Uchaguzi 2020 Japo inaniuma lakini kwa kuwa chama changu mmeendekeza sana ubabe sitawapa kura yangu

Hapo juu ulieleza kwamba ulijiunga CCM 2019, sasa ni chaguzi gani "zote" ulizopigia CCM, au zile chaguzi za serikali za mitaa zilizofanyika kama maigizo?
Naona hauko serious mkuu 'gimmy's' na msimamo wako huo wa kuwa mwanachama wa maisha wa CCM. Magufuli kakutumbua?
 
Yamebaki masaa machache sana ili na mimi nikamuadhibu anayetuadhibu kwa madaraka ambayo tulimpatia wenyewe 2015,ametuazibu kwa miaka miatano lakini sasa tuseme basi,ninaimani kura yangu moja inatosha kabisa kubadilisha matokeo kesho.
Ninamuomba Mungu raisi ajaye asiwe na kiburi kama huyu wa sasa,asiwe mkabila,asipendelee kwao bali aongoze tanzania kama taifa moja,awe anapenda kushauriwa na athamini ushauri wa wengine,aheshimu viongozi waliomtangulia,akumbuke maendeleo ya vitu pasipo maendeleo ya watu ni kutesa wananchi.
Amina.
 
Unasema haitasaidia kwani haitahesabiwa? Au mtaiba?
Mkuu, hata ikihesabiwa, huyo mshogeshaji (anayetaka wote muwe mashoga) utakayempigia atazidiwa kwa kura mamilioni, sasa tija iko wapi hapo?
 
Mhindi akiwa na duka anasalimia majirani zake wote na kuwafanya wateja wake. Wenyewe wanasema “ every penny counts “ hapa ni kuwa “every vote counts”.
Mkuu, hata ikihesabiwa, huyo mshogeshaji (anayetaka wote muwe mashoga) utakayempigia atazidiwa kwa kura mamilioni, sasa tija iko wapi hapo? Ingekuwa kuna tight race kweli kura yako ingekuwa na tija.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…