Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?

Umeandika maelezo mengi hakuna chochote Cha maana zaidi ya Uongo mnao danganyana Kanisani

Kwa kuwa wewe ni mbumbu ngoja nikufundishe Ishmael ni nani

Mungu anamuahidi Ibrahim mtoto atakaye mrithi atatoka katika viuno vyake

Mwanzo 15:3
Abramu akasema, Tazama, hukunipa uzao, na mtu aliyezaliwa nyumbani mwangu ndiye mrithi wangu.
Mwanzo 15:4
Nalo neno la BWANA likamjia likinena, Huyu hatakurithi, bali atakayetoka katika viuno vyako ndiye atakayekurithi.

Ibrahim anamuingilia Hajiri na Hajiri anapata mimba na hatimaye Ibrahim anapata mrithi wake naye ni Ishmael

Mwanzo 16:2
Sarai akamwambia Abramu, Basi sasa, BWANA amenifunga tumbo nisizae, umwingilie mjakazi wangu labda nitapata uzao kwa yeye. Abramu akaisikiliza sauti ya Sarai.
Mwanzo 16:4
Basi akamwingilia Hajiri, naye akapata mimba. Naye alipoona ya kwamba amepata mimba, bibi yake alikuwa duni machoni pake.

Sasa wewe Ili usiwe mbumbu na msukule wa Wazungu toa andiko linalothibisha kuwa Isaka ametokana na viuno vya Ibrahim

Na ukitoa hilo andiko nakuwa mkristo Leo leo
Mada inasema nani alitolewa sadaka.
Mimi nimesema kwa mujibu wa Biblia ni Isaka.
Kwa mujibu wa qurani ni Ishmaeli.
Sijui wewe unaongea nini tena. (Gen) 22:1
Ikawa baada ya mambo hayo Mungu alimjaribu Ibrahimu, akamwambia, Ee Ibrahimu! Naye akasema, Mimi hapa.
Mwanzo (Gen) 22:2
Akasema, Umchukue mwanao, mwana wako wa pekee, umpendaye, Isaka, ukaende zako mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka ya kuteketezwa huko juu ya mlima mmojawapo nitakaokuambia.

Wewe soma qurani yako inatosha.
 
Haukuandika tu mtoto yupi alitaka kutolewa sadaka ila uliandika mengi sana yanayotokana na ujinga uliyojazwa kanisani nyinyi kudanganywa na kuami kuwa ni Isaka hilo ni juu yenu kwani mmedanganywa mangapi? Mmedanganywa Yesu ndio Mungu wenu na mmekubali tutashangaa hilo la Isaka kutolewa sadaka

Umeandika mengi mengine hata nikikuhiji itakuwa kama nakuonea tu jibu swali hili ndio rahisi kwako Ili ijujue kuwa wewe ni kilaza na Wazungu wamekufanya msukule wao

Mungu anamuahidi Ibrahim mtoto atakaye mrithi atatoka katika viuno vyake

Mwanzo 15:3
Abramu akasema, Tazama, hukunipa uzao, na mtu aliyezaliwa nyumbani mwangu ndiye mrithi wangu.
Mwanzo 15:4
Nalo neno la BWANA likamjia likinena, Huyu hatakurithi, bali atakayetoka katika viuno vyako ndiye atakayekurithi.

Ibrahim anamuingilia Hajiri na Hajiri anapata mimba na hatimaye Ibrahim anapata mrithi wake naye ni Ishmael

Mwanzo 16:2
Sarai akamwambia Abramu, Basi sasa, BWANA amenifunga tumbo nisizae, umwingilie mjakazi wangu labda nitapata uzao kwa yeye. Abramu akaisikiliza sauti ya Sarai.
Mwanzo 16:4
Basi akamwingilia Hajiri, naye akapata mimba. Naye alipoona ya kwamba amepata mimba, bibi yake alikuwa duni machoni pake.

