mbili
  1. Contraction monetary policy
  2. Expansion monetary policy
Sahihi kabisa mkuu;

Uchumi sio stori za vijiweni.. Uchumi ni fani complicated sana.. hauwezi tu kuyajaza mapesa mwenye mzunguko eti kisa kuna watu wamezichukua...lakini pia kibali cha kuprint fedha sio kirahisi rahisi hivyo; na Federal banks ni highly regulated, ukifanya kosa dogo tu kwenye monetary policy impact yake huwa ni massive..
 
Hili taarifa inatia mashaka, tujiulize... Kwani BOT Wana access ya kuprint pesa/noti?

Sote tunajua pesa zinatoka au kuprintiwa wapi, Sasa iweje Leo hii BOT waanze kuprint pesa wao wenyewe?
Mkuu, watanzani waambue chochote tu watakubali.. kuprint hela sio jambo rahisi kama watu wanavyoweza kufikiri.
 
Watumishi wa Benki kuu Tanzania (BOT) wamempa taarifa Mange Kimambi kuwa kwa sasa Hazina hakuna pesa, wamegawana zote Samia na genge lake, hivyo kinachoendelea sasa ni wanachapisha pesa makontena kwa makontena (money printing) kwaajili ya kugharamia uchaguzi na kuzuia maandamano, kwenye maandamano pekee wanaelekea kutumia matrilioni na matrilioni kuyazuia hayo maandamano.

My take:
Watanzania wenzangu tujiandae na mfumuko mkubwa wa bei. Na pengine baada ya taarifa hii, basi anguko la thamani ya pesa itakwenda kwa kasi mno maana wafanyabiashara na matajiri wengine wamejua hii taarifa sasa, wataanza kukimbizana kubadilisha pesa zao kwenda dola au pesa yoyote ya kigeni kujilinda.

Sasa naanza kuelewa kwanini Abdul wanabadilisha pesa zao kwenda kwenye dola, wanajua wanachofanya ili kulinda thamani ya mali zao na akiba zao juu ya anguko la thamani ya pesa ya Tanzania itakayotokea au imeanza kutokea, na pia waendelee kuwa na uwezo wa kufanya manunuzi ya nje ya nchi baadae pale pesa yetu ya TZ itakapokuwa hoi bin taaban.

Tahadhari:
Mfumuko wa bei unakuja Tanzania, na kusababisha mahela ya kitanzania kujaa mtaani na kutokuwa na thaman. New Zimbabwe is loading…
Wenye hisa CRDB anzeni kuziuza faster.
 
Mange anawalisha sana nyumbu matango pori. Shilingi bado iko vizuri against USD. Katika vitu ambavyo mama kapambana navyo ni kulinda thamani ya shilingi ya kitanzania. Kapokea nchi dola ikiwa sawa na Tsh 2300 na baada ya miaka mitano leo dola ni 2400. Kaipambania sana.
 
Uelewa wako wa somo la uchumi ni mdogo sana
Fedha nyingi kujaa kwenye mzunguko ni hatari kwa uchumi kama ni kweli basi hii itapelekea bot kuongeza interest rate kupitia contraction monetary policy na madhara yake ni makubwa

Usipende kudandia mambo usiyoyajua kama alichoongea ni kweli kwa sababu hakuna uthibitisho basi ni hatari sana
wewe ni mpumbavu usie na akili
 
Mange anawalisha sana nyumbu matango pori. Shilingi bado iko vizuri against USD. Katika vitu ambavyo mama kapambana navyo ni kulinda thamani ya shilingi ya kitanzania. Kapokea nchi dola ikiwa sawa na Tsh 2300 na baada ya miaka mitano leo dola ni 2400. Kaipambania sana.
Watu hawajuhi tu mama amejitahidi Sana. Economy bado ni stable.
 
Write your reply...hahaha nchi ina wapumbavu wengi sana hasa humu jf. Haka kadada ndio kanawatoa akili hivi!
Manyumbu wengi sana wakijidai wapinzani.Matango Pori ya mjinga Mange kwao ndio imekuwa facts.Great thinkers my foot.Hii mijitu shule ilifundishwa ujinga?
 
Watumishi wa Benki kuu Tanzania (BOT) wamempa taarifa Mange Kimambi kuwa kwa sasa Hazina hakuna pesa, wamegawana zote Samia na genge lake, hivyo kinachoendelea sasa ni wanachapisha pesa makontena kwa makontena (money printing) kwaajili ya kugharamia uchaguzi na kuzuia maandamano, kwenye maandamano pekee wanaelekea kutumia matrilioni na matrilioni kuyazuia hayo maandamano.

