Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Upinzani ume fail pakubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanabodi,
"Watakao Rudi Bungeni ni 'Wakijani' "
Haya sii maneno yangu, na sio maneno ya kuambiwa ni maneno yaliyotamkwa na ambayo nimeyasikia mwenyewe kwa masikio yangu mwenyewe!.
Japo maneno haya ni maneno machungu kumeza, kwasababu Tanzania ni ya Watanzania wote na siyo ya 'wakijani' tuu, lakini huo ndio ukweli wenyewe!, Watanzania woote katika Umoja wao, wamewakubali sana 'wakijani' na hili watalithibitisha tarehe 25 October, 2020. Mwenye masikio na asikie!.
Sisemi yamesemwa na nani na yamesemwa wapi, bali nawaomba tuu mniamini!.
Hongereni sana 'Wakijani'
Tulipokuwa tukiwaeleza humu kuhusu Watanzania tujifunze kuukubali ukweli hata uwe ni mchungu vipi kama ukweli huu
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Mlinibeza!.
Niliposema kuhusu hoja ya wabunge wasio wa kijani, wakitaka kurejea Bungeni 2020 ni lazima wajitambue
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?
Pia mlinibeza humu.
Sasa leo Bunge limevunjwa rasmi, tegemeeni "the mass exodus" kwa wabunge wasio 'wakijani' watakao jitambua, they will do the needful, kwa ving'ang'anizi na wenye misimamo, ambao watashikilia msimamo kwa kusimama na wanachokiamini, hawa ni mashujaa!, watakufa kizungu na tai shingoni na kama ni meli au jahazi, hata likumbwe na tufani kubwa kiasi gani, wao watazama na meli yao au jahazi lao na watatamkwa mashujaa watakufa kishujaa!, hoja ya kati ya "waliojitambua" hai, na 'mashujaa' wafu, nani ni muhimu zaidi, ni debatable!.
Kwaheri ya kuonana hadi Novemba
2020... "ndani ya nyumba" panapo majaaliwa!.
Paskali
Huyu pasko kuna nyuzi zake nikizisoma sikuelew kabisa ingawa ni haki yake kuzungumza lakini naona hayuko huru na hajui ku balance huku na hukuWatarudi kwa sababu na wewe unashiriki dhambi hiyo kwa uandishi wako
Unafurahia machungu ya wengine
Hebu punguza kebehi zako wakati mwingine
Unakera
Kulia kwangu leo imegeuka furaha kwako
Unabariki dhuluma za sisiem
Hali ikiwa ndivyo si you usishangae
Narudia tena swali langu la kila siku! Kwa nini mtu akishakuwa ni CCM lazima awe na akili fupi? Kwani anaeamua ni mbunge yupi arudi bungeni na ni mbunge yupi asirudi bungeni ni Magufuli au ni wananchi?!
Wanabodi,
"Watakao Rudi Bungeni ni 'Wakijani' "
Sasa leo Bunge limevunjwa rasmi, tegemeeni "the mass exodus" kwa wabunge wasio 'wakijani' watakao jitambua, they will do the needful, kwa ving'ang'anizi na wenye misimamo, ambao watashikilia msimamo kwa kusimama na wanachokiamini, hawa ni mashujaa!, watakufa kizungu na tai shingoni na kama ni meli au jahazi, hata likumbwe na tufani kubwa kiasi gani, wao watazama na meli yao au jahazi lao na watatamkwa mashujaa watakufa kishujaa!, hoja ya kati ya "waliojitambua" hai, na 'mashujaa' wafu, nani ni muhimu zaidi, ni debatable!.
Kwaheri ya kuonana hadi Novemba
2020... "ndani ya nyumba" panapo majaaliwa!.
Paskali
Najua unazungumzia mbeleko hii.Raha ya mwanamke umtongoze umshawishi hadi mufikie muafaka lakni kwa mtutu wa bunduki ni sawa na kupiga punyeto tu.Wanabodi,
"Watakao Rudi Bungeni ni 'Wakijani' "
Haya sii maneno yangu, na sio maneno ya kuambiwa ni maneno yaliyotamkwa na ambayo nimeyasikia mwenyewe kwa masikio yangu mwenyewe!.
Japo maneno haya ni maneno machungu kumeza, kwasababu Tanzania ni ya Watanzania wote na siyo ya 'wakijani' tuu, lakini huo ndio ukweli wenyewe!, Watanzania woote katika Umoja wao, wamewakubali sana 'wakijani' na hili watalithibitisha tarehe 25 October, 2020. Mwenye masikio na asikie!.
Sisemi yamesemwa na nani na yamesemwa wapi, bali nawaomba tuu mniamini!.
Hongereni sana 'Wakijani'
Tulipokuwa tukiwaeleza humu kuhusu Watanzania tujifunze kuukubali ukweli hata uwe ni mchungu vipi kama ukweli huu
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Mlinibeza!.
Niliposema kuhusu hoja ya wabunge wasio wa kijani, wakitaka kurejea Bungeni 2020 ni lazima wajitambue
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?
Pia mlinibeza humu.
Sasa leo Bunge limevunjwa rasmi, tegemeeni "the mass exodus" kwa wabunge wasio 'wakijani' watakao jitambua, they will do the needful, kwa ving'ang'anizi na wenye misimamo, ambao watashikilia msimamo kwa kusimama na wanachokiamini, hawa ni mashujaa!, watakufa kizungu na tai shingoni na kama ni meli au jahazi, hata likumbwe na tufani kubwa kiasi gani, wao watazama na meli yao au jahazi lao na watatamkwa mashujaa watakufa kishujaa!, hoja ya kati ya "waliojitambua" hai, na 'mashujaa' wafu, nani ni muhimu zaidi, ni debatable!.
