Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Nina kila kitu kamanda.Wewe ulieunga mataga wenzako huko Lumumba unanini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina kila kitu kamanda.Wewe ulieunga mataga wenzako huko Lumumba unanini.
Upuuzi mtupu.Wewe donyoa donyoa tu hata kilugha ukipenda maanake yote ni lugha.
Sema umetoka kapa. Na mko weeengi huko kwa kijani ambao mwajivunia kutokuelewa.Ukishajifunza kudonyoa donyoa vijimaneno vya kizungu ndio unajiona mjanjaa, upuuzi mtupu.
Huko zanzibar naskia ilikuwa kijani tupu, ndani ya miaka mitano tu imegeuka dubaiMtapata nini kuwa na utawala wa chama kimoja?
Je kitaleta chakula mezani kwenu? au kitawalipa mshahara bila kufanya kazi?
Watu wote watapata ajira? au ndio hata zile za buku 7 zinaenda kukoma!
Ni mpumbavu tu atakayeshangilia kufa kwa upinzani maana hakuna faida kwa mtu yeyote zaidi ya hasara.
Hakuna ambaye hatoguswa kwa kufa kwa upinzani hata yeye uwenda siku moja akawa nje ya madaraka akaguswa tuendelee kuwepo.
Lofa wewe, nani atoke kapa?Sema umetoka kapa. Na mko weeengi huko kwa kijani ambao mwajivunia kutokuelewa.
Ni ukweli mchungu lakini serikali za mitaa ni kijani na naamini uchaguzi mkuu huu utakuwa kijani.Utakuwa kijani zaidi wakati judiciary ikiwa compromised na case za uchaguzi zitakuwa chache.Wanabodi,
"Watakao Rudi Bungeni ni 'Wakijani' "
Haya sii maneno yangu, na sio maneno ya kuambiwa ni maneno yaliyotamkwa na ambayo nimeyasikia mwenyewe kwa masikio yangu mwenyewe!.
Japo maneno haya ni maneno machungu kumeza, kwasababu Tanzania ni ya Watanzania wote na siyo ya 'wakijani' tuu, lakini huo ndio ukweli wenyewe!, Watanzania woote katika Umoja wao, wamewakubali sana 'wakijani' na hili watalithibitisha tarehe 25 October, 2020. Mwenye masikio na asikie!.
Sisemi yamesemwa na nani na yamesemwa wapi, bali nawaomba tuu mniamini!.
Hongereni sana 'Wakijani'
Tulipokuwa tukiwaeleza humu kuhusu Watanzania tujifunze kuukubali ukweli hata uwe ni mchungu vipi kama ukweli huu
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Mlinibeza!.
Niliposema kuhusu hoja ya wabunge wasio wa kijani, wakitaka kurejea Bungeni 2020 ni lazima wajitambue
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?
Pia mlinibeza humu.
Sasa leo Bunge limevunjwa rasmi, tegemeeni "the mass exodus" kwa wabunge wasio 'wakijani' watakao jitambua, they will do the needful, kwa ving'ang'anizi na wenye misimamo, ambao watashikilia msimamo kwa kusimama na wanachokiamini, hawa ni mashujaa!, watakufa kizungu na tai shingoni na kama ni meli au jahazi, hata likumbwe na tufani kubwa kiasi gani, wao watazama na meli yao au jahazi lao na watatamkwa mashujaa watakufa kishujaa!, hoja ya kati ya "waliojitambua" hai, na 'mashujaa' wafu, nani ni muhimu zaidi, ni debatable!.
Kwaheri ya kuonana hadi Novemba
2020... "ndani ya nyumba" panapo majaaliwa!.
Paskali
Walia nini sasa?Lofa wewe, nani atoke kapa?
Machozi yako wapi?Walia nini sasa?
Hotuba yako ya mawazo mbadala yatakiwa kujaa ngonjera za kumsifu kama wakati wa china ya Mao tse tungNarudia tena swali langu la kila siku! Kwa nini mtu akishakuwa ni CCM lazima awe na akili fupi? Kwani anaeamua ni mbunge yupi arudi bungeni na ni mbunge yupi asirudi bungeni ni Magufuli au ni wananchi?!
Huo ndio ugonjwa wenyewe unaokusumbuaMachozi yako wapi?
