Uchaguzi 2020 Japo ni mchungu 'Kumesa' lakini ndio ukweli wenyewe; watakaorudi Bungeni ni 'wa kijani', kubali kataa. Mwenye masikio na asikie!

Kuwa na kijani asilimia 100 inaweza kuwa msaada?
 
[emoji3][emoji3][emoji3] huwenda akawa.
Lakini pia ni moja ya watu wanao tambua falisafa za viongozi mbali mbali

Falisafa ndio inatoa dhamila kuu ya kiongozi
Sasa ukisoma machapisho mengi ya Pasco kumuhusu Raisi MAGUFULI mengi yamejikita kifalisafa na kihitikadi kitu ambacho wengi wetu atukukijua mapema ndio maana wengi wali beza.
 
Kuna mbumbumbu huwa wana mdharau Pasco kwa kuandika wasiyopenda kusikia ila huyu jamaa nina uhakika ni wa Kitengo kabisa huyu.
Alishawahi sema mama ake alikua mzee wa kikosi.

Ila pamoja na hayo, alijitabiria kuingia mjengoni, je tumsubirie viti maalum?
 
Mkuu mafutamingi , sikumbuki kukujibu hili, ila ni kweli imetokea, na jibu langu ni hili
P
 
Kuna mbumbumbu huwa wana mdharau Pasco kwa kuandika wasiyopenda kusikia ila huyu jamaa nina uhakika ni wa Kitengo kabisa huyu.
Mkuu IDEGENDA , no mimi sio mtu wa kitengo, japo wazazi wangu wote wawili walikuwa watu wa kitengo, Mzee wangu, ndiye alikuwa RSO wa Mwanza, kwenye ile kesi ya mauaji Mwanza. Kwetu tumezaliwa 8, kati yetu 5 wako serikalini, na sisi 3 tuko sekta binafsi. Siwezi kuwasemea ndugu zangu, lakini mimi sio wa huko.

Kinachonifanya mimi kupatia baadhi ya hoja zangu, mimi ni trends reader mzuri, hizi trends za kuja kupata Bunge la chama kimoja 2020, niliziona kitambo na kupandisha bandiko hili

P
 
Chadema wajiandae kuuza magari ya M4C, kufunga matawi kwa kukosa kodi, kupoteza na huyo mbunge mmoja aliekuwepo, Mbowe kujimilikisha kilichobaki benki ... LEMA kuhamia CCM
 
Mkuu Pascal Mayalla the "trend reader" himself. Mko wachache mno wenye mboni hii. Unalipa heshima jukwaa letu la JamiiForums

Shikilia hapo tu.

Sasa basi, tujulishe wasifu wa Waziri Mkuu ajaye. Ama mabadiliko ni sifuri?
 
Mkuu 50thebe , thanks on trends.
Hakuna mabadiliko yoyote kwa top 5,
Mabadiliko makubwa ni kwenye cabinet, Kimei, Mwanyika, Mwambe, Mkenda, Shigongo, Mwana FA, Gwaji Boy, etc, ni miongoni mwa sura mpya!.

He will also retain a good number of old guards
P
 
Ukiona mtu kambeza huyu jamaa ujue kasoma bandiko akiwa na mlengo tayari. Ukimsoma bia mlengo yaani ukiwa na mawazo huru ama niseme mtazamo huru utaelewa. Ni mwandishi asiyechoka kutafiti kujua maana ya neno, lugha, mandhari na mkutadha wa hja ama jambo.
viva Pascal Mayalla .. utatuvusha salama ukianza kuleta madini juu ya kuujenga ukuta wetu wa CDM uliobomolewa vibaya na vibaka wa kisiasa.
 
Alifanyiwa sendofu kumbe
 
Mliambiwa mapema mkapinga Kama kawaida yenu. Ukaahidi kuhama Lissu asipokuwa rais. Umehama?;
 
Paskali uliona mbali Sana ila Hadi Sasa wanabisha. Ingawa
Wajumbe siyo watu wazuri!
 
Mliambiwa mapema mkapinga Kama kawaida yenu. Ukaahidi kuhama Lissu asipokuwa rais. Umehama?;
Ahame aende wapi mikwara mbuzi tu hao weupeeee ma keyboard warriors....ukiona wanayoandika mitandaoni unaweza sema ni watu fulani wameamka/wameelewa wanasimamia nini ila mwisho wa siku ni kama watu wa madesa tu vyuoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…