Sasa wewe Ili usiwe mbumbu na msukule wa Wazungu toa andiko linalothibisha kuwa Isaka ametokana na viuno vya Ibrahim
 
Nilikua naitafuta sana ii coment, iv kwa akil ya kawaid jaman uwe din yoyote nabii mkubwa bab wa iman anazin vp apo ndo tunasem sku zote kun maandiko kwenye Bible yamechakachuliwa na ni uongo nabii awez kuzin,nabii awez kupgn na mungu,but ni sheria za muda uwoo ilikua halal
NABII MKUBWA WA MUNGU BABA WA IMANI HAWEZI ZINI...KAMA HUJUI SEMA UFAHAMISHWE...

KATIKA ZA UTUMWA...MTUMWA WA KIKE NI HALALI YA MWANAUME ANAYEMMILIKI TENA BILA NDOA...HIYO HUKMU ITASIMAMA HIVYO MPAKA MWISHO...MRADI UTUMWA TU UKIWEPO...

NDIO MAANA SULAIMAAN ALIKUWA NA VIJAKAZI WENGI NA AKAWAENDEA APENDAVYO...KWA SABABU SHERIA ILIMRUHUSU...TOFAUTI NA NYIE MNAOSINGIZIA MANABII WA MUNGU WATUKUFU UZINIFU...

ALLAAH ALIWATAKASA MANABII WAKE KUTOKANA NA UCHAFU KAMA HUO...

NB:-
Mtumwa - ni mtu anayepatikana kwa njia ya mateka wa vita...na unaweza kumnunua na kumuuza na kumtoa zawadi...na mwanamke mtumwa anaingiliwa na bwana wake bila ndoa...ni halali.

Ndio maana ilikuwa ni ngumu sana kuachia huru mtumwa...kwa sababu ulimpata kwa tabu...yaani ingekuwa sio wewe kushinda vita...ni wewe ndiye ungekuwa mtumwa.
 
Haukuandika tu mtoto yupi alitaka kutolewa sadaka ila uliandika mengi sana yanayotokana na ujinga uliyojazwa kanisani nyinyi kudanganywa na kuami kuwa ni Isaka hilo ni juu yenu kwani mmedanganywa mangapi? Mmedanganywa Yesu ndio Mungu wenu na mmekubali tutashangaa hilo la Isaka kutolewa sadaka

Umeandika mengi mengine hata nikikuhiji itakuwa kama nakuonea tu jibu swali hili ndio rahisi kwako Ili ijujue kuwa wewe ni kilaza na Wazungu wamekufanya msukule wao

Mungu anamuahidi Ibrahim mtoto atakaye mrithi atatoka katika viuno vyake

Mwanzo 15:3
Abramu akasema, Tazama, hukunipa uzao, na mtu aliyezaliwa nyumbani mwangu ndiye mrithi wangu.
Mwanzo 15:4
Nalo neno la BWANA likamjia likinena, Huyu hatakurithi, bali atakayetoka katika viuno vyako ndiye atakayekurithi.

Ibrahim anamuingilia Hajiri na Hajiri anapata mimba na hatimaye Ibrahim anapata mrithi wake naye ni Ishmael

Mwanzo 16:2
Sarai akamwambia Abramu, Basi sasa, BWANA amenifunga tumbo nisizae, umwingilie mjakazi wangu labda nitapata uzao kwa yeye. Abramu akaisikiliza sauti ya Sarai.
Mwanzo 16:4
Basi akamwingilia Hajiri, naye akapata mimba. Naye alipoona ya kwamba amepata mimba, bibi yake alikuwa duni machoni pake.

Sasa wewe Ili usiwe mbumbu na msukule wa Wazungu toa andiko linalothibisha kuwa Isaka ametokana na viuno vya Ibrahim
We msikilize Nabii wako Muhammadi inatosha
 
Wanabodi,
Leo ni sikukuu ya Eid El Haji, Iddi ya Kuchinja.

