Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?

Mimi ni mtu wa kujifunza.

Nimemsikiliza na ninatamani kila mmoja kwenye huu Uzi asikilize hii video.

1. Mzungumzaji amekiri na kuthibitisha kuwa wakati wa Khalifa Othman Ndio standardization of Quran imefanyika.

2. Mzungumzaji amekiri kuwa kulikuwa na copies nyingi za Quran na amekiri zilizochomwa (Kwa mtazamo kwa Khalifa Othman) hazikuwa Sahihi.

Maswali yangu kwako, 1) Je hizo Quran nyingine zilikuwa na Nini kinachozifanya kuwa za uwongo.
2) Othman alitumia vigezo Gani kuchagua so called perfect Quran.

Kutokana na video uliyoshare ni Wazi kuwa Quran haikushushwa from no where but it is just another creation of man, na kielezo Allah hana uwezo hata kuacha maneno yake kuwa corrupted.

At the end the current version of Quran might be the most wrong version amongst others (hatuna ushahidi wa zingine ambazo mlizichoma wenyewe na mlizichoma kwa makusudi).

Kwenye Ukristo ni ruhusa kuwa na aina zozote za Maandiko kwa sababu Imani ni hiari na lazima itokane na Maarifa na utashi wa binadamu na sio kwa mtutu wa Bunduki.

Kwenye Bibilia kuna Hadi vitabu vya Gnostic Bible

Hii listi ya vitabu ambavyo havimo katika biblia

Past of The Lost Books of the Bible

♦ = attributed to the Apostolic Fathers

Contents of The Forgotten Books of Eden

1. Books of the Apocrypha​

1 Esdras and 2 Esdras (150-100 BC)

Tobit (200 BC)

Judith (150 BC)

Additions to Esther (Vulgate Esther 10:4 – 16:24) (140-130 BC)

Wisdom of Solomon (30 BC)

Sirach (Ecclesiasticus), otherwise known as The Wisdom of Jesus son of Sirach (132 BC)

Baruch (150-50 BC)

Letter of Jeremiah (300-100 BC)

Song of the Three Children (Prayer of Azariah and Song of the Three Holy Children), an addition in the Greek version of Daniel 3 (170-160 BC)

Story of Susanna (Vulgate Daniel 13) (200-0 BC)

The Idol Bel and the Dragon (Vulgate Daniel 14) (100 BC)

Additions to Daniel, or the Prayer of Azariah (200-0 BC)

Prayer of Manasseh (100-0 BC)

1 Maccabees (110 BC)

2 Maccabees (110-170 BC)

2. Books of the Pseudepigrapha​

Epistle of Barnabas

3 Maccabees

4 Maccabees

Assumption of Moses (Testament of Moses)

Book of Enoch

Book of Jubilees

Psalms of Solomon

Letter of Aristeas

The Odes of Solomon

Testaments of the Twelve Patriarchs

2 Baruch

3 Baruch

First (and Second) Epistle of Clement to the Corinthians

The letter of the Smyrnaeans (also known as The Martyrdom of Polycarp)

The Shepherd of Hermas

The Gospel of Judas (130-170 AD)

Gospel of Thomas (140-170 AD)

The Books of Adam and Eve

The Acts of Phillip

The Apocalypse of Peter

The Gospel of the Nativity of Mary

The Gospel of Nicodemus

The Gospel of the Saviour's Infancy

The History of Joseph the Carpenter

The Acts of Paul (Including Paul and Thecla)

The Seven Epistles of Ignatius

The Epistle of Polycarp to the Philippians
 
Waislam na Wakristo wote wanakubaliana kuwa Kaburi la Ibrahim, Sarah, Rebekah na watoto wengine wa Isaka yako Hebron, katika msikiti unaitwa Masjid Al Ibrahimi ambao nusu ni Sinagoni na Nusu ni msikiti.

Lakini Waislam na Wanazuoni wa Kiislam hawajawahi kuja na Uthibitisho ni namna Gani Ibrahim alifikaje Mecca ya Leo na ilikuwaje akafia Kaanani/Israel ya Leo.

Kumbuka Hajiri alikuwa Mmsiri na Ibrahim alimfukuza Hajiri baadae kutokana na migogoro ya kifamilia.

