Saad30
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 2,737
- 5,464
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 3022205
Hii ndio Safari ya Ibrahim kulingana na Jews tradition.
Kutoka Yerusalem hadi Mecca ni km 1400 sasa humu ndani kuna mtu amesema Ibrahim alimpeleka Ishmael na Hagar Mecca alafu akarudi kwa Sarah, alafu akawapa tende tu😂😂😂😂😂😂
Ukiangalia kwa makini sana Safari Ibrahim kutoka Ur hadi kaanani alipita sehemu ambazo ni Habitable yaani kuna mito na si jangwa sana, Ila Ibrahim wa Waislam alitembea na kulanda landa Jangwani KM 2800 hakuna maji wala nini.
Waislam walikataa kabisa kuunganisha logic na elimu Dunia na Quran
Hii map ni sasa kulingana na maeneo Ibrahim aliyopitaHiyo map alikuchorea Nani ?
Kumbe tunajadili NDOTO....,🤣🤣🤣Hawa wenzetu hawapo siriz kabisa.Kwenye Quran Ibrahim aliota anamtoa kafara ismail alafu kesho yake akamuuliza amtoe asimtoe 😂😂😂😂😂
NIlisoma enzi hizo sasa Hivi uzee Huu acha Tuendelee Kufanya kazi za Kutibu Tu ila miaka ya nyuma nilikuwa nautafuta Ukweli sana nilitumia Approximately miaka zaidi ya 7 kusoma Na kutafuta Ukweli Japo bado sijamaliza ila bado nikipata Muda wa Free nagusa gusa Vitabu na kusoma..Oya hivi vyote umesoma plus medicine?..uko poa Sana,itakua wazitumia vizuri saa 24
Uko Vizuri sana Kwenye Dini na Elimu ya Dini sema unakosa kitu kidogo Tu Connection na Logical ya Kiushawishi..Mungu siku ameumba vinavyoonekana aliumba na visivyoonekana. Kwenye order of things aliweka viti vyenye mamlaka mbalimbali. Ushawahi kujiuliza Kwa Nini adui alipoasi alitaka kuweka kiti chake juu ya kiti cha Mungu kilichopo upande wa kaskazini wa bustani ya Edeni ya Mbinguni?
Kwa Nini asitake tu kumtoa Mungu alikitaka na Kiti alichokua amekalia Mungu? Nafasi ni viti. Viti huwa vinatoa maelekezo vinataka Nini.
Mungu alitumia dhambi za wateule wake kuonesha yeye peke yake ndio mkamilifu.
Adam alitenda kosa la kutokutii, Ibrahim na Sara walikosa subira, Yakobo aliiba haki ya uzaliwa wa kwanza. Yuda alilala na mke wa mwanae tena kama kahaba, Musa alikua na kuona hasira, Daudi alikua mwasherati kama sio mzinzi, Solomon aliabudu miungu mingine. Wote hao Mungu aliwatumia ili kuonesha yeye anaweza kutumia yeyote Kwa kazi yake.
Bado kwenye ulimwengu usioonekana Leah alipendelewa. Kwa kutopendwa na Mume wake Mungu alilifungua tumbo lake. Alizaa Wana saba wanaojulikana. Haki ya Baraka alivyopewa Ibrahim ya kuwa Baba wa Mataifa ilitimia kupitia Leah, mzaliwa wa tumbo lake alipewa kiti Cha Enzi Cha kukaa mbele za Mungu milele kama mbalamwezi. Pia alipewa ahadi ya kutokukosekana mtu wa kukikalia hicho kiti milele.
Yesu utambulisho wake rasmi ni ," Simba wa kabila la Yuda, Mwanakondoo wa Mungu aondoaye dhambi za ulimwengu, shila la Yesse, mwana wa Daudi". Leah bado alikua na mamlaka kwenye ulimwengu ule usioonekana.
Yusuphu ni mkombozi wa Taifa ila bado usitawi wa Taifa ulimtegemea Yuda na uzao wake. Kati ya makabila mawili ambayo hayakumwasi Mungu baada ya kufanya scouting ya nchi Takatifu Kuna Caleb mwana wa Yefune wa kabila la Yuda. Yoshua alikua anaambatana na Musa Kwa hiyo aliuona Utukufu wa Mungu Kwa tofauti na hao wengine.
Baraka ya uzaliwa wa kwanza alipewa mwana wa Leah. Bado huoni mahindi ni yeye?
