Alikuwa Kijakazi(house girl)Tatizo kubwa hapa ni ku-mordernize mambo, enzi hizo kulikuwa na house girl? tumia neno sahihi kumuelezea hajra laikuwa ni nani!
Torati ni sehemu ya Biblia wewe bwege!!Je utaikanusha Injili kwa kuwa ilitanguliwa na torati kwa zaidi ya miaka 3000?
Ni kati ya somo nililokuwa nikilifaulu sana, ilikuwa nikipata B ni kama nimefeli.Somo la historia ulipata ngapi enzi zako?
Mwanzo 16:1Tatizo kubwa hapa ni ku-mordernize mambo, enzi hizo kulikuwa na house girl? tumia neno sahihi kumuelezea hajra laikuwa ni nani!
Kwa sababu Ishmael alikuwa mwana wa Ajiri. Wa Ibrahim alikuwa ni Isaka.Sasa anakuaje mwanawe wa pekee wakati yupo mkubwa wake? ... au kiswahili kimebadilika saivi kwamba pekee haimaanishi pekee tunayoijua?
Nakubaliana Na wewe kabisa kulingana na Biblia 100%Katika Historia ya Ibrahim alimpata Ishamil baada ya kufika Kaanani na si njiani, unakubalina na Hili?
Hebroni iko Ukinga wa magharibu mwa israel Eneo ambalo Ni Palestina Na sio IsraelIbrahim Hadi Leo Waislam na Wakristo wote wanakubaliana kuwa Kaburi lake liko Hebron Israel?
Hakuna Mahali nimesema kuwa alienda mpaka Saudi arabia..Je unataka kusema Ibrahim alitembea kwenda Saudi Arabia kumtoa Sadaka mtoto wake?
Halafu Biblia inajichanganya tena kuonesha kuwa Ismael aliondoshwa na mama yake pindi ni mchanga mtoto wa kubebwa mgongoniUna Uhakika Mkuu? (Soma mwanzo 13:25)
Lets Talk Facts..
Tuanze na Mwanzo 16:15-16
View attachment 3021350
Ibrahim/Abram alikuwa na Miaka 86 Alipomzaa Ishamael..
Baada ya Miaka 13 Mungu alifanya Agano na Abram agano la kwanza La kutahiriwa na kubadilishwa Jina kutoka Abram Kuwa Ibrahimu..
Mwanzo 17
View attachment 3021358
Wakati wa Agano hili na wakati watoto wote wakitahiriwa na watu wote wa Ibrahimu..
Ishmaili alikuwa Mtoto pekee wa Ibrahimu akiwa na miaka 13 na Isaka akiwa bado hajazaliwa..
Ibrahimu alimpenda Sana Ishamael na ndo maana alimuambia Mungu kuwa Anaomba Ambariki Ishmaili..
Hapa chini utapata uone Ombi la Ibrahimu kwa Mungu na ukisoma kwenye aya ya 23 utapata miaka ya Ishamael
View attachment 3021364
Kwahyo Ibrahimu alikuwa na Miaka 100 alipozaliwa Isaka hiyo inamaanisha Kuwa Ishmael alikuwa na Miaka 14 View attachment 3021365
Sasa lini Amri ya Kuchinjwa Ilifanyika.?
Katika Theolojia Wanatheolojia Baadhi wanakubaliana kwamba Ibrahimu alipata Amri ya Kumchinjwa mwanae akiwa na Miaka 100 yaani Ibrahimu akiwa na miaka 100..
Sasa Do the maths Kipindi Ibrahimu akiwa Na miaka 100 Only Son aliyekuwepo Ni Ishmael na Baadae alizaliwa Isaka..
All you have to do ni kutafakari tu na Kuchambua utapata Ukweli
Mbona hamuifati kama ni sehemu ya biblia?Torati ni sehemu ya Biblia wewe bwege!!
Mwanzo 16:3Alikuwa Kijakazi(house girl)
Mwanzo 16:1-2Mwanzo 16:3
Biblia inamtambua Hajar kuwa ni mke halali wa Ibrahim.
Kuna tatizo kwa mwanaume kumuoa mfanyakazi wake?
Na vipi Kuhusu Andiko hili Mkuu Daudi?Mwanzo 16:1
[1]Basi Sarai mkewe Abramu hakumzalia mwana, naye alikuwa na mjakazi, Mmisri, jina lake Hajiri.
Now Sarai Abram's wife bare him no children: and she had an handmaid, an Egyptian, whose name was Hagar.
Mwanzo 16:5-6Mwanzo 16:3
Biblia inamtambua Hajar kuwa ni mke halali wa Ibrahim.
