Japo hatukupangii, mtumbue na Mwigulu Nchemba ili tujuwe nani mmiliki wa hizi timu za Ligi Kuu

Hilo kampuni la mabasi Esther linalipa kodi zote? Mimi nipo tayari kutembea kuliko kupanda hilo basi liitwalo Esther!
 
Kuna haya makampuni ya mikopo na kubeti casino anailea kweli.
 
Mwigulu anatunishiana misuli na Mo Dewji pamoja na Magori. Kwa Pesa ya walipa kodi anafanya ujinga wote huo wakati Mo ni mfanyabiashara mkubwa pengine hata kabla yeye Mwigulu hajaanza kusoma chuo kikuu pale Mlimani.

Kuna washamba wengi wameingia kwenye mpira wa bongo lakini kila kitu kinaenda kikiutii muda.
 
Tatizo lako ni wivu wa kike
 
The burden of proof lies with the claimant.

Una madai ambayo wewe mwenyewe ujathibitisha halafu unataka utaratibu wa ‘wild west’ utumike “shoot first and ask questions later”.

Uoni kama umtendei haki huyo unaemtuhumu.
 
Nani kakuambia kutuhumu ni dhambi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…