Japo niridhike

Japo niridhike

hapo ngoma droo japo jamaa akijua kamegewa atakua mbogo sana!!
ni ngumu sana kwa mwanaume rijali kama mimi kusamehe kitu kama hicho japo mi namega kisela sometimez
msiniulize sana its just nature

Umeshasema unamega kisela sometimes huyo mwenzio miaka miwili yaani miezi 24 alikuwa out ya nyumba yake hajui watoto wanaishije kama wanakula wameumwa, kule kwa kimada kajenga kabisa halafu anakuja kuta mtoto c wake halafu unaongea ulijali hapo yaani natamani hii kesi ingekua yangu
 
Kama unaikumbuka nijuze kwani nishasahau
nikumbushe basi ndugu........................!
ninavyoona mimi wewe ''SI MGENI''

tunaweza kwenda pm tafadhali?
 
Huyo mwanaume aliyetelekeza familia yake ndiye mjinga kabisa, yeye anafikiri miaka miwili mkewe hapati hamu? Alafu wanume wanamna hii ndio wanaotudhalilisha, unawezaje kunogewa nje mpaka unatelekeza watoto? Ushauri wangu ni kuwa hakuna haja ya mama kusema ukweli, bali pia mama anatakiwa kupunguza speed kwa mfanyabiashara!
 
Asa atapunguzaje naye ndo kakolea................we kitu umeizoea miaka mi2 unaaambiwa uiachie tu! Mbona mnacheza na feeling za huyu mama? Hapo ni kumpa kibuti mshakaji yeye aendelee kufaidi bana!
 
Nyamayao kama hii stori ni kweli ingawa sina hakika,
basi mwambie rafikiyo kwamba wawili kati yao watatu wataonja mauti muda si mrefu

Na huu ndo ukweli na umwambie hivyo.

WAWILI KATI YAO WATAONJA MAUTI!!!
 
Scaring ! Shoking. Hamna ushauri hapo. Vyovyote iwavyo washaharibu.
 
Nyamayao

Cha msingi hapa ni kumueleza mumewe kuhusu mahusiano yake na huyo mfanyabiashara.

Kuhusu suala la nyumba kujengewa, hilo linaweza kubaki siri, kwa maana HIYO ni mali yake, kwa kuwa aliichuma katika kipindi cha matatizo kwa jasho lake, ila anaweza kumpa mtu( ndg mwaminifu au mzazi ) kama msimamizi.

Cha kuangalia hapa, sisi wanaume tunayo matatizo kwaupande mwingine. Huyo dada muhanga wa hilo yawezekana anamjua huyo mfanya biashara. Jambo hapa la msingi, mfanyabiashara anao moyo wa kukubali nyumba aliyojenga iende kwa mwanaume mwingine??? Maana yangu ni kuwa dada nae aangalie kwa umakini kama HATAMWAMBIA mumewe je huyo mfanyabiashara HATKUJA KUCLAIM HIYO NYUMBA?? kwa hasira.??

Pia dada muhanga anao uhakika KAMA HIYO NYUMBA ALIYOJENGEWA NI YAKE KISHERIA?? maana sisi wanaume unaweza kumjengea mwanamke nyumba lakini ARDHI ipo kwenye jina langu, so kuna siku ninaweza kukuambia HAMISHA NYUMBA YAKO NATAKA KIWANJA CHANGU!!so ahakikishe kama mali ni yake.

Kama mfanyabiashara hawezikuja kuiclaim HAMNA HAJA YA KUMUAMBIA MUMEWE, ila kama anaona mfanyabiashara anaweza kuja kuclaim ni vyema akamwambia mumewee maana ni mali yake, NA ISTOSHE MWANAUME ANAWEZA KUMUHESHIMU ZAIIIDI!

