Tetesi: Mange Kimambi adai Benki Kuu Tanzania (BoT) imechapisha pesa Makontena kwa Makontena (Money Printing)

Tetesi: Mange Kimambi adai Benki Kuu Tanzania (BoT) imechapisha pesa Makontena kwa Makontena (Money Printing)

Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
Sasa mkipigwa mtasema maandamano ya amani ni haki yetu hapa unahubiri vita haya uwe mstari wa mbele na family yako mtaani..
 
  • Thanks
Reactions: Tui
WATANZANIA SIO WATU WA KUCHUJA MAMBO WANACHOPEWA NA MANGE WANACHUKUA KAMA KILIVYO NA KUSAMBAZA

TUTACHELEWA MNO. KAMA TULIVYOCHELEWA KUPENYA ULAYA KIMPIRA.
 
Sahihi kabisa mkuu;

Uchumi sio stori za vijiweni.. Uchumi ni fani complicated sana.. hauwezi tu kuyajaza mapesa mwenye mzunguko eti kisa kuna watu wamezichukua...lakini pia kibali cha kuprint fedha sio kirahisi rahisi hivyo; na Federal banks ni highly regulated, ukifanya kosa dogo tu kwenye monetary policy impact yake huwa ni massive..
Kabisa na sio uamuzi wa BOT tu hii mpaka wakubwa huko nje wanao regulate mambo ya pesa watoe kibali sio jambo unaamka asubuhi tu na print.
 
Watumishi wa Benki kuu Tanzania (BOT) wamempa taarifa Mange Kimambi kuwa kwa sasa Hazina hakuna pesa, wamegawana zote Samia na genge lake, hivyo kinachoendelea sasa ni wanachapisha pesa makontena kwa makontena (money printing) kwaajili ya kugharamia uchaguzi na kuzuia maandamano, kwenye maandamano pekee wanaelekea kutumia matrilioni na matrilioni kuyazuia hayo maandamano.

My take:
Watanzania wenzangu tujiandae na mfumuko mkubwa wa bei. Na pengine baada ya taarifa hii, basi anguko la thamani ya pesa itakwenda kwa kasi mno maana wafanyabiashara na matajiri wengine wamejua hii taarifa sasa, wataanza kukimbizana kubadilisha pesa zao kwenda dola au pesa yoyote ya kigeni kujilinda.

Sasa naanza kuelewa kwanini Abdul wanabadilisha pesa zao kwenda kwenye dola, wanajua wanachofanya ili kulinda thamani ya mali zao na akiba zao juu ya anguko la thamani ya pesa ya Tanzania itakayotokea au imeanza kutokea, na pia waendelee kuwa na uwezo wa kufanya manunuzi ya nje ya nchi baadae pale pesa yetu ya TZ itakapokuwa hoi bin taaban.

Tahadhari:
Mfumuko wa bei unakuja Tanzania, na kusababisha mahela ya kitanzania kujaa mtaani na kutokuwa na thaman. New Zimbabwe is loadin
 
WATANZANIA SIO WATU WA KUCHUJA MAMBO WANACHOPEWA NA MANGE WANACHUKUA KAMA KILIVYO NA KUSAMBAZA

TUTACHELEWA MNO. KAMA TULIVYOCHELEWA KUPENYA ULAYA KIMPIRA.
Chanzo sio Mange bali ni staff wa BOT. Haya tupe na wewe unachokijua.
 
Hazina kumalizika au kuibiwa pesa zote ni tatizo dogo kuliko kumuamini ama kumsikiliza Mange.
Yaani Mange awe ndio source of information na tukubali, hili ndio tatizo
 
Yatasemwa mengi ila ukweli ni kuwa nchi haiwez kukombolewa kwa matusi na kwa kuwasapoti wale wanayoitukana serikali na viongozi wake huo ndio ukweli...
Kuna matusi ya yale yanayofanywa na bi Mipasho ndani ya ikulu? Ikulu imegeuzwa danguro, hakuna matusi yanayoweza kuzidi hapo.
 
Level yetu ya kufikiri wa Tanzania inasikitisha sana tumefikia tunaamini kila jambo la kuambiwa hatutaki kuwaza, unadhani kuchapisha pesa ni suala la mtu anaamka tu na kuamua? Jambo kama kabla halijatokea utaona madhara yake tu moja kwa moja kwenye soko la pesa, leo hii nilitegemea tuko kwenye uchaguzi labda pesa ingekuwa imeanguka ni kawaida kipindi kama hiki watu wanakuwa na wasiwasi na kubadilisha $ kwa wingi lakini imekuwa kinyume kabisa Tanzania shilling in trade strong against$. Anakuja mtu na shutuma wanachapisha pesa na watu wanaamini tu sababu za agenda zao. Yako ya kuamini na yapo tutumie akili kidogo tu....
Sahihi kabisa Mkuu,

Kwa mujibu wa BOT leo tarehe 12 October 2025, USD inanunuliwa kwa TZS 2426 na inauzwa kwa 2450. Hii nirate ya chini ukicompare na miezi miwili mitatu iliyopita. Maana yake TZS inafanya vizuri against USD pamoja na uncertainity ya Uchaguzi.