Leo ni siku ya Sikukuu ya Idd El Haj, ni iddi ya kuchinja, asubuhi nilikuwa naangalia matangazo ya mubashara ya Baraza la Iddi kupitia TBC, kutoka Msikiti wa Mfalme Mohammed VI wa Morroco, Bwakwata, Kinondoni jijini Dar es Salaam, kumbe Msikiti Mkuu wa Bakwata, sasa umebadilishwa jina!, na kupewa jina la Mfalme wa Morroco!.

Mgeni rasmi kwenye Baraza la Iddi ni Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa, ambaye ameandamana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ambaye amesilimishwa na kupewa jina la Aboubakar Chalamila!, na mawaziri akiwemo Waziri Mhe. Mohamed Mchengerwa. Baadhi ya watu maarufu niliowaona ni pamoja na Alhaj Sheikh Ali Nguruko, Alhaj Chande, Idda Azan, Shaweji Abdalah, Salum Mwalimu, Juma Simba Gadafi, Salum Abladaha "TRY Again", Katibu Mkuu wa Bakwata, Sheikh Mruma, Kadhi wa Dar es Salaam, Shamin Khan, mwenyekiti wa JUAKITA, pia kulikuwa na mabalozi wa Balozi wa Moroko, na wa Comoro.

Katika salam zake, Sheikh Aboubakar Chalamila alisema utulivu wa jiji la Dar es Salaam, unawategemea sana viongozi wa Dini.

Salaam za Waislamu, zimetolewa na Alhaj Sheikh Nuru Mruma, Katibu Mkuu wa Bakwata ambaye amewasisitiza Waislamu kudumisha amani na kuilinda amani. Wazazi watakiwa kulea watoto wao kwa tabia njema, kujenga taifa la kizazi cha watu wema ambao hawatapokea rushwa wala kufanya ufisadi.

Amesema kupanda miti na utunzaji wa mazingira ni ibada muhimu kwa Waismamu wote.

Pia amewataka Waislamu kujitokeza kwa wingi, kujiandikisha kwenye uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura.
na wametakiwa kujitokeza kwa wingi kutumia haki yao ya kidemokrasia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi.

Salaam za Mufti, zimetolewa na Kaimu Mufti Sheikh Ali Muhidin Mporogore, Mjumbe wa Baraza la Maulamaa wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania, Bwakwata. Aamezungumzia Watanzania tutafakari, sadaka ya kuchinja siku ya Iddi El Haj, ni iddi ya kuchinja. Zamani ilikuwa sio kuchinja tuu wanyama, bali walichinja hata binadamu ana akatolea mfano Sadaka ya Nabii Ibrahim kutaka kumtoa mwanae Ismail, kwa sadaka ya kuchinja.

Hakuna ubishi kuhusu Wakristo na Waislamu, kuwa ni watoto wa Baba mmoja, Nabii Ibrahim hivyo huu ni uthibitisho wa Mungu wa Wakristo na Waislamu ni Mungu Mmoja, ila kuna watu wanafundishwa ukweli na kuna watu wanadanganywa!.

Hakuna ubishi kuwa mtoto wa kwanza wa Ibrahim ni Ismail aliyezaa na mjakazi wa Kimisri, Hagir, na Isaka ni mtoto wa pili wa Ibrahim, aliyemzaa na mkewe Sarah.

Hakuna ubishi Ibrahim alitaka kumtoa mtoto wake Sadaka ya kuchinja.

Waislamu na Kitabu chao Kitukufu cha Quran Tukufu, kinamtaja mtoto huyo aliyetaka kutolewa sadaka ya kuchinja ni Ismail.
Wakristo na Kitabu chao Kitakatifu cha Biblia Takatifu, kinamtaja mtoto huyo aliyetaka kutolewa sadaka ya kuchinja ni Isaka.

