sasa Funza huoni kwamba mke akiomba talaka sasa hivi na vuguvugu lililopo litaleta hatari zaidi? na mume cdhani kama atakuwa tayari kubaki mpweke kiac hicho, akose mke amekosa hawara...mhhh mnajitakiaga mengine, umeuliza huyo mfanyabiashara anawezaje kumjengea nyumba mke wa mtu? labda nitasema kuna watu wana pesa ziczo na mawazo, nyumba nzuri sana nimeshaiona na ilijengwa haraka sana, nasema ana pesa czizo na mawazo coz anajua mume karudi kwake lakini bado kaenda ku deposit pesa ya mtoto ya skul, na kitu mume kinammaliza zaidi jamaa ni mfanyabiashara mkubwa mjini, ana mtandano wa kumtosha, juzi mume alijua huyo mfanyabiashara yupo hotel fulani na wenzake wanapata kinnywaji akaenda kumchukua mke ofcn jioni akamwomba wapitie pale, cjui jamaa alitaka kufanya nn lakini kila mtu aliendelea na shughuli zake za kinywaji kama vile hakuna linaloendelea chini ya jua, mke anakwambaia hakutaka kufanya kosa hata la kwenda toilet.