Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,662
- 6,888
Hilo kampuni la mabasi Esther linalipa kodi zote? Mimi nipo tayari kutembea kuliko kupanda hilo basi liitwalo Esther!Jamaa ana ukwasi siyo wa kawaida. Anashindana kumiliki mabasi na akina Shabiby na Aboud. Mabasi yake yanaitwa Esther.
Anamiliki/ anewahi kumiliki timu za Singida Big Stars, Ihefu, DTB na mara nyingine husaidia kulipa mishahara wachezaji wa Tanga.
View attachment 3049311
Kwa vile amekanusha mara kwa mara kuhusu umiliki wa mali hizi, IKIKUPENDEZA Mh Rais mpumzishe Mwigulu Nchemba hata kwa miezi 6. Kama hizo timu hazita STRUGGLE kulipa mishahara basi tutajuwa kuwa MMILIKI ni mtu mwingine.