Uchaguzi 2020 Japo ni mchungu 'Kumesa' lakini ndio ukweli wenyewe; watakaorudi Bungeni ni 'wa kijani', kubali kataa. Mwenye masikio na asikie!

Mbona kama mnataka kutisha na kuwaletea watu hofu bahati mbaya mtafeli vibaya sana Paschal utaniambia October
 
Ni vyema ukaomba nafasi kwa chama chako ugombee huo ubunge unaoushadadia kuliko kuwabeza wapinzani. Njaa mbaya sana
 
Nakata tawi la mti kuweka kama kumbukumbu tukutane november!
 
Pascal Mayalla huu ni ukweli mchungu CCM ililenga katika kuudhoofisha upinzani na walio hama hawataamini kinachoenda kutokea.
Wajiandae kuwekwa nje ya mfumo wa siasa na usishangae kuanzia 2023 ukaibuka upepo mwingine wa kurudi upinzani.
Hapa ndipo ukweli wa akiba ya maneno utajidhihirisha kwa LIJIALIKALI.
 
Tokea 1977 hadi 1992 kama walikuwepo wenyewe acha turudi tena 1977.

Hata mie natia nia,acha tukapambane huko yaweza kuwa fursa kuingia mjengoni.

Paschal nitakuagiza uje tufanye mahojiano pale Idodomya aka Magufuli city.
 
Nawewe utakuwepo?
 
Sisi wananchi tulio wengi, hatutaona Rais akikwamishwa na hao vibaraka wasoitakia mema nchi yetu, maendeleo yatapaa sana sababu Rais atakuwa na full support ya wananchi.
Unaonaje kukiwa na azimio la kuwa na chama kimoja ili kupunguza gharama za uchaguzi. Ili budget ya uchaguzi ielekezwe kwenye kilimo ambacho ndio uti mgongo wa nchi yetu
 
Tumuombe mungu atupatie uhai ili tishuhudie yatakayo jiri
 
Wangejijengaje ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Angefikaje wakati muda wote anafuatiliwa na polisi ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…