Kuna tatizo kwa mwanaume kumuoa mfanyakazi wake?
Yeah naelewa Kuna Kitu kinaitwa Documentary Hypothesis au kinafahamika zaidi kaka JEPD Theory ukisoma Utaelewa Kwanini Story unahisi Zinajichanganya..Halafu Biblia inajichanganya tena kuonesha kuwa Ismael aliondoshwa na mama yake pindi ni mchanga mtoto wa kubebwa mgongoni
Mwanzo 21:14-19
Asante kwa ufafanuzi ila tulikuwa tunatafuta status ya Hajir, pamoja na kuzaa na Ibrahimu lakini hakuwa mke bado alikuwa Kijakazi, ndo maana hata ilipotokea ugomvi aliyemfukuza ni Sarah sio IbrahimuNa vipi Kuhusu Andiko hili Mkuu Daudi?
Mwanzo 16:3
"Sarai mkewe Abramu akamtwaa Hajiri Mmisri mjakazi wake, baada ya kukaa Abramu katika nchi ya Kanaani miaka kumi, akampa Abramu mumewe, awe mkewe.
And Sarai Abram's wife took Hagar her maid the Egyptian, after Abram had dwelt ten years in the land of Canaan, and gave her to her husband Abram to be his wife."
Nikuulize kitu Daudi?
Unajua Hajri alitokea wapi alikuwa Princess wa Misri na alipewa ibrahimu kipindi kile farao alipoogopa mkono wa Mungu..
Baada ya kukaa miaka kumi kwa sheria ya Waebrania Ilimpasa Ibrahimu kumuachia huru ila mkewe sara alionelea kuwa Asimuache ila amuozeshe kwa Mumewe....
Kuna watoto wengi tu ambao wametoka kwa wamama ambao ni Vijakazi..
Mtoto wa Yakobo Dani Ni wa Bilha ambaye ni Kijakazi..
Mtoto wa Yakobo Naftari Ni wa Bilha ambaye ni kijakazi..
Mtoto wa Yakobo Gadi ni mtoto w zilpa ambaye ni kijakazi..
Mtoto wa Yakobo Asheri ni mtoto wa Zilpa ambaye ni kijakazi..
Katika Vijakazi wote wakeze Yakobo hakuna hata mmoka yakobo aliyekuwa amemuoa..
Soma mwanzo 29 mpka mwanzo 30
Hakuna neno "sadaka wala amtoe mwanae, umepotosha. Hilo neno sadaka na amtoe mwanae ni lipiu katika hizo aya zilizosomwa au nyingine yoyote kwenhye kisa cha Ibrahim?Hebu ifanyie tarjama hiyo aya kwenda kwa kiswahili ili tuone kama aliyetolewa sadaka si Ismael?
Aya ipo wazi imeeleza mtiririko mzima toka ibrahim anapata mtoto wa kwanza kisha mtoto anakua kufika balehe, ibrahim anapata ndoto kuwa amtoe sadaka mwanae, anatekeleza ila Mungu anamlipa kwa kumpa kichinjo, kisha anapewa bishara kuwa atapata mtoto mwingine aitwae ishaq.
Tunaifuata ila Yesu Kristu alipokuja alirekebisha baadhi kwa mfano ulaji wa nguruwe. Soma Agano Jipya kitabu cha Matendo ya Mitume Sura ya 10Mbona hamuifati kama ni sehemu ya biblia?
Umesoma Biblia ilivyoandika Kwenye Mwanzo 16:3Asante kwa ufafanuzi ila tulikuwa tunatafuta status ya Hajir, pamoja na kuzaa na Ibrahimu lakini hakuwa mke bado alikuwa Kijakazi, ndo maana hata ilipotokea ugomvi aliyemfukuza ni Sarah sio Ibrahimu
Wapi yesu aliwahi kula nguruwe hata kwa bahati mbaya? Zaidi tunasoma aliyakemea mapepo yakakimbilia kwenye nguruwe na kutumbukia bahariniTunaifuata ila Yesu Kristu alipokuja alirekebisha baadhi kwa mfano ulaji wa nguruwe. Soma Agano Jipya kitabu cha Matendo ya Mitume Sura ya 10
Moria alipoenda ni Jerusalem ya Leo...Nakubaliana Na wewe kabisa kulingana na Biblia 100%
Hebroni iko Ukinga wa magharibu mwa israel Eneo ambalo Ni Palestina Na sio Israel
Hakuna Mahali nimesema kuwa alienda mpaka Saudi arabia..
Ila Hata hivyo.Biblia inasema alitoka Nchi ya Kanaani mpaka nchi ya Moria kwenda kumtoa sadaka mwanae..
View attachment 3021397