Uchaguzi 2020 Japo ni mchungu 'Kumesa' lakini ndio ukweli wenyewe; watakaorudi Bungeni ni 'wa kijani', kubali kataa. Mwenye masikio na asikie!

Na kwa maana hiyo bila kuwa na akili za maiti ni ngumu sana kwenye kupiga kura tarehe 25 Dec 2020
 
Paskali hoja zako zina ukweli, usitumie neno 'watanzania wote' naamini si sahihi kwa mtu kama wewe kulutumia nano hilo wakati unaujua ukweli.
 
Na mkuu wa makuhani kalisema ilo , kijani lazima warudi kuja kuendeleza sala za kuabudu na kusifu, kwa kauli zake za leo kifupi wapinzani hawana chao

Pia tutarajie wengi kukamatwa na kufungiwa kufanya kampeni zao , intelenjinsia ya polisi kuona dalili za uvunjifu wa amani.
 
Chini ya KURA YANGU SIYO HAKI YANGU.
Mwenye dola hashindwi.
 
Hakuna faida ya kuuwa upinzani,ni hasara kwa watu wote.

Ni hasara kubwa zaidi kwa serikali kwani badala ya kuongeza dawa na vitanda vya wagonjwa hospitalini itatumia pesa hizo kuongeza magari ya washawasha,askari,mabomu ya machozi,kujenga magereza makubwa zaidi,msongamano wa mahabusi.

Ni kinyume cha utawala bora, ni mchezo mbaya sana.Lakini siku nao hao binadamu wakijajitoa ufahamu,tusimtafute mchawi.
 
Namlaumu sana kamanda wa anga na sera zake za kupinga pinga kila kitu, hadi hata mimi nikakimbia kutoka ufipa.
Wewe kimbia tu kwa sababu una"Parochial Mind". Sijawahi kusikia Democrats wakimuunga mkono Trump hata siku moja hata wakati Unemployment Rate ilipokuwa 2%.

Tatizo nyie ni wasaka tonge, maisha yakishawachachia mnafikiria kuwa ccm ni kupata"Panacea" ya dhiki yenu, ingekuwa hivyo nchi hii isingekuwa The Laughing Stock.
 
Namlaumu sana kamanda wa anga na sera zake za kupinga pinga kila kitu, hadi hata mimi nikakimbia kutoka ufipa.
Paskali hilo unalozungumza linawezekana kabisa hasa ukichukulia yaliyojiri wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa na tamko la Rais la kuwaonya Wakurugenzi wasiwatangaze wagombea kutoka vyama vya upinzani kuwa washindi hata kama wameshinda. Nikuulize Paskali, hivi ikitokea kuwa wabunge wa kijani tu ndo watakaorudi je hili litakuwa jambo la kushangilia au kusikitisha?. Nasubiri jibu
 
Mkuu nchi hii ilikuwa chini ya ccm enzi za chama kushika hatamu toka 1961 hadi mwaka 1992.je nchi hii ulishindwa nini kupaa?
Kuwa na upinzani wa kuturudisha kwenye ukoloni tulikotoka ni bora tubakie huru tukiwa na chama kimoja, wakishindwa kuelewa nini watanzania tunahitaji watachelewa sana, wasome alama za nyakati, upinzani nchini umepuuzwa baada ya kusariti Taifa na kuanza kushirikiana na agents of neocolonialism kuhujumu juhudi za Magufuli, kumtukana na kumdhihaki Rais kwa uongo mala kaiba mala vile wakati watanzania tunaona anayofanya kumeondoa imani hata ile ndogo ilokuepo kwa upinzani.
 
Zamu ijayo ukikosa uteuzi heri ujinyonge si kwa kujipendekeza huko
 
Ukishajifunza kudonyoa donyoa vijimaneno vya kizungu ndio unajiona mjanjaa, upuuzi mtupu.
 
Game over

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…