johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
As time goes on you are increasingly becoming out of your mind! You are losing your credibility! sasa umeandika nini?Hapa Lumumba tunasubiria majina ya wateule wa ubunge katika bunge lijalo ambalo halitakuwa na wala rushwa.
Kumchagua Muuaji Jiwe ni dhambi kwa Mungu!Tatizo hataleta mbunge hata mmoja
Kumpa msaliti wa Nchi mbunge ni dhambi kwa Mungu
Matumbo joto... Hapa najiandaa kwenda Ilala kudai laki yangu nikaongezee mtaji wa kufungua genge 🤣 😀 😛Hapa Lumumba tunasubiria majina ya wateule wa ubunge katika bunge lijalo ambalo halitakuwa na wala rushwa.
Kichaa Jiwe lazima apumzishwe milele Chato!Hatuwezi kuchagua msaliti wa Nchi, huyo lissu arudi kwa mabwana zake ulaya
Bilionea Nyalandu how?Kitendo cha kamati kuu ya CHADEMA kumpitisha Tundu Lissu kuwa mgombea wa urais huku ikimuweka pembeni bilionea Lazaro Nyalandu ni cha kizalendo ndani ya chama.
Niwapongeze wajumbe wa CHADEMA kwa kutoyumbishwa na kurudia makosa ya kuzungusha mikono kama 2015. Hapa Lumumba tunasubiria majina ya wateule wa ubunge katika bunge lijalo ambalo halitakuwa na wala rushwa.
Nawatakia vijana wote baraka za Mungu katika hii siku yenu.
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Hahahaaaa...... Kwani bunge bila rushwa haliwezekani bwashee?!As time goes on you are increasingly becoming out of your mind! You are losing your credibility! sasa umeandika nini?
Hatuwezi kuchagua msaliti wa Nchi, huyo lissu arudi kwa mabwana zake ulaya
Msambwanda haujambo?........msalimie Halima!Uzi tayari,idiot!
Hahahaaaa...... ataapishwa na nani?!Nyie vijakazi wa lumumba mkatafute kazi ya kufanya, au mnasubiri kushangaa lissu atakapoapishwa oktoba?
Taratibu sindano zimeanza kufanya kazi kidogo mna recoverKitendo cha kamati kuu ya CHADEMA kumpitisha Tundu Lissu kuwa mgombea wa urais huku ikimuweka pembeni bilionea Lazaro Nyalandu ni cha kizalendo ndani ya chama.
Niwapongeze wajumbe wa CHADEMA kwa kutoyumbishwa na kurudia makosa ya kuzungusha mikono kama 2015. Hapa Lumumba tunasubiria majina ya wateule wa ubunge katika bunge lijalo ambalo halitakuwa na wala rushwa.
Nawatakia vijana wote baraka za Mungu katika hii siku yenu.
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Hahahaaaa...... hapa Mikumi tutamchagua Jay!Bwashee hao watoa rushwa na wala rushwa ndio wamiliki wa CCM na CCM bila hayo mazimwi haiwezi kuwepo... na mkiwakata hayo majimbo mnapoteza maana hao ndio kila kitu..
Njia rahisi ya nyie kujinusuru na hao ni kuchagua upinzani ili bunge liwe lenye kusimamia maslahi ya wananchi na sio maslahi ya CCM na wenye CCM..
Ni pongezi tu bwashee!Taratibu sindano zimeanza kufanya kazi kidogo mna recover
magu arudi kwenye ardhi ya kurunsinzaHatuwezi kuchagua msaliti wa Nchi, huyo lissu arudi kwa mabwana zake ulaya
Hata neki ingesimmiwa na mungu tundu hawezi fikisha kura milioni mbili, sasa hizo haziwezi kumfanya kuwa raisiNEC ingekuwa huru jamaa angekabidhi nchi mapema sana
Hahahaaaa...... hapa Mikumi tutamchagua Jay!