Nimewasilisha Nyamayao
 
ni rafiki yangu kipenzi sana, alikuwa na matatizo ya kumtosha na mume wake, mume alipata hawara akamfanya kama mke wa pili, kamjengea, kamfungulia biashara nzuri, yaani ni kama mke mdogo, wamezaa na mtoto 1, kipindi hicho my frnd alisota sana kwenye ndoa, manyanyaso yote aliyapata, mume aamua acje nyumbani hata week nzima yupo kwa huyo hawara, mume alifanya vituko vya kutosha, my frnd ktk kutaka kujifariji alitokea mfanyabiashara mmoja wakapendana, pendo limekuwa pendo. my frnd kasahau kama alikuwa kwenye matatizo ya ndoa, ndani ilikuwa kila mtu anakuja kwa ajili ya kulaza ubavu tu, mwanamke hakuwahi kuonyesha kama ana uhusiano nje, cku ya cku mume akamfumania huyo hawara yake yupo na mwanaume mwingine kwenye nyumba aliyomjengea yeye na kumuwekea kila kitu ndani, kasheshe likawa kasheshe, mume akaamua kwenda kufanya DNA ya mtoto aliezaa na hawara akakuta sio wake, kasheshe likaongezeka....alivyoona hivyo alirudi kwa mkewe na kumuomba msamaha wa kutosha na kumuelezea kila kitu kilichotokea kwa hawara...mke kaamua kumsamehe na kwa maelezo ya mke ni kwamba amejirekebisha sana, ishu ya sasa ni mke na mfanyabiashara, mfanyabiashara nae huku amemjengea mke nyumba nzuri, juzi juzi kambadilishia gari nzuri anawasomesha watoto wa my frnd tangu mume alivyotekwa huko alikuwa hajui watoto wanalipiwaje ada au wanakulaje hapo nyumbani, ni kama ndio aligeuka baba mzazi wa watoto..... mume amekuja dokezwa kwamba mke ana uhusiano na mtu fulani, mume amepeleleza vya kutosha lakini hajapata ushahidi, ni jana jioni mume kamtoa mke wake outing na kumuomba mpaka kumpigia magoti na machozi juu kwamba "japo aridhike" tu amwambie ukweli ili wawewze ku solve kikamilifu matatizo yao waaanze maisha mapya,...

...duuuhh,
Kwani waliosema kinywa huponza kichwa walikuwa wajinga?
Huyo mume kwa kukiri 'ujinga wake' na yaliyomkumba ameharibu kila kitu.
Nyamayao, mwambie shoga yako "hata samaki asingenaswa na chambo pindipo asingeufungua mdomo wake!"

pton125l.jpg
 
Asa atapunguzaje naye ndo kakolea................we kitu umeizoea miaka mi2 unaaambiwa uiachie tu! Mbona mnacheza na feeling za huyu mama? Hapo ni kumpa kibuti mshakaji yeye aendelee kufaidi bana!
MJ you are very right but huyu mama alikosea kwa kutoweka msimamo wake wazi toka mwanzo. Uamuzi wa kumbwaga baba watoto ili aendelee kufaidi na mpenzi angeufanya kabla hajamrudisha na kumsamehe Mr wake. Other wise asacrifice tu mpenzi aanze upya BUT asitubu. Yaani yeye akane kabisa kuwa na mahusiano nje :shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:
 
Nyamayao

Cha msingi hapa ni kumueleza mumewe kuhusu mahusiano yake na huyo mfanyabiashara.

Kuhusu suala la nyumba kujengewa, hilo linaweza kubaki siri, kwa maana HIYO ni mali yake, kwa kuwa aliichuma katika kipindi cha matatizo kwa jasho lake, ila anaweza kumpa mtu( ndg mwaminifu au mzazi ) kama msimamizi.

Cha kuangalia hapa, sisi wanaume tunayo matatizo kwaupande mwingine. Huyo dada muhanga wa hilo yawezekana anamjua huyo mfanya biashara. Jambo hapa la msingi, mfanyabiashara anao moyo wa kukubali nyumba aliyojenga iende kwa mwanaume mwingine??? Maana yangu ni kuwa dada nae aangalie kwa umakini kama HATAMWAMBIA mumewe je huyo mfanyabiashara HATKUJA KUCLAIM HIYO NYUMBA?? kwa hasira.??

Pia dada muhanga anao uhakika KAMA HIYO NYUMBA ALIYOJENGEWA NI YAKE KISHERIA?? maana sisi wanaume unaweza kumjengea mwanamke nyumba lakini ARDHI ipo kwenye jina langu, so kuna siku ninaweza kukuambia HAMISHA NYUMBA YAKO NATAKA KIWANJA CHANGU!!so ahakikishe kama mali ni yake.

Kama mfanyabiashara hawezikuja kuiclaim HAMNA HAJA YA KUMUAMBIA MUMEWE, ila kama anaona mfanyabiashara anaweza kuja kuclaim ni vyema akamwambia mumewee maana ni mali yake, NA ISTOSHE MWANAUME ANAWEZA KUMUHESHIMU ZAIIIDI!

Nimewasilisha Nyamayao

kaka nyumba imejengwa kwenye kiwanja cha mdada hapo kwao...(kwa wazazi)...so mfanyabiashara hakununua kiwanja.
 
...duuuhh,
Kwani waliosema kinywa huponza kichwa walikuwa wajinga?
Huyo mume kwa kukiri 'ujinga wake' na yaliyomkumba ameharibu kila kitu.
Nyamayao, mwambie shoga yako "hata samaki asingenaswa na chambo pindipo asingeufungua mdomo wake!"

pton125l.jpg

ewaa........
 
Back
Top Bottom