Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Kwanza kabisa, hamna timu ya mpira siipendi kama barca kwenye hii dunia!! Barca wametoka kwenye 4 bila mpaka kuvuka 16 bora kitu ambacho wengi wetu tulijua ndio mwisho wa barca!!
PSG waliingia uwanjani wakiwa na uhakika wa kuvuka baada ya ushindi wa nyumbani! PSG watajilaumu kwa na nafasi za wazi ambazo cavanni alikosa akiwa na kipa, di maria alizokosa akiwa kipa!!
Haya ndiyo nimejifunza:
1. Usiridhike na ulicho nacho hata kama ni kikubwa (hii inawahusu psg)
2. Usikate tamaa hata ukiwa down kiasi gani (hii inawahusu barca)
3. Unapoanguka pigana kuamka tena. Usikubali yaishe!
4. Sometimes kujilinda sio njia nzuri ya defence, but attacking is the best defensive option!
5. Tumia nafasi vizuri unapopata nafasi (hii inamuhusu cavanni na di maria kwa kukosa goli wakiwa na kipa)!
All in all japo mmepita ila siwapi nafasi ya kubeba ndoo maana kuna wataalam wengine akina juve buyern borrussia na real madrid najua watawanyoosha tu!!
Hongereni kwa ushindi barca fans!!