Hapo kwenye blue...Hawa wazinzi wanaenda kufanya nini kanisani? Mbona wanataka Mungu aingiwe na ile hasira yake ya zamani?
Ila huyo mwanaume hana akili timamu kichwani. Inakuwaje unajua huyu ni mke wa mtu ukafanya yote aliyoyafanya? Kumegana, sawa, yaweza kuwa tamaa ya miili. Lakini ndio mpaka umnunulie gari, tena umbadilishie kabisa? Umjengee nyumba? Yani unaweka ushahidi kwenye mahusiano na mke wa mtu? Huyu mfanyabiashara si chizi? Hivi huyu mama akiamua kurudiana na mume wake, huyu chizi mfanya biashara atadai gari na nyumba yake?
Nyamayao darling...mshauri rafiki yako amrudie mume wake. Aftaroo wote wametoka nje ya ndoa. Ni rahisi kusameheana na kusahau na kuendelea na maisha. Tayari wana faida ya gari na nyumba, Mungu awape nini.
Afu niPM nikupe namba za mama Matesha umpe mfanyabiashara aje animegee, amjengee nyumba na kumnunulia gari. Hilo kwangu halina shida, ili mradi haondoki na kikojolea cha mama Matesha wangu. Ila ajue akishamaliza kujenga, anatakiwa a-keep distance kabla sijaigeuza sura yake kuwa bucha la kitimoto!