Jee ukweli halisi ni upi?.
Hii maana yake
Kama tukio la Ibrahim kutaka kumchinja mwanae kumtoa sadaka ni tukio moja, then
1. Hii maana yake ni kuna watu wanadanganywa, haiwezekani kwa Waislamu mtoto huyo awe ni Ismail na kwa Wakristu mtoto huyo awe ni Isaka, hii maana yake kuna kitabu hapo kinasema kweli na kuna kitabu kinasema uongo!, jee ukweli ni upi?.

Umuhimu wa kuujua ukweli huu, unakupa fursa ya kujua ukweli ni upi, hivyo ufuate mafundisho yapi ambayo ndio mafundisho ya kweli!.

Bandiko hili linakutaka kwanza uwe open minded, kama wewe ni mfia dini, unaamini dini yako ni ya ukweli mtupu, bandiko hili halikufai.

Pili unatakiwa uwe na ngozi ngumu ya kuukubali ukweli halisi hata uwe mchungu vipi!, ikitokea ni dini yako unayoiamini kuwa ni dini ya kweli, kumbe ni dini ya uongo, uwe na uwezo wa kustahimili maana...

Nawatakia Waislamu wote,
Iddi Mubarak njema ya kuchinja.

Paskal
Ndugu yangu mwandishi mahiri. Kama sehemu ya jibu lako nakuzawadia kitabu kitabu hiki, kisome utafaidika sana.
 
Attachments

Mtoto aliyezaliwa na kuwa Mwana wa Pekee wa Ibrahim ni Ismail, wakati Isaka anazaliwa, Ismail alikuwa ameisha zaliwa, hivyo Isaka hakuwa mwana wa pekee wa Ibrahim!.
Encyclopedia Britanica Inasema "after Ishmael and Hagar were banished, they settled in Mecca, near which they had found relief and water at the Well of Zamzam. Later, in nearby Minā, Abraham attempted to sacrifice Ishmael (rather than Isaac, as stated in the Old Testament), an event commemorated on Eid al-Adha and in the rituals of the hajj (pilgrimage)"
P
Tuiamini bible au encyclopaedia?
 
Hilo jina Isaka hapo limepachikwa Kwa kulazimishwa
Isaka hajawahi kuwa mtoto wa pekee Kwa Ibrahim Kwa sababu yeye ni mtoto wa pili

Ila Ishmael ndio aliwahi kuwa mtoto wa pekee Kwa Ibrahim

Wakati Isaka hajazaliwa Ishmael ndio alikuwa mtoto wa pekee Kwa Ibrahim

Nyinyi wagalatia mmedanganywa sana na Wazungu
Mungu hujitambulisha kama Mungu wa Ibrahim ,Isaka na Yakobo
 
Ukristo na uislam ni dini mbili tofauti, zenye Miungu&maandiko tofauti, isipokuwa sehemu moja tu yaan uhalali wa maandiko yao.

Hao wote ni waongo, dini zote hizo zimeundwa tu kwa kucopy stories za zamani katika jamii ya waafrika na baadae kuunda hizo takataka ziitwazo dini.

Huyo Mungu wa hizo dini ni useless ndiomaana hana msaada wowote ktk jamii.

Acheni kubishania tamaduni za watu.
 
Wanabodi,
Leo ni sikukuu ya Eid El Haji, Iddi ya Kuchinja.

Leo ni siku ya Sikukuu ya Idd El Haj, ni iddi ya kuchinja, asubuhi nilikuwa naangalia matangazo ya mubashara ya Baraza la Iddi kupitia TBC, kutoka Msikiti wa Mfalme Mohammed VI wa Morroco, Bwakwata, Kinondoni jijini Dar es Salaam, kumbe Msikiti Mkuu wa Bakwata, sasa umebadilishwa jina!, na kupewa jina la Mfalme wa Morroco!.

