Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,710
- 5,054
Basi ulikuwa unakiriri tu. Kwa habari yako hadi Betlehemu alikozaliwa Yesu kuko Palestine. Hamna nchi inaitwa Israel kabla Mwaka 1948. Mwaka 1948 baada uvamizi wa Wayahudi bandia ndo Hilo Taifa feki la Wayahudi feki lilikuja kubuniwa.Ni kati ya somo nililokuwa nikilifaulu sana, ilikuwa nikipata B ni kama nimefeli.
ALLAH ameshawa challenge wewe na babu zako waliokutangulia katika ukafiri mlete walau kosa moja tu ndani ya Quran au hata mfano wa sura moja tu ila hakuna aliyeleta na atakayeleta mpaka dunia inatamatikaQuran nayo inamakosa mengi Mkuu Tunaweza tukayataja ila sio kwa leo
Nikianza na Kuwa sara alitoa Oda nakataa kuwa Hapana Sara hakutoa Order ya Kufukuzwa kwa Hajiri..Hajir unajua alifukuzwa mara mbili? alipokuwa mjamzito na alipokuwa na mtoto, na wewe unazungumzia ugomvi mkubwa ulitokea ambao ndio uliomwondoa Hajir moja kwa moja, lakini pia ukisoma mistari hiyo ni Sarah alitoa oda ya Hajiri kufukuzwa na likawa jambo baya kwa Ibrahimu sijui hapo umesema, na Mungu alikuwa upande wa Sarah hapo umejiuliza kwa nini?
Lakini mwanzoni Sarah alimfukuza Hajir akiwa mjamzito haya labda tujadiliane ilikuwaje Ibrahimu alimruhusu Sarah kumfukuza Hajiri? Je inawezekana bimkubwa wako kumfukuza bimdogo wako?
Na wa Sara ni nani?Kwa sababu Ishmael alikuwa mwana wa Ajiri. Wa Ibrahim alikuwa ni Isaka.
Je kilugha itakuwa ni sawa wasaidizi wa nyumbani kwa sasa tukiwaita wajakazi?Mwanzo 16:1
[1]Basi Sarai mkewe Abramu hakumzalia mwana, naye alikuwa na mjakazi, Mmisri, jina lake Hajiri.
Now Sarai Abram's wife bare him no children: and she had an handmaid, an Egyptian, whose name was Hagar.
Waandishi wa bublia kwenye eneo hili walidanganya halafu wakashindwa kuficha ushahidi wa uwongo wao. Bublia hiyo hiyo inasema kijana alikuwa akimuuliza baba yake kwamba Kuni wanazo na kisu wanachuo ila mbona hawana kondoo wa kumchinja kama sadaka. Tunaona baba yake anamjibu kuwa kondoo watamkuta huko. Hili linathibisha wazi kuwa aliyekuwa anaenda kutolewa sadaka ni kijana aliyekuwa akitembea Kwa miguu yake na ana umri wa kumsaidia baba yake baadhi ya shughuli. Ni wazi kabisa ni Ishmaeli.Sasa Nataka uniambia Ibrahimu kwanin alitaka Kuchinja Mtoto wa Miezi kadhaa?
Wakati mtoto wa Miaka 14 yupo??
Maana ibrahimu kajaribiwa akiwa na miaka 100...
Kipindi hicho Isaka ana miezi kadhaa tu na ishamaeli alikuwa na miaka 14
Bado haujajibu kwenye kisa cha kwanza?Nikianza na Kuwa sara alitoa Oda nakataa kuwa Hapana Sara hakutoa Order ya Kufukuzwa kwa Hajiri..
Alienda Kushitaki kama Mke mwingine anavyoweza kwenda Kushtaki mfano tuseme alisema "Huyu Mke mdogo amenidharau nataka Umfukuze"
Ibrahimu akakasirika kuona sara anataka Mke mwingine afukuzwe..
"Ila kabla hajatoa maamuzi mabaya kwa Sara mungu akamwambia aha ahaa Msikilize mkeo na Umfukuze Huyo mwanamke kwakuwa kama yeye ndo aliyekupa ndyo anajua Bora kwako" (Nimeongeza maneno)..
Unajua Mila za Kiebrania Kuhusu Mamlaka ya Mke Mkubwa????
MKe mkubwa ndyo mwamuzi Wa Pili baada ya Mume
Wewe ni mfia dini tu na sio mchambuzi huru.ALLAH ameshawa challenge wewe na babu zako waliokutangulia katika ukafiri mlete walau kosa moja tu ndani ya Quran au hata mfano wa sura moja tu ila hakuna aliyeleta na atakayeleta mpaka dunia inatamatika
Kwanza kabisa Mkuu Mimi sio Kafiri maana Hakuna Sehemu Nilipokufuru..ALLAH ameshawa challenge wewe na babu zako waliokutangulia katika ukafiri mlete walau kosa moja tu ndani ya Quran au hata mfano wa sura moja tu ila hakuna aliyeleta na atakayeleta mpaka dunia inatamatika
itakuwa sawa tu, maana kile walichokifanya wajakazi ndicho wanachokifanya house girlsJe kilugha itakuwa ni sawa wasaidizi wa nyumbani kwa sasa tukiwaita wajakazi?
