samahani kidogo wajameni hivi we MATY wewe,
zamani ulikuwa unatumia ID gani vile?.......:smile::smile::smile:
hapo ngoma droo japo jamaa akijua kamegewa atakua mbogo sana!!
ni ngumu sana kwa mwanaume rijali kama mimi kusamehe kitu kama hicho japo mi namega kisela sometimez
msiniulize sana its just nature
nikumbushe basi ndugu........................!Kama unaikumbuka nijuze kwani nishasahau
nikumbushe basi ndugu........................!
ninavyoona mimi wewe ''SI MGENI''
tunaweza kwenda pm tafadhali?
nimeridhika!.....Vipi umeridhika sasa baada ya PM?
nimeridhika!.....
sasa ngoja niwahi makange salenda.we nitakupigia on my way au cio?
ni rafiki yangu kipenzi sana, alikuwa na matatizo ya kumtosha na mume wake, mume alipata hawara akamfanya kama mke wa pili, kamjengea, kamfungulia biashara nzuri, yaani ni kama mke mdogo, wamezaa na mtoto 1, kipindi hicho my frnd alisota sana kwenye ndoa, manyanyaso yote aliyapata, mume aamua acje nyumbani hata week nzima yupo kwa huyo hawara, mume alifanya vituko vya kutosha, my frnd ktk kutaka kujifariji alitokea mfanyabiashara mmoja wakapendana, pendo limekuwa pendo. my frnd kasahau kama alikuwa kwenye matatizo ya ndoa, ndani ilikuwa kila mtu anakuja kwa ajili ya kulaza ubavu tu, mwanamke hakuwahi kuonyesha kama ana uhusiano nje, cku ya cku mume akamfumania huyo hawara yake yupo na mwanaume mwingine kwenye nyumba aliyomjengea yeye na kumuwekea kila kitu ndani, kasheshe likawa kasheshe, mume akaamua kwenda kufanya DNA ya mtoto aliezaa na hawara akakuta sio wake, kasheshe likaongezeka....alivyoona hivyo alirudi kwa mkewe na kumuomba msamaha wa kutosha na kumuelezea kila kitu kilichotokea kwa hawara...mke kaamua kumsamehe na kwa maelezo ya mke ni kwamba amejirekebisha sana, ishu ya sasa ni mke na mfanyabiashara, mfanyabiashara nae huku amemjengea mke nyumba nzuri, juzi juzi kambadilishia gari nzuri anawasomesha watoto wa my frnd tangu mume alivyotekwa huko alikuwa hajui watoto wanalipiwaje ada au wanakulaje hapo nyumbani, ni kama ndio aligeuka baba mzazi wa watoto..... mume amekuja dokezwa kwamba mke ana uhusiano na mtu fulani, mume amepeleleza vya kutosha lakini hajapata ushahidi, ni jana jioni mume kamtoa mke wake outing na kumuomba mpaka kumpigia magoti na machozi juu kwamba "japo aridhike" tu amwambie ukweli ili wawewze ku solve kikamilifu matatizo yao waaanze maisha mapya,...
MJ you are very right but huyu mama alikosea kwa kutoweka msimamo wake wazi toka mwanzo. Uamuzi wa kumbwaga baba watoto ili aendelee kufaidi na mpenzi angeufanya kabla hajamrudisha na kumsamehe Mr wake. Other wise asacrifice tu mpenzi aanze upya BUT asitubu. Yaani yeye akane kabisa kuwa na mahusiano nje :shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:Asa atapunguzaje naye ndo kakolea................we kitu umeizoea miaka mi2 unaaambiwa uiachie tu! Mbona mnacheza na feeling za huyu mama? Hapo ni kumpa kibuti mshakaji yeye aendelee kufaidi bana!
Yaani hapa sasa mnaleta ushabiki wa kitoto sana. Hebu dili na hii ishu sio kujiona wajanja eti kwa vile ni wanawake.:sad:
Nyamayao
Cha msingi hapa ni kumueleza mumewe kuhusu mahusiano yake na huyo mfanyabiashara.
Kuhusu suala la nyumba kujengewa, hilo linaweza kubaki siri, kwa maana HIYO ni mali yake, kwa kuwa aliichuma katika kipindi cha matatizo kwa jasho lake, ila anaweza kumpa mtu( ndg mwaminifu au mzazi ) kama msimamizi.
Cha kuangalia hapa, sisi wanaume tunayo matatizo kwaupande mwingine. Huyo dada muhanga wa hilo yawezekana anamjua huyo mfanya biashara. Jambo hapa la msingi, mfanyabiashara anao moyo wa kukubali nyumba aliyojenga iende kwa mwanaume mwingine??? Maana yangu ni kuwa dada nae aangalie kwa umakini kama HATAMWAMBIA mumewe je huyo mfanyabiashara HATKUJA KUCLAIM HIYO NYUMBA?? kwa hasira.??
Pia dada muhanga anao uhakika KAMA HIYO NYUMBA ALIYOJENGEWA NI YAKE KISHERIA?? maana sisi wanaume unaweza kumjengea mwanamke nyumba lakini ARDHI ipo kwenye jina langu, so kuna siku ninaweza kukuambia HAMISHA NYUMBA YAKO NATAKA KIWANJA CHANGU!!so ahakikishe kama mali ni yake.
Kama mfanyabiashara hawezikuja kuiclaim HAMNA HAJA YA KUMUAMBIA MUMEWE, ila kama anaona mfanyabiashara anaweza kuja kuclaim ni vyema akamwambia mumewee maana ni mali yake, NA ISTOSHE MWANAUME ANAWEZA KUMUHESHIMU ZAIIIDI!
Nimewasilisha Nyamayao
...duuuhh,
Kwani waliosema kinywa huponza kichwa walikuwa wajinga?
Huyo mume kwa kukiri 'ujinga wake' na yaliyomkumba ameharibu kila kitu.
Nyamayao, mwambie shoga yako "hata samaki asingenaswa na chambo pindipo asingeufungua mdomo wake!"
ila huyu mwanamama aache kabisa mahusiano na huyu mfanyabiashara ili waishi kwa amani na mmewe