Hujui madhara yakeKwa heri konyagi aka ...faru dume. Tulikupenda lakini ukajidhalilisha Siku ya mwisho mjini Dodoma.
Utakumbukwa kwa kuleta taharuki na fujo, maandamano na vifo. Matusi na kejeri.
Tanzania itapumua sasa.
Tanzania ya hapa kazi tu , imezaliwa.
Kazi itakuwa ni kipimo cha utu.
Midomo ya matusi bye bye.
Wanabodi,
"Watakao Rudi Bungeni ni 'Wakijani' "
Haya sii maneno yangu, na sio maneno ya kuambiwa ni maneno yaliyotamkwa na ambayo nimeyasikia mwenyewe kwa masikio yangu mwenyewe!.
Japo maneno haya ni maneno machungu kumeza, kwasababu Tanzania ni ya Watanzania wote na siyo ya 'wakijani' tuu, lakini huo ndio ukweli wenyewe!, Watanzania woote katika Umoja wao, wamewakubali sana 'wakijani' na hili watalithibitisha tarehe 25 October, 2020. Mwenye masikio na asikie!.
Sisemi yamesemwa na nani na yamesemwa wapi, bali nawaomba tuu mniamini!.
Hongereni sana 'Wakijani'
Tulipokuwa tukiwaeleza humu kuhusu Watanzania tujifunze kuukubali ukweli hata uwe ni mchungu vipi kama ukweli huu
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Mlinibeza!.
Niliposema kuhusu hoja ya wabunge wasio wa kijani, wakitaka kurejea Bungeni 2020 ni lazima wajitambue
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?
Pia mlinibeza humu.
Sasa leo Bunge limevunjwa rasmi, tegemeeni "the mass exodus" kwa wabunge wasio 'wakijani' watakao jitambua, they will do the needful, kwa ving'ang'anizi na wenye misimamo, ambao watashikilia msimamo kwa kusimama na wanachokiamini, hawa ni mashujaa!, watakufa kizungu na tai shingoni na kama ni meli au jahazi, hata likumbwe na tufani kubwa kiasi gani, wao watazama na meli yao au jahazi lao na watatamkwa mashujaa watakufa kishujaa!, hoja ya kati ya "waliojitambua" hai, na 'mashujaa' wafu, nani ni muhimu zaidi, ni debatable!.
Kwaheri ya kuonana hadi Novemba
2020... "ndani ya nyumba" panapo majaaliwa!.
Paskali
Ule sio utani ni ukweliTumpongeze JPM kwa mengi mazuri anayopambana ila tuyapuuze machache anayochomekea kwa mzaha na utani wa jadi.
This is mind game. I bet you know your cards very well. When I remember you were journalist whom I used to admire your objectivity which is now nowhere to be seen I feel very sad. I ask myself what went wrong?Wanabodi,
"Watakao Rudi Bungeni ni 'Wakijani' "
Haya sii maneno yangu, na sio maneno ya kuambiwa ni maneno yaliyotamkwa na ambayo nimeyasikia mwenyewe kwa masikio yangu mwenyewe!.
Japo maneno haya ni maneno machungu kumeza, kwasababu Tanzania ni ya Watanzania wote na siyo ya 'wakijani' tuu, lakini huo ndio ukweli wenyewe!, Watanzania woote katika Umoja wao, wamewakubali sana 'wakijani' na hili watalithibitisha tarehe 25 October, 2020. Mwenye masikio na asikie!.
Sisemi yamesemwa na nani na yamesemwa wapi, bali nawaomba tuu mniamini!.
Hongereni sana 'Wakijani'
Tulipokuwa tukiwaeleza humu kuhusu Watanzania tujifunze kuukubali ukweli hata uwe ni mchungu vipi kama ukweli huu
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Mlinibeza!.
Niliposema kuhusu hoja ya wabunge wasio wa kijani, wakitaka kurejea Bungeni 2020 ni lazima wajitambue
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?
Pia mlinibeza humu.
Sasa leo Bunge limevunjwa rasmi, tegemeeni "the mass exodus" kwa wabunge wasio 'wakijani' watakao jitambua, they will do the needful, kwa ving'ang'anizi na wenye misimamo, ambao watashikilia msimamo kwa kusimama na wanachokiamini, hawa ni mashujaa!, watakufa kizungu na tai shingoni na kama ni meli au jahazi, hata likumbwe na tufani kubwa kiasi gani, wao watazama na meli yao au jahazi lao na watatamkwa mashujaa watakufa kishujaa!, hoja ya kati ya "waliojitambua" hai, na 'mashujaa' wafu, nani ni muhimu zaidi, ni debatable!.
