Uchaguzi 2020 Japo ni mchungu 'Kumesa' lakini ndio ukweli wenyewe; watakaorudi Bungeni ni 'wa kijani', kubali kataa. Mwenye masikio na asikie!

Wewe ni MNAFIKI ambaye Watanzania wengi TUMESHAKUSTUKIA siku nyingi tu. Hujitambui zaidi ya KUROPOKA ROPOKA ili ujaze tumbo lako. Kikwete alisema za kuambiwa changanya na zako kama ULIJAALIWA nazo lakini naona ni ZERO BRAIN.






 

Attachments

  • ERFcWLLW4AIVOAq.jpg
    104.5 KB · Views: 1
Huyu pasko kuna nyuzi zake nikizisoma sikuelew kabisa ingawa ni haki yake kuzungumza lakini naona hayuko huru na hajui ku balance huku na huku
 

Pamoja na hoja yako hiyo, nafasi ya vyama vya uinzani, hasa CHADEMA, kupata Kata au Jimbo la Uchaguzi, ni finyu sana kwa sababu kadhaa:-
√ Wabunge wa upinzani, hasa CHADEMA, walitumia muda wao mwingi nje ya majimbo yao ya uchaguzi;
√ pamoja na kutokufika mara kwa mara majimboni, Serikali iliendelea na miradi ya maendeleo, pia kuboresha huduma za jamii, lakini wao walibeza;
√ hoja zao, japo nzito na zenye kugusa maslahi ya Taifa, ziliwasilishwa kwa lugha isiyo ya staha. Ujana ulitawala ndimi zao kuliko uheshimiwa wao;
√ kususia mara kwa mara ni dhahiri walionesha udhaifu wa kiuongozi;
√ msimamo wao kuhusu jinsi ya kukabili COVID-19 kumewavua uwezo wao wa uongozi;
√ tuhuma dhidi ya Mbowe zinakiweka chama katika mtihani mkubwa kuaminika kwa viongozi wake; na
√ tukio la hivi karibuni la shambulizi dhidi ya Mbowe limeacha maswali mengi kuliko majibu yaliyokwisha kutolewa.

Yote tisa, kumi ni vyama vya upinzani kutokuwa na agenda yenye mashiko iwapo watang'ang'ania kuishutumu Serikali kuwa imekazania maendeleo ya vitu na siyo watu. Wapiga kura wamesikia na wanaona yaliyotekelezwa na Serikali kwa ajili ya maendeleo yao.
 
Nikukumbushe tu pamoja na mapambio na vigelele vyote vilivyopigwa hii nchi bado ni maskini na itaendelea kua maskini maradufu.
 
Najua unazungumzia mbeleko hii.Raha ya mwanamke umtongoze umshawishi hadi mufikie muafaka lakni kwa mtutu wa bunduki ni sawa na kupiga punyeto tu.
 
Siwezi argue na mtu asiyefahamu hata forms of governments (Civics form two), Tanzania tangu ipate uhuru haijawahi kuwa chini ya dictator bali PM na baadae Rais (Republic).
PM au Rais anaweza kuwa dikteta kulingana na nafasi au madaraka gani amepewa na katiba.
 
"Mr Pascal najua unujua umeandika ukweli wa uwongo. Naelewa unaelewa kwa 100% ukweli wa ukweli wamatokeo ya uchaguzi kama maamuzi ya wananchi yataheshimiwa"
 
Akil za kukaririshwa changanya na zako
 

Bwana Paskali nataka kukuhakikishia kuwa hao kijani hawatorudi wala bungeni wala kokote
kwa mwandishi kama wewe unapaswa kutumia kalamu yako kuelemisha jamii,badala ya kutia jamii hofu.Tangu enzi za Pontio Plato hadi leo wapinzani hatukushinda kwa hisani ya ccm,tulishinda kwa kuwa tulijitoa sadaka,tukapambana na kulinda kura zetu kupitia nguvu ya umma!na mwaka huu tutashinda tena kwa ushindi mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…