Emmanuel kant
JF-Expert Member
- Mar 15, 2026
- 333
- 857
Balozi polepole ukiwa hai au umekufa bado tunakukumbuka, tumenyamaza lakini hatujakusahau. Mambo bado ni mabaya sana, Mafwele anaandaliwa kuwa kuwa IGP nafikiri ni namna ya kumlinda.
ok.🐒Balozi polepole ukiwa hai au umekufa bado tunakukumbuka, tumenyamaza lakini hatujakusahau. Mambo bado ni mabaya sana, Mafwele anaandaliwa kuwa kuwa IGP nafikiri ni namna ya kumlinda.
ndio akili zakoHivi ule uvumi kuhusu huyu jamaa kukamatwa na wanajeshi na kisha kupumuliwa kisogoni ziliishia wapi?