Uchaguzi 2020 Japo ni mchungu 'Kumesa' lakini ndio ukweli wenyewe; watakaorudi Bungeni ni 'wa kijani', kubali kataa. Mwenye masikio na asikie!

Huko zanzibar naskia ilikuwa kijani tupu, ndani ya miaka mitano tu imegeuka dubai
 
Ni ukweli mchungu lakini serikali za mitaa ni kijani na naamini uchaguzi mkuu huu utakuwa kijani.Utakuwa kijani zaidi wakati judiciary ikiwa compromised na case za uchaguzi zitakuwa chache.
Nipo mtaani na watu wana hofu hata kampeni nahisi hazitakuwa na msisimko tuliouzoea.Hata hivyo miezi minne ni mingi katika siasa.
Chama upinzani utaweza kupindua meza kibabe ni suala la kusubiri na kuona.
 
Narudia tena swali langu la kila siku! Kwa nini mtu akishakuwa ni CCM lazima awe na akili fupi? Kwani anaeamua ni mbunge yupi arudi bungeni na ni mbunge yupi asirudi bungeni ni Magufuli au ni wananchi?!
Hotuba yako ya mawazo mbadala yatakiwa kujaa ngonjera za kumsifu kama wakati wa china ya Mao tse tung
 
Hujui madhara yake
 
Ukifanya poll tu katika comments za uzi wako utagundua kuwa hauko sahihi..kwa mabavu Yes sio kwa kura
 
Boss Pascal Mayalla Yaaani miaka 5 imeisha umeangukia Pua ???!!! Hata uteuzi kwenye Bodi yoyote haujapata ???!!!

Ina maana hawaoni Juhudi zako zote hizi ???!!!

Acha kubeza Upinzani, Upinzani una Mchango Mkubwa Sana na Mno kwa Maendeleo ya Nchi.

Mimi naamini bila Upinzani Mh. Rais wetu asingefanya na kufanikiwa kwa Baadhi ya Mambo. Maana Angelala au angefanya Mambo as asual, Ila Pressure za Maadui zimempa morali na hasira za kufanya vizuri.




 
This is mind game. I bet you know your cards very well. When I remember you were journalist whom I used to admire your objectivity which is now nowhere to be seen I feel very sad. I ask myself what went wrong?
 
Kwani hatupo huru? Je waliosema kaiba wameshtakiwa? Je hajaiba? Watanzania wanataka nini? Je wapinzani sio watanzania? Je wale viongozi wa upinzani ndy wapinzani pekee? Watanzania unaowazungumzia ni aina ipi?
 
Tumekuzoea na maneno yako ya kibwege mkuu...serikali za mitaa si mko wenyewe ?? Je umaskini umepungua?? Mimi nakuambia Pascal pamoja na ukabila ulionao lkn hutakuja kuteuliwa abadani mpk ujirekebishe...unajidharirisha mno...unalamba matako sana ya watawala mpk wanakuona hamnazo..unajipendekeza hadi unatia kinyaaa...watu watakuwa wanakuja kutoka nyuma na kukupita maana hujitambui na ujajua unaowalamba viatu wanataka nn...endelea kujipendekeza hvyo hvyo lkn mwisho wa utabiri wako ni October 25...utabiri wa kushetani maana unafikiri kila mnachoambiwa huko gamboshi kitaenda Kama mnavyoambiwa kumbe hola
 
Sisi wananchi tulio wengi, hatutaona Rais akikwamishwa na hao vibaraka wasoitakia mema nchi yetu, maendeleo yatapaa sana sababu Rais atakuwa na full support ya wananchi.

Ni rahisi sana kutawala watu wa aina yako! Na hii furaha yako inawafurahisha watalawa. Watu wasiojua nchi ilikuwa inaongozwa kwa Ilani ya CCM na Rais kutoka CCM.

Kama umeshindwa kufahamu kuwa upinzani hauwahi wala haukuzuia jambo lolote alilotaka kufanya Rais!! Na aliyofanya Rais hakuhitaji sapoti ya wananchi.

Mwananchi usiutambua mambo kwa kiasi hiki sishangai kuona ukishangilia hili. Mwaka 2025 itafika na huenda ukawa na hali mbaya kiuchumi kuliko ya sasa na bado hutajua ni kwanini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…