Kwaheri ya kuonana hadi Novemba
2020... "ndani ya nyumba" panapo majaaliwa!.
Paskali
Kwani hatupo huru? Je waliosema kaiba wameshtakiwa? Je hajaiba? Watanzania wanataka nini? Je wapinzani sio watanzania? Je wale viongozi wa upinzani ndy wapinzani pekee? Watanzania unaowazungumzia ni aina ipi?Kuwa na upinzani wa kuturudisha kwenye ukoloni tulikotoka ni bora tubakie huru tukiwa na chama kimoja, wakishindwa kuelewa nini watanzania tunahitaji watachelewa sana, wasome alama za nyakati, upinzani nchini umepuuzwa baada ya kusariti Taifa na kuanza kushirikiana na agents of neocolonialism kuhujumu juhudi za Magufuli, kumtukana na kumdhihaki Rais kwa uongo mala kaiba mala vile wakati watanzania tunaona anayofanya kumeondoa imani hata ile ndogo ilokuepo kwa upinzani.
Tumekuzoea na maneno yako ya kibwege mkuu...serikali za mitaa si mko wenyewe ?? Je umaskini umepungua?? Mimi nakuambia Pascal pamoja na ukabila ulionao lkn hutakuja kuteuliwa abadani mpk ujirekebishe...unajidharirisha mno...unalamba matako sana ya watawala mpk wanakuona hamnazo..unajipendekeza hadi unatia kinyaaa...watu watakuwa wanakuja kutoka nyuma na kukupita maana hujitambui na ujajua unaowalamba viatu wanataka nn...endelea kujipendekeza hvyo hvyo lkn mwisho wa utabiri wako ni October 25...utabiri wa kushetani maana unafikiri kila mnachoambiwa huko gamboshi kitaenda Kama mnavyoambiwa kumbe holaWanabodi,
"Watakao Rudi Bungeni ni 'Wakijani' "
Haya sii maneno yangu, na sio maneno ya kuambiwa ni maneno yaliyotamkwa na ambayo nimeyasikia mwenyewe kwa masikio yangu mwenyewe!.
Japo maneno haya ni maneno machungu kumeza, kwasababu Tanzania ni ya Watanzania wote na siyo ya 'wakijani' tuu, lakini huo ndio ukweli wenyewe!, Watanzania woote katika Umoja wao, wamewakubali sana 'wakijani' na hili watalithibitisha tarehe 25 October, 2020. Mwenye masikio na asikie!.
Sisemi yamesemwa na nani na yamesemwa wapi, bali nawaomba tuu mniamini!.
Hongereni sana 'Wakijani'
Tulipokuwa tukiwaeleza humu kuhusu Watanzania tujifunze kuukubali ukweli hata uwe ni mchungu vipi kama ukweli huu
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Mlinibeza!.
Niliposema kuhusu hoja ya wabunge wasio wa kijani, wakitaka kurejea Bungeni 2020 ni lazima wajitambue
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?
Pia mlinibeza humu.
Sasa leo Bunge limevunjwa rasmi, tegemeeni "the mass exodus" kwa wabunge wasio 'wakijani' watakao jitambua, they will do the needful, kwa ving'ang'anizi na wenye misimamo, ambao watashikilia msimamo kwa kusimama na wanachokiamini, hawa ni mashujaa!, watakufa kizungu na tai shingoni na kama ni meli au jahazi, hata likumbwe na tufani kubwa kiasi gani, wao watazama na meli yao au jahazi lao na watatamkwa mashujaa watakufa kishujaa!, hoja ya kati ya "waliojitambua" hai, na 'mashujaa' wafu, nani ni muhimu zaidi, ni debatable!.
Kwaheri ya kuonana hadi Novemba
2020... "ndani ya nyumba" panapo majaaliwa!.
Paskali
Sisi wananchi tulio wengi, hatutaona Rais akikwamishwa na hao vibaraka wasoitakia mema nchi yetu, maendeleo yatapaa sana sababu Rais atakuwa na full support ya wananchi.