Kwaheri ya kuonana hadi Novemba
2020... "ndani ya nyumba" panapo majaaliwa!.
Paskali
Wewe donyoa donyoa tu hata kilugha ukipenda maanake yote ni lugha.Ukishajifunza kudonyoa donyoa vijimaneno vya kizungu ndio unajiona mjanjaa, upuuzi mtupu.
PM au Rais anaweza kuwa dikteta kulingana na nafasi au madaraka gani amepewa na katiba.Siwezi argue na mtu asiyefahamu hata forms of governments (Civics form two), Tanzania tangu ipate uhuru haijawahi kuwa chini ya dictator bali PM na baadae Rais (Republic).
Ataaminiwa na wasomaji kwa kuandika ukweliAlafu wewe ndiyo utapata nini!!?
"Mr Pascal najua unujua umeandika ukweli wa uwongo. Naelewa unaelewa kwa 100% ukweli wa ukweli wamatokeo ya uchaguzi kama maamuzi ya wananchi yataheshimiwa"Wanabodi,
"Watakao Rudi Bungeni ni 'Wakijani' "
Haya sii maneno yangu, na sio maneno ya kuambiwa ni maneno yaliyotamkwa na ambayo nimeyasikia mwenyewe kwa masikio yangu mwenyewe!.
Japo maneno haya ni maneno machungu kumeza, kwasababu Tanzania ni ya Watanzania wote na siyo ya 'wakijani' tuu, lakini huo ndio ukweli wenyewe!, Watanzania woote katika Umoja wao, wamewakubali sana 'wakijani' na hili watalithibitisha tarehe 25 October, 2020. Mwenye masikio na asikie!.
Sisemi yamesemwa na nani na yamesemwa wapi, bali nawaomba tuu mniamini!.
Hongereni sana 'Wakijani'
Tulipokuwa tukiwaeleza humu kuhusu Watanzania tujifunze kuukubali ukweli hata uwe ni mchungu vipi kama ukweli huu
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Mlinibeza!.
Niliposema kuhusu hoja ya wabunge wasio wa kijani, wakitaka kurejea Bungeni 2020 ni lazima wajitambue
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?
Pia mlinibeza humu.
Sasa leo Bunge limevunjwa rasmi, tegemeeni "the mass exodus" kwa wabunge wasio 'wakijani' watakao jitambua, they will do the needful, kwa ving'ang'anizi na wenye misimamo, ambao watashikilia msimamo kwa kusimama na wanachokiamini, hawa ni mashujaa!, watakufa kizungu na tai shingoni na kama ni meli au jahazi, hata likumbwe na tufani kubwa kiasi gani, wao watazama na meli yao au jahazi lao na watatamkwa mashujaa watakufa kishujaa!, hoja ya kati ya "waliojitambua" hai, na 'mashujaa' wafu, nani ni muhimu zaidi, ni debatable!.
Kwaheri ya kuonana hadi Novemba
2020... "ndani ya nyumba" panapo majaaliwa!.
Paskali
Haijawahi kutokea Tanzania, kuweza kutokea ni swala moja na kuwahi kutokea ni swala jingine.PM au Rais anaweza kuwa dikteta kulingana na nafasi au madaraka gani amepewa na katiba.
Stupidest... [emoji12]Stupid
Akil za kukaririshwa changanya na zakoWanabodi,
"Watakao Rudi Bungeni ni 'Wakijani' "
Haya sii maneno yangu, na sio maneno ya kuambiwa ni maneno yaliyotamkwa na ambayo nimeyasikia mwenyewe kwa masikio yangu mwenyewe!.
Japo maneno haya ni maneno machungu kumeza, kwasababu Tanzania ni ya Watanzania wote na siyo ya 'wakijani' tuu, lakini huo ndio ukweli wenyewe!, Watanzania woote katika Umoja wao, wamewakubali sana 'wakijani' na hili watalithibitisha tarehe 25 October, 2020. Mwenye masikio na asikie!.
Sisemi yamesemwa na nani na yamesemwa wapi, bali nawaomba tuu mniamini!.
Hongereni sana 'Wakijani'
Tulipokuwa tukiwaeleza humu kuhusu Watanzania tujifunze kuukubali ukweli hata uwe ni mchungu vipi kama ukweli huu
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Mlinibeza!.
Niliposema kuhusu hoja ya wabunge wasio wa kijani, wakitaka kurejea Bungeni 2020 ni lazima wajitambue
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?
Pia mlinibeza humu.
Sasa leo Bunge limevunjwa rasmi, tegemeeni "the mass exodus" kwa wabunge wasio 'wakijani' watakao jitambua, they will do the needful, kwa ving'ang'anizi na wenye misimamo, ambao watashikilia msimamo kwa kusimama na wanachokiamini, hawa ni mashujaa!, watakufa kizungu na tai shingoni na kama ni meli au jahazi, hata likumbwe na tufani kubwa kiasi gani, wao watazama na meli yao au jahazi lao na watatamkwa mashujaa watakufa kishujaa!, hoja ya kati ya "waliojitambua" hai, na 'mashujaa' wafu, nani ni muhimu zaidi, ni debatable!.
Kwaheri ya kuonana hadi Novemba
2020... "ndani ya nyumba" panapo majaaliwa!.
Paskali
Wewe ulieunga mataga wenzako huko Lumumba unanini.Namlaumu sana kamanda wa anga na sera zake za kupinga pinga kila kitu, hadi hata mimi nikakimbia kutoka ufipa.
Labda ubunge wa choonUbunge
Kama hapo kwenu mlivyo hapo Lumumba.Hakutakuwa na chama kimoja, wapinzani watakuwepo ila sio hao vibaraka wa wakoloni mambo leo, waende huko wakatumike vizuri zaidi lakini sio kwa kodi zetu.