Japo tumepiga kelele tukanyamaza bado tunakukumbuka amb. Polepole Mafwele anajitokeza kwenye kadamnasi live.

Sikuhizi anaonekana hadharani ingawa bado ana wasiwasi mwingi kichwani mwake.
Kwa UJINGA uliopo ndani ya nchi hii anaweza kupewa hicho cheo
 
Hivi ule uvumi kuhusu huyu jamaa kukamatwa na wanajeshi na kisha kupumuliwa kisogoni ziliishia wapi?
 
Balozi polepole ukiwa hai au umekufa bado tunakukumbuka, tumenyamaza lakini hatujakusahau. Mambo bado ni mabaya sana, Mafwele anaandaliwa kuwa kuwa IGP nafikiri ni namna ya kumlinda.
ok.🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…