Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?


Hiyo map alikuchorea Nani ?
 
Oya hivi vyote umesoma plus medicine?..uko poa Sana,itakua wazitumia vizuri saa 24
NIlisoma enzi hizo sasa Hivi uzee Huu acha Tuendelee Kufanya kazi za Kutibu Tu ila miaka ya nyuma nilikuwa nautafuta Ukweli sana nilitumia Approximately miaka zaidi ya 7 kusoma Na kutafuta Ukweli Japo bado sijamaliza ila bado nikipata Muda wa Free nagusa gusa Vitabu na kusoma..

Niamini kwamba una muda mwingi sana kama utautumia Vizuri
 
Uko Vizuri sana Kwenye Dini na Elimu ya Dini sema unakosa kitu kidogo Tu Connection na Logical ya Kiushawishi..
 
Hii Ndoto ndio tunayo ijadili hapa.
Alioteshwa na nani ?
Naomba Jibu.
فَلَمَّا بَلَغَ مَعَهُ السَّعْيَ قَالَ يَا بُنَيَّ إِنِّي أَرَىٰ فِي الْمَنَامِ أَنِّي أَذْبَحُكَ فَانظُرْ مَاذَا تَرَىٰ ۚ قَالَ يَا أَبَتِ افْعَلْ مَا تُؤْمَرُ ۖ سَتَجِدُنِي إِن شَاءَ اللَّهُ مِنَ الصَّابِرِينَ

(ASS'AFFAT - 102)
Basi alipo fika makamo ya kwenda na kurudi pamoja naye, alimwambia: Ewe mwanangu! Hakika mimi nimeona usingizini kuwa ninakuchinja. Basi angalia wewe, waonaje? Akasema: Ewe baba yangu! Tenda unavyo amrishwa, utanikuta mimi, Inshallah, katika wanao subiri.
Ndoto ya kumchinja Ismaili.

Hivi ni vichekesho dhahili kabisa
DK. anajadili mambo haya kweli.?
 
Now I have Drag you..Into Theological Course i think ilikuwa ni mwaka wa Tatu kama Sio wa Pili kuna kitu Kinaitwa Bible Textual Analysis siku hizi wanaita Bible Textual Critic..

Sasa ulisoma Analysis ya OT, kwanza utagundua hata mwandishi hakuwa Mmoja nafikri utakumbuka Hata kifo Cha Musa kurepotiwa Kwenye Torati na kifo cha Yoshua Kureportiwa na Mwandishi aliyesemekana ni Yoshua..

That is Called JEPD theory of Documentary Hypothesis, kuna Original Torah ambayo iliandikwa na Musa na kuna Torah zingine ziliandikwa na watu baada ya zile za mwanzo kupotea baada ya wao kutekwa Babeli..

Mwandishi wa baadaye ana tajwa kuwa Ezra (Fundi wa Torati)..

Sasa kama ukipata Muda Pitia JEPD Theory na Documentary hypothesis Yake hakika hutajutia
 
Sasa unapaswa kuelewa ile dhana nzima ya nyie kuchinja haina uhusiano na issue ya Ibrahim.
Achana na hizo mambo ndugu
Zilikuwa Ndoto tu. Na hajatajwa Ismaili hapo.
فَلَمَّا بَلَغَ مَعَهُ السَّعْيَ قَالَ يَا بُنَيَّ إِنِّي أَرَىٰ فِي الْمَنَامِ أَنِّي أَذْبَحُكَ فَانظُرْ مَاذَا تَرَىٰ ۚ قَالَ يَا أَبَتِ افْعَلْ مَا تُؤْمَرُ ۖ سَتَجِدُنِي إِن شَاءَ اللَّهُ مِنَ الصَّابِرِينَ

(ASS'AFFAT - 102)
Basi alipo fika makamo ya kwenda na kurudi pamoja naye, alimwambia: Ewe mwanangu! Hakika mimi nimeona usingizini kuwa ninakuchinja. Basi angalia wewe, waonaje? Akasema: Ewe baba yangu! Tenda unavyo amrishwa, utanikuta mimi, Inshallah, katika wanao subiri.

Hicho kitabu hakipo serious hata kidogo.
 
