Japo hawezi kushinda kiukweli, CHADEMA imemtendea haki Tundu Antipas Lissu!

Wewe una vigezo gani?
Kwanza kabisa mgombea wenu anajisikia sanaa pia ni mbinafsi pili haipendi nchi, tatu mgombea mwenza hana sifa ya kuwa kiongozi wa juu kitaifa, mmefanya mzaha.
Nne chama hakijajiandaa kuongoza nchi.
 
Soma katiba vzr, huyu wako ana sifa au kubagua watu ndiyo sifa? tume ikiwa huru hata mke wake hawezi pigia kura jitu katili namna hii.
 
Hahahaaaa...... ataapishwa na nani?!
Unajua John hata kama so rahisi na ni ngumu ngumu sana kuachia majeshi na mipaka ya hii nchi kwa Tl lakini usidharau sana. Dunia ina mambo ya ajabu sana, kuna vitu vinaweza kutokea ukajiuliza ilikuaje? How did this happen? Na usipate jibu.
 
Soma katiba vzr, huyu wako ana sifa au kubagua watu ndiyo sifa? tume ikiwa huru hata mke wake hawezi pigia kura jitu katili namna hii.
Kama ni hivyo basi wtz pia hatuwezi kupigia mtu mwenye vinasaba na ushoga
 
Kitendo cha kamati kuu ya CHADEMA kumpitisha Tundu Lissu kuwa mgombea wa urais huku ikimuweka pembeni bilionea Lazaro Nyalandu ni cha kizalendo ndani ya chama.

Niwapongeze wajumbe wa CHADEMA kwa kutoyumbishwa na kurudia makosa ya kuzungusha mikono kama 2015. Hapa Lumumba tunasubiria majina ya wateule wa ubunge katika bunge lijalo ambalo halitakuwa na wala rushwa.

Nawatakia vijana wote baraka za Mungu katika hii siku yenu.

2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Lisu viva
 
Upo sahihi kabisa.
Ila CCM wawe makini na washauri hasa kipindi hiki. Wao ndio wenye dhamana ya amani ya nchi hii.
Kwanza wampuuze Lisu wasimwekee mapingamizi kwenye tume
Pili waache aongee tu mwisho cd [emoji331] yake itachujuka tu kama ilivyochujuka [emoji331] cd ya mkuluuu kama bwawa la maji, madege, reli, na fly-over basi sasa hana jipya.

Pili wale waliochaguliwa kusimamia uchaguzi wasijaribu kuleta favoritisms wataitumbukiza nchi kwenye machafuko.

Yaani kama mmemsikia Lisu vizuri na kumsoma yeye yupo tayari kufa hata sasa lakini afe anatetea nchi yake na hii ni mbaya sana . Muwe makini na mtu anaejitoa mhanga . Nivema kuwa makini sana na kuruhusu kutokuchafua hali ya hewa.
 
Hata mwenyewe anafahamu kuwa hawezi shinda hiyo Oktoba.
 
Kitendo cha kamati kuu ya CHADEMA kumpitisha Tundu Lissu kuwa mgombea wa urais huku ikimuweka pembeni bilionea Lazaro Nyalandu ni cha kizalendo ndani ya chama.

Niwapongeze wajumbe wa CHADEMA kwa kutoyumbishwa na kurudia makosa ya kuzungusha mikono kama 2015. Hapa Lumumba tunasubiria majina ya wateule wa ubunge katika bunge lijalo ambalo halitakuwa na wala rushwa.

Nawatakia vijana wote baraka za Mungu katika hii siku yenu.