Kulingana na Tamaduni za Kiyahudi Jiwe lililomo ndani ya Dome of the Rock au ule msikiti wenye paa la Dhahabu Ndio Ibrahim alitoka kumtoa Sadaka Isaka, kutoka yalipo makaburi ya Ibrahim na ilipo Yerusalem hoja hii ina mashiko zaidi ya Hoja ya Waislam

View attachment 3019478

TAFADHALI SANA MSIKILIZE HUYU PROFESSOR MKRISTO MWENZAKO AMEFIKA HUKO KWENYE HIZO SEHEMU NA KUWAULIZA WAHUSIKA NA NINI WANACHOKIJIBU

View: https://youtu.be/DjW-df7qJaM?t=952
 
Quran inahifadhiwa moyoni. Kiasi unaweza kuniamsha usingizini ,nikayasoma maneno ya Mungu (Quran) pasi na kushika kitabu cha karatasi.

Malaika Jibril (Gabriel) alikuwa anatumwa na Mungu kuja duniani kumfundisha Mtume hii Quran. Mtume Muhammad alikuwa hajui kusoma wala kuandika, so alikuwa akihifadhi moyoni yale yote aliyofunuliwa na kisha baadae kuwapasha habari wanafunzi wake ambao nao walihifadhi nyoyoni bila ya kusahau chochote. Hivi ndivyo Quran imehifadhiwa vizazi kwa vizazi pasi na kuchakachuliwa hata kidogo.

Hata itokee leo watu wachome nakala zote za Quran bado inaweza kukusanywa upya aya moja baada ya nyingine kutoka kwa waislam walioihifadhi vifuani mwao. Tofauti na wakristo na dini nyingine ambao ukichoma hizi nakala zenu za biblia basi kupata watu waliohifadhi aya zote za biblia ni ngumu sana.
Hii Ndio sababu Khalifa Othman alichoma Quran zote akaandika Moja akawapa Watu kariri
 
Hii listi ya vitabu ambavyo havimo katika biblia

Past of The Lost Books of the Bible

♦ = attributed to the Apostolic Fathers

Contents of The Forgotten Books of Eden

1. Books of the Apocrypha​

1 Esdras and 2 Esdras (150-100 BC)

Tobit (200 BC)

Judith (150 BC)

Additions to Esther (Vulgate Esther 10:4 – 16:24) (140-130 BC)

Wisdom of Solomon (30 BC)

Sirach (Ecclesiasticus), otherwise known as The Wisdom of Jesus son of Sirach (132 BC)

Baruch (150-50 BC)

Letter of Jeremiah (300-100 BC)

Song of the Three Children (Prayer of Azariah and Song of the Three Holy Children), an addition in the Greek version of Daniel 3 (170-160 BC)

Story of Susanna (Vulgate Daniel 13) (200-0 BC)

The Idol Bel and the Dragon (Vulgate Daniel 14) (100 BC)

Additions to Daniel, or the Prayer of Azariah (200-0 BC)

Prayer of Manasseh (100-0 BC)

1 Maccabees (110 BC)

2 Maccabees (110-170 BC)

2. Books of the Pseudepigrapha​

Epistle of Barnabas

3 Maccabees

4 Maccabees

Assumption of Moses (Testament of Moses)

Book of Enoch

Book of Jubilees

Psalms of Solomon

Letter of Aristeas

The Odes of Solomon

Testaments of the Twelve Patriarchs

2 Baruch

3 Baruch

First (and Second) Epistle of Clement to the Corinthians

The letter of the Smyrnaeans (also known as The Martyrdom of Polycarp)

The Shepherd of Hermas

The Gospel of Judas (130-170 AD)

Gospel of Thomas (140-170 AD)

The Books of Adam and Eve

The Acts of Phillip

The Apocalypse of Peter

The Gospel of the Nativity of Mary

The Gospel of Nicodemus

The Gospel of the Saviour's Infancy

The History of Joseph the Carpenter

The Acts of Paul (Including Paul and Thecla)

The Seven Epistles of Ignatius

The Epistle of Polycarp to the Philippians
Vitabu vya Biblia vimegawanywa kwenye makundi.

