MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Japo nikiri kuwa huwa nawasema mno Yanga SC hapa JamiiForums nikiwa katika Vita yangu Kuu ya Kipropaganda na Wao ili niwadhoofishe na naanza Kufanikiwa ila kwa leo nakugeukia Mwekezaji, Rais wa Heshima Simba SC na Tajiri Mohammed Ghullum Dewji.
Mo Dewji ni kwanini huwa unapenda sana Kukurupuka hasa kwa Kauli zako ama ukiwa unafanyiwa Interviews au ukiwa unaandika katika Twitter yako? Una matatizo gani Mo Dewji?
Unajua kabisa kuwa Media nyingi nchini Tanzania (hasa Vipindi vya Michezo) wengi wa Watangazaji na Waandishi wa Habari walioko huko wako katika payroll ya GSM na Kazi yao Kubwa ni kutafuta Habari Hasi (Mbaya) za Kuihusu Simba SC yetu ili wawe Wanazieneza katika Redio na Magazeti kusudi Watudhoofishe na Wafanikiwe katika Vita yao ya Kipropaganda na Sisi (Simba SC) halafu na Wewe tena unaharibu na kuwapa ya Kusemea.
Yaani Mo Dewji umeshindwa tu kujua kuwa 85% ya Watangazaji na Waandishi wa Habari (tena wa Masuala ya Michezo) nchini Tanzania ni very weak Mentally, hawako that Professional and Competent katika Field husika na walichozoea ni Mipasho, Uwongo, Fitna, Majungu, Kufarakanisha, Umbea na Upumbavu tupu?
Mo Dewji binafsi (mwana Simba SC Mwenzako) sijazielewa hizi Kauli zako Tatu ulizozitoa Jana na nisikufiche kwani sijazoea Unafiki na huwa simpendi Kumficha Mtu au Kumuogopa kama akiwa kafanya Upuuzi hata akiwa ni Rafiki, Ndugu au Mzazi.
Mo Dewji Wewe ni wa kusema Simba SC yetu inaendeshwa Kihasara? Sasa kama kuna Hasara unafanya nini hapo? Si utoke ili wanaojua kufanya Biashara waje Kuichukua Timu?
Mo Dewji Wewe ni wa kusema kuwa kabla ya Kuwekeza Simba SC tayari umeshatumia Bilioni 25 kabla ya kutoa Bilioni 20 yako ya Uwekezaji? Una uhakika tukikuambia utupe Vielelezo vya hizo Billioni 25 ulizotoa kabla utatoa? Sasa kama uliweza kutoa Bilioni 25 kabla ya Kuwekeza Simba SC kwanini ulipoamua Kuwekeza rasmi usingetoa kabisa Bilioni 50 kama ambavyo Mzee Bakhressa ( mwana Simba SC Mwenzetu japo ana Timu yake ya Azam FC ) alitaka Kuwekeza kwa Kiasi hicho ila Mo Dewji ukamuwahi kwa Kuwahonga mno Waandishi wa Habari wawe Wanakupamba sana na pia kuna baadhi ya Watendaji wa Simba SC nao uliwapa Pesa wazunguke Matawini Dar es Salaam na Mikoani kote ili Wakupambe kwa Wanachama?
Mo Dewji Wewe leo ni wa kusema kuwa endapo Simba SC itafika tu Fainali ya ama Champions League au Confederation Cup Basi ndipo utaamua Kukaa pembeni Simba SC? Hapa umemaanisha nini labda? Je, wenye Akili tukianza kuamini zile Hisia kuwa unapanga Kujiondoa Simba SC na ndiyo maana baadhi ya Vyeo umeviachia, huhudhurii Vikao vya Bodi kama huko nyuma na sasa hukai ( huishi ) muda mwingi Tanzania kama awali tutakuwa tunakosea au tunakukosea?
Mo Dewji nina mengi ila nikuombe tu hebu jitahidi Uajiri Msemaji wako Maalum na awe amebobea kweli katika Communication na awe very Intelligent pia ili awe anakusemea ( anakuzungumzia ) Kiuweledi katika Press Interviews au huko Mitandaoni Kwako kwani Wewe huwa Unaharibu na unapenda sana Kuhemka na Kukurupuka.
Usinichukie kwa hili bali nielewe vyema na nakuomba Uzi huu wa Masikini Mightier Mimi ukusaidie Tajiri Wewe Mo Dewji katika Kujitathmini na Kubadilika pia kwani hujachelewa na duniani hakuna Kuchelewa kama ukiwa Hai na una Afya Njema.