My take:
Watanzania wenzangu tujiandae na mfumuko mkubwa wa bei. Na pengine baada ya taarifa hii, basi anguko la thamani ya pesa itakwenda kwa kasi mno maana wafanyabiashara na matajiri wengine wamejua hii taarifa sasa, wataanza kukimbizana kubadilisha pesa zao kwenda dola au pesa yoyote ya kigeni kujilinda.

Sasa naanza kuelewa kwanini Abdul wanabadilisha pesa zao kwenda kwenye dola, wanajua wanachofanya ili kulinda thamani ya mali zao na akiba zao juu ya anguko la thamani ya pesa ya Tanzania itakayotokea au imeanza kutokea, na pia waendelee kuwa na uwezo wa kufanya manunuzi ya nje ya nchi baadae pale pesa yetu ya TZ itakapokuwa hoi bin taaban.

Tahadhari:
Mfumuko wa bei unakuja Tanzania, na kusababisha mahela ya kitanzania kujaa mtaani na kutokuwa na thaman. New Zimbabwe is loading…
HUWA SIPEPESI MACHO KWENYE HUU UKWELI...WAISLAMU HAWAFAI KUWA VIONGOZI NDIYO WANAO TUHALIBIAGA HII NCHI YETU
1)HAWANA AKILI YA UONGOZI HATA CHEMBE
2)HAWANA UZALENDO HATA CHEMBE
3)NI MAFISADI WASIO NA KIASI
4)WANAFIKI WA DARAJA YA JUU
5)WANATABIA ZA KUABUDU WAARABU NA MABEBERU
 
Watumishi wa Benki kuu Tanzania (BOT) wamempa taarifa Mange Kimambi kuwa kwa sasa Hazina hakuna pesa, wamegawana zote Samia na genge lake, hivyo kinachoendelea sasa ni wanachapisha pesa makontena kwa makontena (money printing) kwaajili ya kugharamia uchaguzi na kuzuia maandamano, kwenye maandamano pekee wanaelekea kutumia matrilioni na matrilioni kuyazuia hayo maandamano.

My take:
Watanzania wenzangu tujiandae na mfumuko mkubwa wa bei. Na pengine baada ya taarifa hii, basi anguko la thamani ya pesa itakwenda kwa kasi mno maana wafanyabiashara na matajiri wengine wamejua hii taarifa sasa, wataanza kukimbizana kubadilisha pesa zao kwenda dola au pesa yoyote ya kigeni kujilinda.

Sasa naanza kuelewa kwanini Abdul wanabadilisha pesa zao kwenda kwenye dola, wanajua wanachofanya ili kulinda thamani ya mali zao na akiba zao juu ya anguko la thamani ya pesa ya Tanzania itakayotokea au imeanza kutokea, na pia waendelee kuwa na uwezo wa kufanya manunuzi ya nje ya nchi baadae pale pesa yetu ya TZ itakapokuwa hoi bin taaban.

Tahadhari:
Mfumuko wa bei unakuja Tanzania, na kusababisha mahela ya kitanzania kujaa mtaani na kutokuwa na thaman. New Zimbabwe is loading…
Asante kwa taarifa, sio kila data wanayomfidi kidada ni kweli, hivyo msiamini kila anachosema!, tumieni a common sense logic to determine the facts.

  1. Ni muda mrefu nchi yetu haijachapisha new bank notes, nq noti zinachakaa, sasa ni wakati muafaka kuchapisha noti mpya za saint ya Mwigulu.
  2. Siku zote note mpya zikiletwa, zinaletwa kwenye ma container na makontena clearing inafanyika usiku, kunakuwa na ulinzi wa ajabu toka bandarini mpaka BOT.
  3. Uchapishaji is a long process and takes time, sii kweli kuwa noti mpya zimechapishwa kwa ajili ya uchaguzi.
  4. Kwa vile mimi ni mwandishi, nitawawekee ni links za mchakato wa noti mpya, ni kiasi gani, ni kampuni gani zimechapisha, kutoka nchi gani, pia najua ni container ngapi, zinaletwa na meli gani na lini lakini vingine sisemi kiusalama na kiuzalendo
  5. P
 
Back
Top Bottom