Vitabu vingine ni vitabu vy Elimu ambavyo Wakristo hawajakatwa kuvitumia na havikuchomwa wakati wa canonization
 
Hilo jina Isaka hapo limepachikwa Kwa kulazimishwa
Isaka hajawahi kuwa mtoto wa pekee Kwa Ibrahim Kwa sababu yeye ni mtoto wa pili

Ila Ishmael ndio aliwahi kuwa mtoto wa pekee Kwa Ibrahim

Wakati Isaka hajazaliwa Ishmael ndio alikuwa mtoto wa pekee Kwa Ibrahim

Nyinyi wagalatia mmedanganywa sana na Wazungu
Kwani mtoto wa pekee inamaanisha mtoto wa kwanza au yule umpendaye kuliko wote. Ebu turudi kwenye maisha ya kawaida ukienda kwa mganga kuambiwa ili upate mafanikio unapaswa kumtoa mtoto wa pekee je huwa wanamaanisha mtoto wa kwanza au yule anae gusa moyo wako? Haya twende na mawazo yako kati ya hajir na Sarah ni yupi aliye tabiliwa kuwa atabeba mimba akiwa ezeeni p
 
Naona unawachokonoa walioamua kuchukua BIBLIA na kuzifanyia editing na kuongeza wayatakayo yawafurahishe.
The Quran is not preserved and is corrupted
The famous statement and belief is that “Allah” wrote the Quran. But did Allah truly write the Quran or was it revealed to Muhammad who was incapable of writing the Quran. It was actually revealed in 7 dialects from Allah because certain tribes or groups didn’t know how to speak the other dialects. Therefore, the different lands had different preservations and memorizations of the Quran which is why after Muhammad died (which is when Qurans started being written), muslims were at disagreement and war with each other. Muslims we’re calling other muslims disbelievers because they believed in a different Quran.

If the different Qurans say the same, why would they feel the need to call other ones disbelievers.. the differences had to be great, which I have examples. But back to the history, Caliph Uthman decided out of his own will (not Allah’s or Muhammad’s order) to destroy the other Allah Given Qurans by burning them (sin) and he chose a council of muslims (some were companions of Muhammad) and re created a standardized Quran. Not the original, but his version. Remember, Muhammad told these companions different versions of the Quran so many did disagree yet we are still here to believe that there is only one Quran, when actuality, there is more than 26 Qurans in Arabic where the words are changed, which changes the meaning.

So I ask again, is the Quran today actually Allah’s word, or is it corrupted like every religion is supposedly. Let’s not forget sheep ate pages. Others were lost.

And to debunk this theory, if they memorized it perfectly, which lets say they did.. Allah sent 7 dialects. Muhammad taught different versions. If they were the same, why would one muslim feel to call others disbelievers ? Why would Uthman feel the need to make HIS OWN PERSONAL QURAN WITHOUT DIVINE REVELATION or COMMAND ?
 
Nimekuelewa
 
Ni kweli Ibrahim hakuwa na mitala, ila mke anakuwa huru kumtoa kijakazi wake kwa mumewe ili kumzalisha, huyo kijakazi anageuka suria, ana hadhi ya mke, ila watoto wa suria, wanakuwa ni wa bosi wake, yaani mama mwenye nyumba, hivyo baada ya Sarah kumtoa kijakazi wake, yule kijakazi akageuka suria, mtoto akawa ni wa Sarah, hivyo hakuna ubishi wowote kuwa mtoto wa kwanza wa Ibrahim ni Ismail.

Hajiri alikuwa suria, ni sawa na mke, kijakazi akiisha geuka suria, hawi kijakazi tena, anakuwa mke mdogo, kazi yake ni kumhudumia baba.

Sii kweli, mtoto wa kwanza wa Ibrahim ni Ismail na aliyekuwa mtoto wa pekee ni Ismail watoto wa wajakazi ni watoto kamili, ushahidi ni watoto 12 wa Yakobo, waliozaa makabila 12 ya Israel, watoto wa lea ni 5, watoto wa Recho ni wawili, watoto 5 ni wa wajakazi wa Lea na Recho
Yes it's true, Kikristo Ismail is not a big deal, Kiislamu it's a very big deal, Iddi ya kuchinja inatokana na Isamal ambaye ndio uzao wa Uislam.
P
Ndio uzao wa waarabu sio waislam kwa sababu kuna hata wazigua na waluguru waislam lakini sio waarabu hivyo hawana kabisa mafungamano na huyo Ismael.
 