Mgeni rasmi kwenye Baraza la Iddi ni Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa, ambaye ameandamana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ambaye amesilimishwa na kupewa jina la Aboubakar Chalamila!, na mawaziri akiwemo Waziri Mhe. Mohamed Mchengerwa. Baadhi ya watu maarufu niliowaona ni pamoja na Alhaj Sheikh Ali Nguruko, Alhaj Chande, Idda Azan, Shaweji Abdalah, Salum Mwalimu, Juma Simba Gadafi, Salum Abladaha "TRY Again", Katibu Mkuu wa Bakwata, Sheikh Mruma, Kadhi wa Dar es Salaam, Shamin Khan, mwenyekiti wa JUAKITA, pia kulikuwa na mabalozi wa Balozi wa Moroko, na wa Comoro.

Katika salam zake, Sheikh Aboubakar Chalamila alisema utulivu wa jiji la Dar es Salaam, unawategemea sana viongozi wa Dini.

Salaam za Waislamu, zimetolewa na Alhaj Sheikh Nuru Mruma, Katibu Mkuu wa Bakwata ambaye amewasisitiza Waislamu kudumisha amani na kuilinda amani. Wazazi watakiwa kulea watoto wao kwa tabia njema, kujenga taifa la kizazi cha watu wema ambao hawatapokea rushwa wala kufanya ufisadi.

Amesema kupanda miti na utunzaji wa mazingira ni ibada muhimu kwa Waismamu wote.

Pia amewataka Waislamu kujitokeza kwa wingi, kujiandikisha kwenye uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura.
na wametakiwa kujitokeza kwa wingi kutumia haki yao ya kidemokrasia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi.

Salaam za Mufti, zimetolewa na Kaimu Mufti Sheikh Ali Muhidin Mporogore, Mjumbe wa Baraza la Maulamaa wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania, Bwakwata. Aamezungumzia Watanzania tutafakari, sadaka ya kuchinja siku ya Iddi El Haj, ni iddi ya kuchinja. Zamani ilikuwa sio kuchinja tuu wanyama, bali walichinja hata binadamu ana akatolea mfano Sadaka ya Nabii Ibrahim kutaka kumtoa mwanae Ismail, kwa sadaka ya kuchinja.

Hakuna ubishi kuhusu Wakristo na Waislamu, kuwa ni watoto wa Baba mmoja, Nabii Ibrahim hivyo huu ni uthibitisho wa Mungu wa Wakristo na Waislamu ni Mungu Mmoja, ila kuna watu wanafundishwa ukweli na kuna watu wanadanganywa!.

Hakuna ubishi kuwa mtoto wa kwanza wa Ibrahim ni Ismail aliyezaa na mjakazi wa Kimisri, Hagir, na Isaka ni mtoto wa pili wa Ibrahim, aliyemzaa na mkewe Sarah.

Hakuna ubishi Ibrahim alitaka kumtoa mtoto wake Sadaka ya kuchinja.

Waislamu na Kitabu chao Kitukufu cha Quran Tukufu, kinamtaja mtoto huyo aliyetaka kutolewa sadaka ya kuchinja ni Ismail.
Wakristo na Kitabu chao Kitakatifu cha Biblia Takatifu, kinamtaja mtoto huyo aliyetaka kutolewa sadaka ya kuchinja ni Isaka.

Jee ukweli halisi ni upi?.
Hii maana yake
Kama tukio la Ibrahim kutaka kumchinja mwanae kumtoa sadaka ni tukio moja, then
1. Hii maana yake ni kuna watu wanadanganywa, haiwezekani kwa Waislamu mtoto huyo awe ni Ismail na kwa Wakristu mtoto huyo awe ni Isaka, hii maana yake kuna kitabu hapo kinasema kweli na kuna kitabu kinasema uongo!, jee ukweli ni upi?.

Umuhimu wa kuujua ukweli huu, unakupa fursa ya kujua ukweli ni upi, hivyo ufuate mafundisho yapi ambayo ndio mafundisho ya kweli!.

Bandiko hili linakutaka kwanza uwe open minded, kama wewe ni mfia dini, unaamini dini yako ni ya ukweli mtupu, bandiko hili halikufai.