Mnaongea sana bila kuweka Maandiko.Waandishi wa bublia kwenye eneo hili walidanganya halafu wakashindwa kuficha ushahidi wa uwongo wao. Bublia hiyo hiyo inasema kijana alikuwa akimuuliza baba yake kwamba Kuni wanazo na kisu wanachuo ila mbona hawana kondoo wa kumchinja kama sadaka. Tunaona baba yake anamjibu kuwa kondoo watamkuta huko. Hili linathibisha wazi kuwa aliyekuwa anaenda kutolewa sadaka ni kijana aliyekuwa akitembea Kwa miguu yake na ana umri wa kumsaidia baba yake baadhi ya shughuli. Ni wazi kabisa ni Ishmaeli.
Sheria aliyotumia Ibrahim ndiyo sheria ipo kwenye Quran,vijakazi ni ruksa kuwafanya wake kwa kuwaingilia na inahesabika halali mbele za Mungu,kumbuka kijakazi siyo house girl Bali palikua na utaratibu wa kununua watumwa anakua Mali yako totally,hayo ya kwenye biblia ni kawaida ya waisrael kubadili maandiko na vile bifu na dharau kwa waarabu tangu kale, ndiyo wakatia mikononi maandiko,mwana wa pekee hawezi kuwa wa piliKumbuka Ibrahim hakuwa mgumba?
Ungeanza kuuliza tamaduni na sheria za Kale za kiebrània zilikuwa zinasemaje.
Mtoto wa kijakazi nd Suria hahesabiki kama mtoto wa pekee yaani astahiliye urithi.
Mtoto wa mke halali wa ndoa ndiye mtoto anayetambulika
Alafu waislamu haohao sio kwamba hawajui hi,o sheria kwa sababu wanazitumia mpaka hivi leo.
Mtoto haramu haitwi kwa jina la Baba na wala hastahili urithi
Hizo ni sheria za zamani huko mashariki ya kati
Siyo sawa,kisheria kijakazi ni mtumwa uliyemnunua,Tena kauzwa na wazazi wakeitakuwa sawa tu, maana kile walichokifanya wajakazi ndicho wanachokifanya house girls
Asante sana, kwa kauli hii, umeufunga huu mjadala. Asante.Nimesikiliza "qari" yaani msomaji, kasoma Surat Saffat aya ya 100 mpaka aya ya 105. Nimesikiliza na aliyepewa kutafsiri, hapo ndipo aliporonga. Na yeye kwa kuwa anajuwa anahokisema akamsukumia mtafsiri mwengine aitwae Ibn kathir, akasema huyo mtafsiri ndiye kasema huyo ni mtoto ni "Ismail".Hayo Yanabaki kuwa ni maneno ya mtafsiri (commentator) na siyo ya Qur'an.
Maana yake nini hiyo? Maana yake hakuna katika hiyo aya alipotajwa Ismail.
Ndiyto maana post ya juu huko nikasema yamepachikwa maneno kutoka nje ya Qur'an. Hata wewe ukiisikiliza aya inaposomwa hutosikia jina la Ismail, hilo utalisikia kutoka kwa "mtafsiri (commentator). Kayatowa wapi hayo aliyoongezea kama hayapo kwenye Qur'an? Hilo ndilo swali la kujiuliza.
Mkuu naomba nikuulize kitu una Mke??Bado haujajibu kwenye kisa cha kwanza?
Mwanzo 16:5-6
[5]Sarai akamwambia Abramu, Ubaya ulionipata na uwe juu yako; nimekupa mjakazi wangu kifuani mwako, naye alipoona kwamba amepata mimba, mimi nimekuwa duni machoni pake. BWANA na ahukumu kati ya mimi na wewe.
[6]Naye Abramu akamwambia Sarai, Tazama, mjakazi wako yu mkononi mwako, mtendee lililo jema machoni pako. Sarai akamtesa, naye akakimbia kutoka mbele yake.
Ilikuaje Ibrahimu akamruhusu mkewe amfukuze Hajir?
Hoja 2 kuhusu utamaduni wa waebrania
-Umesoma kisa cha lea na Rahel wake zake Yakobo?
- Umesoma kisa cha Hana na Penina wake zake Elkana?
Kike kinachodai kwamba Mungu alishuka usiku akapigana mieleka na yakobo na akashindwa Hadi kulalamika kwa yakobo amuachie binaadam wasije muona pakipambazuka,na kutakiwa kumbariki kwanza yakobo na kuwa Israel,hakiwezi kuwa kitabu kisemacho kweliKwa vile mtoto aliyetolewa sadaka ni mmoja, hivyo kati ya vitabu hivi viwili, kuna kimoja ni ukweli na kingine ni uongo
Swali hapa ni kubaini ukweli ni upi na uongo ni upi.
P
ununuzi ulikuwa na time limit, na time ikiisha alikuwa na uhuru wa kuondoka ama kuendelea kubaki, maana malipo yake si wanakuwa wamepewa wazazi wake, housegirl wa sasa hela wanapewa wenyeweSiyo sawa,kisheria kijakazi ni mtumwa uliyemnunua,Tena kauzwa na wazazi wake
Ukifatilia kwa umakini Ndo utagundua ila ukisoma bila reasoning utaona ni sawa 🤣🤣Waandishi wa bublia kwenye eneo hili walidanganya halafu wakashindwa kuficha ushahidi wa uwongo wao. Bublia hiyo hiyo inasema kijana alikuwa akimuuliza baba yake kwamba Kuni wanazo na kisu wanachuo ila mbona hawana kondoo wa kumchinja kama sadaka. Tunaona baba yake anamjibu kuwa kondoo watamkuta huko. Hili linathibisha wazi kuwa aliyekuwa anaenda kutolewa sadaka ni kijana aliyekuwa akitembea Kwa miguu yake na ana umri wa kumsaidia baba yake baadhi ya shughuli. Ni wazi kabisa ni Ishmaeli.