inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Ni mjakazi wa Sara,kwa mujibu wa bible ndiyo maana akampa Ibrahim apige,na ndiyo maana Ibrahim anasema 'mjakazi wako'..nilichokuwa nataka uelewe ni treatment kati ya mke na mjakazi, wajakazi wote walikuwa chini ya mke sio mume, ni sawa na housegirl siku hizi mara nyingi wanakuwa chini ya mke, na ndo maana utaona Ibrahimu anakuwa hana maamuzi juu ya Hajir kwa sababu alizaa naye tu hakuwa mke bali alikuwa mjakazi aliyezaa na Boss wake, Milka na Bilha hawajawah kuwa wake wa Yakobo bali wajakazi licha ya kwamba alizaa nao, status yao iliendelea kubaki kuwa wajakazi tu
umemsoma Faizfox lakini? amesema kwenye uislamu hakuna mahali panasema Ishmael alitakiwa kuchinjwa hapo wewe unasemaje?Kuna dokta hapa kwenye huu mjadala,anatoa hayo maandiko na najua unayapitia
Amesema nani alitakiwa kuchinjwa?umemsoma Faizfox lakini? amesema kwenye uislamu hakuna mahali panasema Ishmael alitakiwa kuchinjwa hapo wewe unasemaje?
Dr tunaenda naye sawa na yeye mwenyewe hamjui aliyetakiwa kuchinjwa
Asante kwa kunisaidia, Dr mambo jambo nadhani utakuwa umeelewa, maana mada imekuwa ndani ya madaNi mjakazi wa Sara,kwa mujibu wa bible ndiyo maana akampa Ibrahim apige,na ndiyo maana Ibrahim anasema 'mjakazi wako'..
Hakuna yeyote aliyetakiwa kuchinjwa, watafsiri wa Qur'an wamekosea sana tafsiri, sijuwi hilo la kuchinjwa mtoto wamelitowa wapi.Amesema nani alitakiwa kuchinjwa?
Umesema Sinai iko Arabuninya Saudia?Habari stormryder
Japo sikuzungumzia kuhusu Ibrahimu Kufika Makka/Bakka ila ninaweza kuwa nina majibu ya Huenda alifika Makka au Bakka..
Kwanza nitadeclare Interest:- Mimi sio Muislamu,Muarabu wala Mkristo..
Ila ni Mtu wa kuchunguza na Kuweka Fact mezani...
Kwanza kabisa katika Mapito ya Ibrahimu Alizaliwa Ur of the Chaldeans (Uru wa Wakaldayo) ambayo ilipatikana Mesopotamia..Ambayo kwa sasa inaitwa modern town of Tell el-Muqayyar in southern Iraq..
So naweza kusema Kuwa Ibrahimu Alizaliwa Iraq ambapo Ni Uarabuni..
(Soma Mwanzo 11:31-32)
Tuendelee.. Abrahimu Aliishi Shuri (Ambayo kwa Sasa Huitwa saudi Arabia au Macca na medina)
Mwanzo 20:1
"Ibrahimu akaondoka huko kwenda nchi ya kusini, akakaa kati ya Kadeshi na Shuri, naye akatembea katika Gerari."
Na Je Hajari na Mwanaye walikimbilia Wapi?
Mwanzo 16:7
"Malaika wa BWANA akamwona kwenye chemchemi ya maji katika jangwa, chemchemi iliyoko katika njia ya kuendea Shuri"
Je Hiyo Shuri Iko wapi kwa Sasa?
Jaribu kusoma Historia Utajua..
Wote Tunafahamu kuwa Shuri Ipo karibu na Bahari ya Shamu Humo ndyo Mlima sinai ulipo..(Kutoka 15:22)
Sasa Mlima sinai Upo wapi?
Wagalatia 4:25
"Maana Hajiri ni kama mlima Sinai ulioko Arabuni, umelingana na Yerusalemu wa sasa; kwa kuwa anatumika pamoja na watoto."
Sasa kwakuwa Sasa Tunajua kuwa Ibrahimu alikaa Shuri yaani Uarabuni....
Kwanini Sasa Tutaje makka.. Nifuatishe hapa Chini..
Zaburi 84:6-8 (Psalms)
"As they pass through the Valley of Baca, they make it a place of springs; the autumn rains also cover it with pools.
They go from strength to strength, every one of them in Zion appeareth before God.
O LORD God of hosts, hear my prayer: give ear, O God of Jacob. Selah."
Umeona valley of Baca/Bakka/Makka?
Sasa hao wanaoenda Makka/Bakka ni kina nani?
Najua unaweza ukashangaa ila Jina Jingine la Maca ni baca..
View attachment 3021297
Kama una swali Unaweza kuniuliza nitakujib
Kukatwa Jando sio Dhabih faiza!Hakuna yeyote aliyetakiwa kuchinjwa, watafsiri wa Qur'an wamekosea sana tafsiri, sijuwi hilo la kuchinjwa mtoto wamelitowa wapi.
