Huyo alirudi kwa mke baada ya mambo kuharibika kwa hawara. Na mke kwa upendo kamrudishia 50% ya unyumba. Akitaka 100% ya unyumba, asubiri mkewe naye aachike huko kwa hawara. What goes around comes around, hakuna short cut. Kilichomfanya ajutie na kurudi kwa mkewe si upendo, ni circumstances. Na kilichompeleka mkewe huko aliko ni circumstances pia. Na ndizo zitakazomrudisha kwa mumewe, lakini bado hazijatokea. Huyo bwana alilikoroga, sasa analinywa. Mfumo wa maisha ulimwenguni haukutengenezwa kwa msingi wa huruma, ni kanuni tu, kila kosa lina adhabu yake, hapahapa!