2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Ahsante mkuu, Magufuli ni Rais ambaye antambua majukumu yake
 
Mh Tundu, alifanya vizuri Sana kurudi Nchini, na Chama chake kilifanya Jambo jema Sana pia kumpitisha kwenye nafasi ya kugombea Urais,

Uchaguzi utachangamka angalau, licha ya kwamba hautafikia kile kiwango cha 2015 uchaguzi uliokuwa wa kihistoria,

Licha kwamba, mh Tundu Lisu hatoshinda, Ila mwaka huu, wengi wa watu watakuwa wakisikiliza zaidi Kampeni za Chadema, hii ni Kwa sababu hawajaongea kabisa miaka mitano yote, na huu mtindo wa kuzuia kufanya siasa madhara yake ni hayo pia, ukweli mchungu

Mimi nadhani, utaratibu huu uendelee Ili baada ya miaka mitano, watu wawe na shauku ya kusikiliza Sera hasa Kwa upande ule ambao ulikuwa ni wa upinzani Kwa kuwa kipindi chore hicho hawafanyi siasa, kitendo hili ndicho kinachofanya watu weeengi Sana kutaka kusikia sasa kutoka upande wa pili

Magufuli Twende kazi
 
Jaribu kuongelea Hashim Rungwe, Membe, Mrema, Cheyo, Shibuda, Mtamwenga ... Wapo wagombea wengi (16). Lissu anakunyimeni usingizi, ehe? Hata mzime TV na radio zote dunia, tutampa kura Lissu na mkiiba ushindi mtatupiga risasi wote.
Kitendo cha kamati kuu ya CHADEMA kumpitisha Tundu Lissu kuwa mgombea wa urais huku ikimuweka pembeni bilionea Lazaro Nyalandu ni cha kizalendo ndani ya chama.

Niwapongeze wajumbe wa CHADEMA kwa kutoyumbishwa na kurudia makosa ya kuzungusha mikono kama 2015. Hapa Lumumba tunasubiria majina ya wateule wa ubunge katika bunge lijalo ambalo halitakuwa na wala rushwa.

Nawatakia vijana wote baraka za Mungu katika hii siku yenu.

2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
 
Kitendo cha kamati kuu ya CHADEMA kumpitisha Tundu Lissu kuwa mgombea wa urais huku ikimuweka pembeni bilionea Lazaro Nyalandu ni cha kizalendo ndani ya chama.

Niwapongeze wajumbe wa CHADEMA kwa kutoyumbishwa na kurudia makosa ya kuzungusha mikono kama 2015. Hapa Lumumba tunasubiria majina ya wateule wa ubunge katika bunge lijalo ambalo halitakuwa na wala rushwa.

Nawatakia vijana wote baraka za Mungu katika hii siku yenu.

2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Unasema kutakuwa na binge lisilo la Wala rushwa mbona polepole Ana idadi kamili ya waliotoa na kupokea rushwa kabla hawajachaguliwa.
 
CHONDE CHONDE CCM MKIJA HUKU KWETU MIKOANI KWENYE KAMPENI, MSIJE NA AGENDA YA

FLYOVER,
TUMENUNUA NDEGE,
TUMEJENGA RELI,
UCHUMI WA KATI,

VYOTE HIVYO VIKO DAR, HUKU KWETU HAVIJAFIKA. NJOO NA MAMBO MLIYOTUFANYIA SISI WA MIKOANI LA SIVYO MTAAMBULIA MABUA.

HATUANGALII SURA, KABILA, RANGI WALA MWONEKANO WA MTU.

Ieleweke hivyoo.
Sawa tumekuelewa. Tuna kuja na
Ununuzi gari za Kampeni.
 
Kitendo cha kamati kuu ya CHADEMA kumpitisha Tundu Lissu kuwa mgombea wa urais huku ikimuweka pembeni bilionea Lazaro Nyalandu ni cha kizalendo ndani ya chama.

Niwapongeze wajumbe wa CHADEMA kwa kutoyumbishwa na kurudia makosa ya kuzungusha mikono kama 2015. Hapa Lumumba tunasubiria majina ya wateule wa ubunge katika bunge lijalo ambalo halitakuwa na wala rushwa.

Nawatakia vijana wote baraka za Mungu katika hii siku yenu.

2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Pole pole Mungu akufungue akili yako ujue ukweli na usimame kwenye ukweli; muda wa ccm kuondoka ni sasa!
 
Back
Top Bottom