Mara nyingi kipindi cha Uchaguzi USD huwa ina - outperfom local Currencies. Hata US wenyewe kupindi cha Uchaguzi USD uwa inashuka..

Watanzania tunashindwa sana kujadili hoja Ngumu. Tukisikia chochote tu tunabuy in. Ninadhani Mange katika hili hayuko sahihi.
 
Shida yeye mwenyewe anaambiwa tu kazi yake kupost sasa changamoto anaambiwa na nani, yeye muhimu kiwe negative.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Uelewa wako wa somo la uchumi ni mdogo sana
Fedha nyingi kujaa kwenye mzunguko ni hatari kwa uchumi kama ni kweli basi hii itapelekea bot kuongeza interest rate kupitia contraction monetary policy na madhara yake ni makubwa

Usipende kudandia mambo usiyoyajua kama alichoongea ni kweli kwa sababu hakuna uthibitisho basi ni hatari sana
Wewe rais wa vichaa kumbe akili ulishamkabidhi Mange? Shame on you.
 
Hili taarifa inatia mashaka, tujiulize... Kwani BOT Wana access ya kuprint pesa/noti?

Sote tunajua pesa zinatoka au kuprintiwa wapi, Sasa iweje Leo hii BOT waanze kuprint pesa wao wenyewe?
At their request wanaprintiww noti, BOT huwa wana contact kampuni zinazofanya hayo lakin kuna kibali maalum
 
At their request wanaprintiww noti, BOT huwa wana contact kampuni zinazofanya hayo lakin kuna kibali maalum
Sahihi, lakini BOT hawana access ya kuprint noti, hao wanaosema hivyo huwenda wanadhani pale posta ndipo noti huchapishwa kumbe sivyo.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mahela ya kitanzania yakijaa mtaani, si ndio vizuri kila mja awe na okoto,
Au mie bado sielewiiii? Mnieleweshee.
Mambo ya uchumi kidogo jau. Pesa zikiwa nyingi ni hatari sana. Utaanza kununua soda kwa Elfu 20 mfano.
 
Sahihi, lakini BOT hawana access ya kuprint noti, hao wanaosema hivyo huwenda wanadhani pale posta ndipo noti huchapishwa kumbe sivyo.
Nadhani the way mange ame present hii ishu wabongo wengi wameelewa tofauti kabisa

Kuna kampuni za ku print notes ambazo zipo nje (request kutoka bot ikiwafikia) wanafanya yao then hizo notes zinasafirishwa kuja tz

Wabongo wengi hawasomi haya mambo despite ya kuwa na smartphone
 
Watumishi wa Benki kuu Tanzania (BOT) wamempa taarifa Mange Kimambi kuwa kwa sasa Hazina hakuna pesa, wamegawana zote Samia na genge lake, hivyo kinachoendelea sasa ni wanachapisha pesa makontena kwa makontena (money printing) kwaajili ya kugharamia uchaguzi na kuzuia maandamano, kwenye maandamano pekee wanaelekea kutumia matrilioni na matrilioni kuyazuia hayo maandamano.

My take:
Watanzania wenzangu tujiandae na mfumuko mkubwa wa bei. Na pengine baada ya taarifa hii, basi anguko la thamani ya pesa itakwenda kwa kasi mno maana wafanyabiashara na matajiri wengine wamejua hii taarifa sasa, wataanza kukimbizana kubadilisha pesa zao kwenda dola au pesa yoyote ya kigeni kujilinda.

Sasa naanza kuelewa kwanini Abdul wanabadilisha pesa zao kwenda kwenye dola, wanajua wanachofanya ili kulinda thamani ya mali zao na akiba zao juu ya anguko la thamani ya pesa ya Tanzania itakayotokea au imeanza kutokea, na pia waendelee kuwa na uwezo wa kufanya manunuzi ya nje ya nchi baadae pale pesa yetu ya TZ itakapokuwa hoi bin taaban.

Tahadhari:
Mfumuko wa bei unakuja Tanzania, na kusababisha mahela ya kitanzania kujaa mtaani na kutokuwa na thaman. New Zimbabwe is loading…
Fake news?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Cha ajabu Samia alipoenda USA akapiga picha naye na kumrudishia passport yake.

Inasemekana yeye Samia na watu wake walikuwa wanampa taarifa, leaks za ikulu Wamegombana sasa hivi?
Ni mifumo ndani ya mfumo Mzee,
 
Back
Top Bottom