Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,662
- 27,112
Mfikishie salamu zangu mama yako!Msambwanda haujambo?........msalimie Halima!
Mfikishie salamu zangu mama yako!Msambwanda haujambo?........msalimie Halima!
Mbona hamtaki iwe huru sasa na wakati mnapendwa?Hata neki ingesimmiwa na mungu tundu hawezi fikisha kura milioni mbili, sasa hizo haziwezi kumfanya kuwa raisi
Narudia hata kama mungu na malaika zake ndo wako NEC bado hamtashida,Mbona hamtaki iwe huru sasa na wakati mnapendwa?
Wewe una vigezo gani?Narudia hata kama mungu na malaika zake ndo wako NEC bado hamtashida,
Hamjawa na vigezo bado.
Kwanza kabisa mgombea wenu anajisikia sanaa pia ni mbinafsi pili haipendi nchi, tatu mgombea mwenza hana sifa ya kuwa kiongozi wa juu kitaifa, mmefanya mzaha.Wewe una vigezo gani?
Soma katiba vzr, huyu wako ana sifa au kubagua watu ndiyo sifa? tume ikiwa huru hata mke wake hawezi pigia kura jitu katili namna hii.Kwanza kabisa mgombea wenu anajisikia sanaa pia ni mbinafsi pili haipendi nchi, tatu mgombea mwenza hana sifa ya kuwa kiongozi wa juu kitaifa, mmefanya mzaha.
Nne chama hakijajiandaa kuongoza nchi.
Unajua John hata kama so rahisi na ni ngumu ngumu sana kuachia majeshi na mipaka ya hii nchi kwa Tl lakini usidharau sana. Dunia ina mambo ya ajabu sana, kuna vitu vinaweza kutokea ukajiuliza ilikuaje? How did this happen? Na usipate jibu.Hahahaaaa...... ataapishwa na nani?!
Leo msambwanda wako umeokotwa na nani manka?....... hahahaaaa!Mfikishie salamu zangu mama yako!
Kama ni hivyo basi wtz pia hatuwezi kupigia mtu mwenye vinasaba na ushogaSoma katiba vzr, huyu wako ana sifa au kubagua watu ndiyo sifa? tume ikiwa huru hata mke wake hawezi pigia kura jitu katili namna hii.
Utajua wewe na wazazi wakoKama ni hivyo basi wtz pia hatuwezi kupigia mtu mwenye vinasaba na ushoga
Lisu vivaKitendo cha kamati kuu ya CHADEMA kumpitisha Tundu Lissu kuwa mgombea wa urais huku ikimuweka pembeni bilionea Lazaro Nyalandu ni cha kizalendo ndani ya chama.
Niwapongeze wajumbe wa CHADEMA kwa kutoyumbishwa na kurudia makosa ya kuzungusha mikono kama 2015. Hapa Lumumba tunasubiria majina ya wateule wa ubunge katika bunge lijalo ambalo halitakuwa na wala rushwa.
Nawatakia vijana wote baraka za Mungu katika hii siku yenu.
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Kitendo cha kamati kuu ya CHADEMA kumpitisha Tundu Lissu kuwa mgombea wa urais huku ikimuweka pembeni bilionea Lazaro Nyalandu ni cha kizalendo ndani ya chama.

Mama yako kaniokota!Leo msambwanda wako umeokotwa na nani manka?....... hahahaaaa!
Ahsante mkuu, Magufuli ni Rais ambaye antambua majukumu yakeKitendo cha kamati kuu ya CHADEMA kumpitisha Tundu Lissu kuwa mgombea wa urais huku ikimuweka pembeni bilionea Lazaro Nyalandu ni cha kizalendo ndani ya chama.
Niwapongeze wajumbe wa CHADEMA kwa kutoyumbishwa na kurudia makosa ya kuzungusha mikono kama 2015. Hapa Lumumba tunasubiria majina ya wateule wa ubunge katika bunge lijalo ambalo halitakuwa na wala rushwa.
Nawatakia vijana wote baraka za Mungu katika hii siku yenu.
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Kitendo cha kamati kuu ya CHADEMA kumpitisha Tundu Lissu kuwa mgombea wa urais huku ikimuweka pembeni bilionea Lazaro Nyalandu ni cha kizalendo ndani ya chama.
Niwapongeze wajumbe wa CHADEMA kwa kutoyumbishwa na kurudia makosa ya kuzungusha mikono kama 2015. Hapa Lumumba tunasubiria majina ya wateule wa ubunge katika bunge lijalo ambalo halitakuwa na wala rushwa.
Nawatakia vijana wote baraka za Mungu katika hii siku yenu.
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Unasema kutakuwa na binge lisilo la Wala rushwa mbona polepole Ana idadi kamili ya waliotoa na kupokea rushwa kabla hawajachaguliwa.Kitendo cha kamati kuu ya CHADEMA kumpitisha Tundu Lissu kuwa mgombea wa urais huku ikimuweka pembeni bilionea Lazaro Nyalandu ni cha kizalendo ndani ya chama.
Niwapongeze wajumbe wa CHADEMA kwa kutoyumbishwa na kurudia makosa ya kuzungusha mikono kama 2015. Hapa Lumumba tunasubiria majina ya wateule wa ubunge katika bunge lijalo ambalo halitakuwa na wala rushwa.
Nawatakia vijana wote baraka za Mungu katika hii siku yenu.
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Sawa tumekuelewa. Tuna kuja naCHONDE CHONDE CCM MKIJA HUKU KWETU MIKOANI KWENYE KAMPENI, MSIJE NA AGENDA YA
FLYOVER,
TUMENUNUA NDEGE,
TUMEJENGA RELI,
UCHUMI WA KATI,
VYOTE HIVYO VIKO DAR, HUKU KWETU HAVIJAFIKA. NJOO NA MAMBO MLIYOTUFANYIA SISI WA MIKOANI LA SIVYO MTAAMBULIA MABUA.
HATUANGALII SURA, KABILA, RANGI WALA MWONEKANO WA MTU.
Ieleweke hivyoo.
Pole pole Mungu akufungue akili yako ujue ukweli na usimame kwenye ukweli; muda wa ccm kuondoka ni sasa!Kitendo cha kamati kuu ya CHADEMA kumpitisha Tundu Lissu kuwa mgombea wa urais huku ikimuweka pembeni bilionea Lazaro Nyalandu ni cha kizalendo ndani ya chama.