Sasa unapaswa kuelewa ile dhana nzima ya nyie kuchinja haina uhusiano na issue ya Ibrahim.Sawa, mi sikatai kuwa hiyo ilikuwa ni kipimo cha imani kwa Ibrahim na familia yake, hata Quran imeelezea hivo
Now I have Drag you..Into Theological Course i think ilikuwa ni mwaka wa Tatu kama Sio wa Pili kuna kitu Kinaitwa Bible Textual Analysis siku hizi wanaita Bible Textual Critic..Hiyo ni simulizi.
Kuna msimuliaji ambaye ni Musa alafu kuna dialogue ya Wahusika humo kwenye simulizi.
Kwa hiyo Quotation unapoitoa hasa inayohusu simulizi lazima ujue nani anayezungumza.
Wakristo wengi katika jambo hili wanachanganya madesa.
Kuna sehemu Munga akasema
Kuna sehemu Ibrahim akasema au Sarah akasema,
Alafu kuna sehemu ànayesimulia ni msimulizi.
Ndio Kilekile nawaambia Watu kuhusu Injili, Zaburi na Torati na vitabu vya Hadithi.
Sio kila neno kwenye Biblia ni amri au sheria ya Mungu.
Ukisoma biblia na sio tuu biblia bali kitabu chochote lazima yapo mambo utazingatia íli usijeleta tafrani.
Mfano ni hiyo ndoto ya Ibrahim ya kumtoa Mwanaye kafara iliyopo kwenye Quran. Hiyo ni ndoto na sio tukio la kweli.
Au Yesu anapotoa mfano alafu kuna Watu wanaochukua ule mfano kama tukio la kweli ni dalili ya kutozingatia kanuni za usomaji
Dah Nimecheka kwa sauti 🤣🤣🤣Kwenye Quran Ibrahim aliota anamtoa kafara ismail alafu kesho yake akamuuliza amtoe asimtoe 😂😂😂😂😂
Achana na hizo mambo nduguSasa unapaswa kuelewa ile dhana nzima ya nyie kuchinja haina uhusiano na issue ya Ibrahim.
Walikuwa Wakifanya Zamani kwenye Pesach (Passover) au Kiswahili Pasaka ila baada ya Kuvunjwa kwa Hekalu mwaka 70 AD..
Maelezo yako Nimeyapenda sana ..Hiyo ni simulizi.
Kuna msimuliaji ambaye ni Musa alafu kuna dialogue ya Wahusika humo kwenye simulizi.
Kwa hiyo Quotation unapoitoa hasa inayohusu simulizi lazima ujue nani anayezungumza.
Wakristo wengi katika jambo hili wanachanganya madesa.
Kuna sehemu Munga akasema
Kuna sehemu Ibrahim akasema au Sarah akasema,
Alafu kuna sehemu ànayesimulia ni msimulizi.
Ndio Kilekile nawaambia Watu kuhusu Injili, Zaburi na Torati na vitabu vya Hadithi.
Sio kila neno kwenye Biblia ni amri au sheria ya Mungu.
Ukisoma biblia na sio tuu biblia bali kitabu chochote lazima yapo mambo utazingatia íli usijeleta tafrani.
Mfano ni hiyo ndoto ya Ibrahim ya kumtoa Mwanaye kafara iliyopo kwenye Quran. Hiyo ni ndoto na sio tukio la kweli.
Au Yesu anapotoa mfano alafu kuna Watu wanaochukua ule mfano kama tukio la kweli ni dalili ya kutozingatia kanuni za usomaji
Duh,. hizo habari kwamba baraka alizopewa Ismail amepewa na Mungu tu hazikupitia kwa Baba yake ni uongo.......maana Ibrahim mwenyewe ndiyo alimuombea Ismail apewe baraka na Mungu......sasa hayo madai yako umeyatoa wapi?Ismael amepewa Baraka na Mungu lakini hakupewa zikapitia kwa Baba yake. Isaka amepewa Baraka na Mungu lakini zimepitia kwanza kwa Mama na Baba yake, hakupewa yeye kama yeye. Ndo maana tunasema Baraka ya Ismael ni kama agano la Mlima Horebu lakini Baraka za Isaka ni za Mlima Sayuni.
Kuna tofauti ya wewe kurithi Baraka za baba yako na wewe kupewa Baraka zako. Na pia warithi hawawi wengi na ndio maana hata Mzee akifa mnachagua kiongozi wa familia. Kuna vitu kwenye ulimwengu huu havikaliwi na watu wawili bali mtu mmoja.
