Maty
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 2,167
- 727
Yaani hapa sasa mnaleta ushabiki wa kitoto sana. Hebu dili na hii ishu sio kujiona wajanja eti kwa vile ni wanawake.:sad:
hatujifanyi wajanja my dia huo ndio ukweli akuanzae mmalizie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hapa sasa mnaleta ushabiki wa kitoto sana. Hebu dili na hii ishu sio kujiona wajanja eti kwa vile ni wanawake.:sad:
babu?......
babu anawezaje kumfukuza mjukuu??
Hebu pitia kidogo somo la saikolojia ya wanaume ndio tutaelewana hapa. Hii unayotaka kuleta wewe ni reasoning au common sense. Lakini nakwambia huyo dada akifungua mdomo wake tu kuna uwezekano mkubwa sana common sense ya mume ikaacha kufanya kazi na deep ingrained madness kuchukua nafasi....Sasa mziki wake mimi na wewe hatuwezi predict.If you cant stand it then you r free to leave kwani uliondoka mwenyewe na umerudi mwenyewe na yote ulisababisha mwenyewe unaruhusiwa kuchapa lapa kwa mara nyingine. Jaribu kuwa waungwana 2 years hujui mke na watoto wanaishije unakuja unakuta mambo safi unaanza kuleta za kuleta aelezwe ili ajue kosa ili cku nyingine asirudie tena
U can say this again and this time Loud.Yaani kusema ukweli ni mwiko, wababa siyo kama sisi tunasamehe kirahisi. Akisema ukweli tu, analo hilo.
Wanaume dizaini hii labda ni 1% ya wanaume wote. Kwa hyo unaposema huyo dada afungue mdomo, ni kwamba unamshauri ajaribu kucheza na probability 99% ya kupoteza. After all huyo dada inaonekana anajua vilivyo namna mume wake atakavyo-respond na ndiyo maana ameamua kuwa bubu.
hebu twende chemba kidogo mpwa...........
Hebu pitia kidogo somo la saikolojia ya wanaume ndio tutaelewana hapa. Hii unayotaka kuleta wewe ni reasoning au common sense. Lakini nakwambia huyo dada akifungua mdomo wake tu kuna uwezekano mkubwa sana common sense ya mume ikaacha kufanya kazi na deep ingrained madness kuchukua nafasi....Sasa mziki wake mimi na wewe hatuwezi predict.
:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up: Tatizo la hawa watu wanakuwa tayari kufa bila kujulikana kafa na nini...! Nami namshauri sana aseme tena bila kusita, japo na awe tayari kusolve kikamilifu...!Nyamayao to be honest ur nt a good friend,ur killing your friend's conciuos, na hapo ndipo ndoa itakapo bomoka yaani wewe ni kama unamshauri shoga yako kulipiza kisasi, kama makosa kila mtu ametenda na sasa ndio wakati muafaka wa kuyamaliza, sasa kama hatamueleza ukweli mumewe, hicho kimbunga chake katrina ni ndogo, na kwa hiyo story inavyoonekana huyo jamaa anapenda mambo ya ukweli , maana hata small house imeachwa kwa kumdanganya jemba, mwambie atoe siri kabla hilo jambo halijapoa , maana hakuna marefu yasio na ncha, cku atadakwa tu, mapenzi kikohozi unajua hilo
Kaka mkubwa naona leo ulikuwepo kiuchakachuzi zaidi😛eep:Duh! Funza mke? Hivi kuna funza mke au funza jike?:doh::doh::doh:
Some secrets are bond to remain secrets................ cha muhimu ni kukatisha hayo mahusiano na huyo mfanyabiashara kwa sababu hakuonyesha msimamo wake tangu mwanza sasa hivi anapata shida maana kama inavyoonekana kwa mfanyabiashara amefika. Huyu dada alitakiwa kuamua moja kuacha ndoa kipindi alipoachwa na kwenda kwa mfanya biashara kabisa au kuvumilia na kutomruhusu mfanya biashara
Simshauri aseme ukweli but akikana kuwa hana mahusiano ya nje, ataachana na huyo mfanya biashara?? Kwa sababu asipoachana naye ina maana iko siku atabambwa na hapo makosa ndo yatakuwa yanaongezeka
hatujifanyi wajanja my dia huo ndio ukweli akuanzae mmalizie
samahani kidogo wajameni hivi we MATY wewe,
zamani ulikuwa unatumia ID gani vile?.......:smile::smile::smile:
hahaha!ukiniban nitaandamanaUmeanza name calling na ID linkage....nitakuban....
ni rafiki yangu kipenzi sana, alikuwa na matatizo ya kumtosha na mume wake, mume alipata hawara akamfanya kama mke wa pili, kamjengea, kamfungulia biashara nzuri, yaani ni kama mke mdogo, wamezaa na mtoto 1, kipindi hicho my frnd alisota sana kwenye ndoa, manyanyaso yote aliyapata, mume aamua acje nyumbani hata week nzima yupo kwa huyo hawara, mume alifanya vituko vya kutosha, my frnd ktk kutaka kujifariji alitokea mfanyabiashara mmoja wakapendana, pendo limekuwa pendo. my frnd kasahau kama alikuwa kwenye matatizo ya ndoa, ndani ilikuwa kila mtu anakuja kwa ajili ya kulaza ubavu tu, mwanamke hakuwahi kuonyesha kama ana uhusiano nje, cku ya cku mume akamfumania huyo hawara yake yupo na mwanaume mwingine kwenye nyumba aliyomjengea yeye na kumuwekea kila kitu ndani, kasheshe likawa kasheshe, mume akaamua kwenda kufanya DNA ya mtoto aliezaa na hawara akakuta sio wake, kasheshe likaongezeka....alivyoona hivyo alirudi kwa mkewe na kumuomba msamaha wa kutosha na kumuelezea kila kitu kilichotokea kwa hawara...mke kaamua kumsamehe na kwa maelezo ya mke ni kwamba amejirekebisha sana, ishu ya sasa ni mke na mfanyabiashara, mfanyabiashara nae huku amemjengea mke nyumba nzuri, juzi juzi kambadilishia gari nzuri anawasomesha watoto wa my frnd tangu mume alivyotekwa huko alikuwa hajui watoto wanalipiwaje ada au wanakulaje hapo nyumbani, ni kama ndio aligeuka baba mzazi wa watoto..... mume amekuja dokezwa kwamba mke ana uhusiano na mtu fulani, mume amepeleleza vya kutosha lakini hajapata ushahidi, ni jana jioni mume kamtoa mke wake outing na kumuomba mpaka kumpigia magoti na machozi juu kwamba "japo aridhike" tu amwambie ukweli ili wawewze ku solve kikamilifu matatizo yao waaanze maisha mapya, hawakufikia muafaka coz mke aliendelea kukana,ni asubuhi hii kanical kunipa hii ishu ya kwamba amweleze ukweli au aendelee kukana? mie nilimuuliza tu kama bado anaihitaji hiyo ndoa? alinijibu bado anahiitaji, kwa ushauri wangu nilimwambia kama unahiitaji uckae ukasema ukweli, endelea kukana hivyo hivyo, ni leo maongezi yao yataedelea, wewe kama wewe ungemshaurije huyu dada?