Pili unatakiwa uwe na ngozi ngumu ya kuukubali ukweli halisi hata uwe mchungu vipi!, ikitokea ni dini yako unayoiamini kuwa ni dini ya kweli, kumbe ni dini ya uongo, uwe na uwezo wa kustahimili maana...

Nawatakia Waislamu wote,
Iddi Mubarak njema ya kuchinja.

Paskal
Hizo za binadam kuchinjwa binafsi natofautiana haa na Waislam, hakuna habari hiyo kwenye Qur'an, kilipachikwa tu hicho kisa kutokea nje ya Qur'an.
 
We msikilize Nabii wako Muhammadi inatosha

Mungu anamuahidi Ibrahim mtoto atakaye mrithi atatoka katika viuno vyake

Mwanzo 15:3
Abramu akasema, Tazama, hukunipa uzao, na mtu aliyezaliwa nyumbani mwangu ndiye mrithi wangu.
Mwanzo 15:4
Nalo neno la BWANA likamjia likinena, Huyu hatakurithi, bali atakayetoka katika viuno vyako ndiye atakayekurithi.

Ibrahim anamuingilia Hajiri na Hajiri anapata mimba na hatimaye Ibrahim anapata mrithi wake naye ni Ishmael

Mwanzo 16:2
Sarai akamwambia Abramu, Basi sasa, BWANA amenifunga tumbo nisizae, umwingilie mjakazi wangu labda nitapata uzao kwa yeye. Abramu akaisikiliza sauti ya Sarai.
Mwanzo 16:4
Basi akamwingilia Hajiri, naye akapata mimba. Naye alipoona ya kwamba amepata mimba, bibi yake alikuwa duni machoni pake.

Sasa wewe Ili usiwe mbumbu na msukule wa Wazungu toa andiko linalothibisha kuwa Isaka ametokana na viuno vya Ibrahim

kama hilo andiko hauna acha kuandika andika uongo kuhusu Uislam
 
Kwanza waislamu watambue kwamba Ismail hakuwa ni ile ahadi akiyopewa Ibrahim na Mungu Mwenyezi- Ibrahim alizini baada ya kuona ahadi na Mungu inazidi kuchelewa na umri wa mkewe sarah umekwenda.

Mungu hakupendezwa na kitendo cha Ibrahim na ndipo alipomwagiza amuondoe nyumbani Ismail pamoja na mama yake.

Na ndiyo maana ukoo wa Ismail haupo kwa vitabu vitakatifu, ingawa ni kweli aliondoka na baraka ila alikuwa mtoto wa zinaa.
Someni kwanza mjue sheria za miaka hiyo na ujue Ibrahim aliitwa baba wa imani. Baba wa imani anakuwaje mzinifu? Huko ni kumkosea heshima Ibrahim. Na si Biblia wala Quran iliyomtaja Ibrahim kuwa alikua mtu mwovu. Wewe mafundisho hayo umeyapata wapi?

Ni nyie pia mnaosema Muhammad was a pedophile......na hamjui nini was a custom katika jamii yao. Msidhani mnavyoishi leo ninyi ndivyo hivyo hivyo waliishi watu wa enzi.
 
Hizo za binadam kuchinjwa binafsi natofautiana haa na Waislam, hakuna habari hiyo kwenye Qur'an, kilipachikwa tu hicho kisa kutokea nje ya Qur'an.
Naomba utuelimishe kidogo kuhusu Quran Tukufu, una maanisha nini kusema "Hizo za binadam kuchinjwa binafsi natofautiana haa na Waislam, hakuna habari hiyo kwenye Qur'an, kilipachikwa tu hicho kisa kutokea nje ya Qur'an"?.

Kwako wewe Sikukuu ya Eid el Hajj yaani Iddi ya kuchinja, ina maana sio maelekezo ya Mola?. Kisa cha Nabii Ismail hakipo kwenye Qur'an Tukufu?.
P
 
Back
Top Bottom