Umeamua tu kuwa mchekeshaji...........kwahiyo ulitaka Qur'an itaje mpaka idadi ya viroba vya chakula, ambavyo alibeba Ibrahim wakati anaondoka na Hajir pamoja na Mwanae? yani ulitaka wataje kila kitu mpaka sahani na vikombe?View attachment 3022205
Hii ndio Safari ya Ibrahim kulingana na Jews tradition.
Kutoka Yerusalem hadi Mecca ni km 1400 sasa humu ndani kuna mtu amesema Ibrahim alimpeleka Ishmael na Hagar Mecca alafu akarudi kwa Sarah, alafu akawapa tende tu😂😂😂😂😂😂
Ukiangalia kwa makini sana Safari Ibrahim kutoka Ur hadi kaanani alipita sehemu ambazo ni Habitable yaani kuna mito na si jangwa sana, Ila Ibrahim wa Waislam alitembea na kulanda landa Jangwani KM 2800 hakuna maji wala nini.
Waislam walikataa kabisa kuunganisha logic na elimu Dunia na Quran
Yeah,saa 24 nyingi Sana ukizitumia vizuri,mi naogopa kuchangia na kukosoa mtaani,naambiwa najifanya najua kila kitu,kwa hiyo unaswali kuelekea Makkah au mwanakondoo kashinda?NIlisoma enzi hizo sasa Hivi uzee Huu acha Tuendelee Kufanya kazi za Kutibu Tu ila miaka ya nyuma nilikuwa nautafuta Ukweli sana nilitumia Approximately miaka zaidi ya 7 kusoma Na kutafuta Ukweli Japo bado sijamaliza ila bado nikipata Muda wa Free nagusa gusa Vitabu na kusoma..
Niamini kwamba una muda mwingi sana kama utautumia Vizuri
Now I have Drag you..Into Theological Course i think ilikuwa ni mwaka wa Tatu kama Sio wa Pili kuna kitu Kinaitwa Bible Textual Analysis siku hizi wanaita Bible Textual Critic..
Sasa ulisoma Analysis ya OT, kwanza utagundua hata mwandishi hakuwa Mmoja nafikri utakumbuka Hata kifo Cha Musa kurepotiwa Kwenye Torati na kifo cha Yoshua Kureportiwa na Mwandishi aliyesemekana ni Yoshua..
That is Called JEPD theory of Documentary Hypothesis, kuna Original Torah ambayo iliandikwa na Musa na kuna Torah zingine ziliandikwa na watu baada ya zile za mwanzo kupotea baada ya wao kutekwa Babeli..
Mwandishi wa baadaye ana tajwa kuwa Ezra (Fundi wa Torati)..
Sasa kama ukipata Muda Pitia JEPD Theory na Documentary hypothesis Yake hakika hutajutia
Maelezo yako Nimeyapenda sana ..
Kama wewe Ni Mkristo nakuomba Kasome theology upande wa Textual anaysis una kitu kikubwa sana ndani yako
Katika siku ambazo FaizaFoxy amezungumza jambo moja muhimu sana “msitafsiri kila kitu” kwenye maandiko kadri mnavo tafsiri ndio mnavo ongeza contradicting points.Umeamua tu kuwa mchekeshaji...........kwahiyo ulitaka Qur'an itaje mpaka idadi ya viroba vya chakula, ambavyo alibeba Ibrahim wakati anaondoka na Hajir pamoja na Mwanae? yani ulitaka wataje kila kitu mpaka sahani na vikombe?
hadithi hiyo ingesaidia nini sasa?
Hata ukitazama hiyo ramani uliyoweka kimsingi haimaanishi kwamba Ibrahim kwenye maisha yake yote hajawahi kutoka nje ya maeneo uliyowekewa kwenye hiyo ramani.........vitu vingine unahitaji akili ndogo tu ili ujue.
Hiyo ndiyo logic kweli? Inashangaza
Vyote sipo Mi ni mdau wa Upendo tu na Kusaidia Wengine Kama biblia ilivyoagiza..Yeah,saa 24 nyingi Sana ukizitumia vizuri,mi naogopa kuchangia na kukosoa mtaani,naambiwa najifanya najua kila kitu,kwa hiyo unaswali kuelekea Makkah au mwanakondoo kashinda?