Je,Dini ya wayahudi inatambua hayo mambo ya kuchinja?

Pascal Mayalla DR Mambo Jambo
Walikuwa Wakifanya Zamani kwenye Pesach (Passover) au Kiswahili Pasaka ila baada ya Kuvunjwa kwa Hekalu mwaka 70 AD..

Ibada ya Pasaka ikawa inafanyika Bila "Korban Pesach" (קָרְבַּן פֶּסַח) yaani Sacrificial lamb insteady sasa Hivi kipind Inalika Pasaka..

Kunakuwa na Mfupa wa Kondoo kama ukumbusho mezani ila nyama zinazolika ni za kawaida wanyama na hata kuku bata ila ziwe kosher tu..

Ila kuhusu Kuchinja..
Ndyo walikuwa Wakichinja na kunywa na kula Pasaka..

Unajua Waislam wamekopi Tamaduni karibu zote kutoka Kwa Judaism karibu 85% ya Ritual zao zote na Ibada ni Za kiyahudi mpaka Adhana...

Niliwahi kuelezea Hili humu kama sikosei mwaka jana kwenye uzi fulani
 
Maelezo yako Nimeyapenda sana ..
Kama wewe Ni Mkristo nakuomba Kasome theology upande wa Textual anaysis una kitu kikubwa sana ndani yako
 
Duh,. hizo habari kwamba baraka alizopewa Ismail amepewa na Mungu tu hazikupitia kwa Baba yake ni uongo.......maana Ibrahim mwenyewe ndiyo alimuombea Ismail apewe baraka na Mungu......sasa hayo madai yako umeyatoa wapi?
 
Umeamua tu kuwa mchekeshaji...........kwahiyo ulitaka Qur'an itaje mpaka idadi ya viroba vya chakula, ambavyo alibeba Ibrahim wakati anaondoka na Hajir pamoja na Mwanae? yani ulitaka wataje kila kitu mpaka sahani na vikombe?

hadithi hiyo ingesaidia nini sasa?

Hata ukitazama hiyo ramani uliyoweka kimsingi haimaanishi kwamba Ibrahim kwenye maisha yake yote hajawahi kutoka nje ya maeneo uliyowekewa kwenye hiyo ramani.........vitu vingine unahitaji akili ndogo tu ili ujue.


Hiyo ndiyo logic kweli? Inashangaza
 
Yeah,saa 24 nyingi Sana ukizitumia vizuri,mi naogopa kuchangia na kukosoa mtaani,naambiwa najifanya najua kila kitu,kwa hiyo unaswali kuelekea Makkah au mwanakondoo kashinda?
 

Nitapita huko Mkuu
 
Katika siku ambazo FaizaFoxy amezungumza jambo moja muhimu sana “msitafsiri kila kitu” kwenye maandiko kadri mnavo tafsiri ndio mnavo ongeza contradicting points.

Ibrahim alimfukuza Ismael na mama yake wakiwa wadogo sana na kwa umbali wa kutoka Yerusalem hadi Mecca hakuna mtoto Kama Ismael anaweza kusurvive, Biblia inasema Hagar/Hajiri alikimbilia Beersheba ambayo ni km chache kutoka nyumbani kwa sara.

Wanazuoni wa kiisalam walishaona Georaphical impossibility ya hii nadhari ya Ibrahim kuwa alikuwa anaenda na kurudi Mecca wameaanza kuja na tafsiri Mpya na hata kutafuta wapi hasa palikuwa Mecca ya mwanzo
 
Yeah,saa 24 nyingi Sana ukizitumia vizuri,mi naogopa kuchangia na kukosoa mtaani,naambiwa najifanya najua kila kitu,kwa hiyo unaswali kuelekea Makkah au mwanakondoo kashinda?
Vyote sipo Mi ni mdau wa Upendo tu na Kusaidia Wengine Kama biblia ilivyoagiza..

Yakobo 1:26-27

[26]Mtu akidhani ya kuwa anayo dini, wala hauzuii ulimi wake kwa hatamu, hali akijidanganya moyo wake, dini yake mtu huyo haifai.

[27]Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.


I Am Spiritual but Not Religious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…