Nijuavyo limetumika neno "dhabih" ambalo kitafsida linamaanisha kukatwa jando.
Dini kongwe dini gani?..unajua bible ilikuwepo kabla hata yesu hajazaliwa!?Kuna din inilikuja miaka 650 baada ya dini kongwe kuwepo
Ilibidi wakopy na kuedit mambo ya watangulizi wao
Kuna nabii wa mwisho alimaliza Kila kitu, sidhani kama nabii mwingine angelkuja baadaye miaka 650 na jambo jipya.
Huyu nabii alituachia amri kuu ya upendo akisema mpende jirani yako kuliko unavyojipenda
Kwa kutambua kuwa binadamu alimkosea Mungu ilihitaji upatanisho wa damu akakaamua kujitoa afe atoe damu ili awakomboe binadamu kwa damu yake
Wale wa copy and paste hii iliwashinda ikabidi waamrishe kuchinja wanyama kama ibaada ya kafara yao ya upatanisho
Lakini wasichojua Hawa wakuiga ni kwamba Mungu wa mbingini alishaachana na utaratibu wa kusamehe nakutoa Baraka kwa kafarara ya damu za wanyama
Ibaada za Kuchinja wanyama ni kupotea kiimni
There is always one...Kwa hivyo suala la kupiga mabeki tatu limeanza zamani
Mbona hasira fogo! su wewe. Ni wale mliochinja kuku bila kuelewa mantikiDini kongwe dini gani?..unajua bible ilikuwepo kabla hata yesu hajazaliwa!?
Unasema Hakuwa mke ila biblia Inasema alikuwa Mke sasa Tumuamni nani weeewe Au biblia unayoifuata au ulipotoa kisa...?nilichokuwa nataka uelewe ni treatment kati ya mke na mjakazi, wajakazi wote walikuwa chini ya mke sio mume, ni sawa na housegirl siku hizi mara nyingi wanakuwa chini ya mke, na ndo maana utaona Ibrahimu anakuwa hana maamuzi juu ya Hajir kwa sababu alizaa naye tu hakuwa mke bali alikuwa mjakazi aliyezaa na Boss wake, Milka na Bilha hawajawah kuwa wake wa Yakobo bali wajakazi licha ya kwamba alizaa nao, status yao iliendelea kubaki kuwa wajakazi tu
Ndio ndio basi inamankusweke mkuu umeeleweka Ila kuna kitu umesahau kutoka kwenye Qur'an unajua Qur'an inasema nini kuhusu Yakobo na Isaka au unajua kuhusu Ishmael tu?Ni mjakazi wa Sara,kwa mujibu wa bible ndiyo maana akampa Ibrahim apige,na ndiyo maana Ibrahim anasema 'mjakazi wako'..
Sinai Zamani ilikuwa saudia kabla ya Ugawaji wa Mipaka..Umese
Umesema Sinai iko Arabuninya Saudia?
Qur'an imefutwa hio ikaandikwa Mungu wa Ishmael na vizazi vyake waliofuatia maana Bible haijamzungumzia Ishmael hivyoSifahamu kama Mungu wa Ibrahimu alijidhihrisha kama ni Mungu wa Ishmael!
Lakini Biblia imeweka wazi kabisa kuwa mtoto aliyetolewa na Ibrahimu kama Sadaka
Ishmaeli alimzika Baba yake wakiwa na Isaka baba yao akiwa na miaka 175..
Kingine nani alisema Ishmael hakupewa Urithi??
Mwanzo 17:20
View attachment 3021442
Vizazi kwenye Biblia huanza mkubwa kwenda mdogo na ndivyo ilivyofanyika..
View attachment 3021445
Ishmael hakupewa urithi ila sikatai alibarikiwa na Mungu na pia alimzika BabaakeIshmaeli alimzika Baba yake wakiwa na Isaka baba yao akiwa na miaka 175..
Kingine nani alisema Ishmael hakupewa Urithi??
Mwanzo 17:20
View attachment 3021442
Vizazi kwenye Biblia huanza mkubwa kwenda mdogo na ndivyo ilivyofanyika..
View attachment 3021445
Bado unataka tutumie kitabu kilichoandikwa na wayahudi wasiompenda mwarabu Ishmael,ndugu yao ambaye upendeleo ungehamia kwake baadae.
Katika ahadi zinazodaiwa ni kuwa za Mungu kwa Wana wa Ibrahim imeandikwa kwamba uzao wa isaka utazidi maradufu na kuwa mkubwa,Sasa kati ya waarabu/Ishmael na waisraeli/wepi wamezidi maradufu?!..ndiyo uanng'amua uhuni wa kubadili majina na story kwenye vitabu vya kiyahudi ambapo QUR'AN huita kutia mikononi,mchezo kongwe wa waisrael
Sasa Its Your Words Against Bibles'Asante kwa kunisaidia, Dr mambo jambo nadhani utakuwa umeelewa, maana mada imekuwa ndani ya mada