Mkuu Imeloa (ikaushe, au ianike ikauke)
Binadamu hawezi kuwa binadamu bila mafungamano na Adam, mtu hawezi kuwa Mkristo au Muislam bila mafungamano na Nabii Ibrahim, mtoto wake wa kwanza Ismail ndio uzao wa Waislamu na mtoto wa pili Isaka ndio uzao wa Wakristo.

mdogo wangu Pasko pamoja na kutangulia kuzaliwa bado ishimael ni mtoto wa suria ndiyo maana alifukuzwa yeye na mamake Kwa amri ya Sara baada ya isaaka kuzaliwa hivyo mtoto mkubwa wa Ibrahim ni isaaka hata kwenu usukumani mtoto wa mchepuko hakui.
 
Mkuu Mbuli yaza , haki ya uzaliwa wa kwanza, haipotei kwa kufukuzwa nyumbani, inaweza kupotea huyo mzaliwa akiiuza kama Essau alipomuuzia Yakobo, lakini kwa Ibrahim mzaliwa wa kwanza ni Ishmael.
P
 
Quran inahifadhiwa moyoni. Kiasi unaweza kuniamsha usingizini ,nikayasoma maneno ya Mungu (Quran) pasi na kushika kitabu cha karatasi.

Malaika Jibril (Gabriel) alikuwa anatumwa na Mungu kuja duniani kumfundisha Mtume hii Quran. Mtume Muhammad alikuwa hajui kusoma wala kuandika, so alikuwa akihifadhi moyoni yale yote aliyofunuliwa na kisha baadae kuwapasha habari wanafunzi wake ambao nao walihifadhi nyoyoni bila ya kusahau chochote. Hivi ndivyo Quran imehifadhiwa vizazi kwa vizazi pasi na kuchakachuliwa hata kidogo.

Hata itokee leo watu wachome nakala zote za Quran bado inaweza kukusanywa upya aya moja baada ya nyingine kutoka kwa waislam walioihifadhi vifuani mwao. Tofauti na wakristo na dini nyingine ambao ukichoma hizi nakala zenu za biblia basi kupata watu waliohifadhi aya zote za biblia ni ngumu sana.
The Quran is not preserved and is corrupted
The famous statement and belief is that “Allah” wrote the Quran. But did Allah truly write the Quran or was it revealed to Muhammad who was incapable of writing the Quran. It was actually revealed in 7 dialects from Allah because certain tribes or groups didn’t know how to speak the other dialects. Therefore, the different lands had different preservations and memorizations of the Quran which is why after Muhammad died (which is when Qurans started being written), muslims were at disagreement and war with each other. Muslims we’re calling other muslims disbelievers because they believed in a different Quran.

If the different Qurans say the same, why would they feel the need to call other ones disbelievers.. the differences had to be great, which I have examples. But back to the history, Caliph Uthman decided out of his own will (not Allah’s or Muhammad’s order) to destroy the other Allah Given Qurans by burning them (sin) and he chose a council of muslims (some were companions of Muhammad) and re created a standardized Quran. Not the original, but his version. Remember, Muhammad told these companions different versions of the Quran so many did disagree yet we are still here to believe that there is only one Quran, when actuality, there is more than 26 Qurans in Arabic where the words are changed, which changes the meaning.

So I ask again, is the Quran today actually Allah’s word, or is it corrupted like every religion is supposedly. Let’s not forget sheep ate pages. Others were lost.

And to debunk this theory, if they memorized it perfectly, which lets say they did.. Allah sent 7 dialects. Muhammad taught different versions. If they were the same, why would one muslim feel to call others disbelievers ? Why would Uthman feel the need to make HIS OWN PERSONAL QURAN WITHOUT DIVINE REVELATION or COMMAND ?
 
Unakiri zipo nyingi.

Hahahahahahaha. Nilifikiri utajitetea.

Ismail na mama yake walifukuzwa Ismail akiwa bado mchanga na hakuha mahali palipoandikwa kama walirejea tena kwa Baba wa Imani Abraham,kwa misingi hiyo aliyekuwa na Abraham ni Isaka.
Ni kweli Ismail na mama yake walifukuzwa mara mbili, mara ya kwanza Ismail akiwa mchanga, Hajir alivimba kichwa baada ya kumzalia Ibrahim kidume, akamdharau Sarah, Sarah akamind akamtimua mjakazi na kichanga. Mungu akamtokea mjakazi kupitia malaika, akaambiwa aombe msamaha, aliomba msamaha akarejea nyumbani, wakati Isaka anazaliwa Ismail alikuwa na umri wa miaka 12. Ismail na mama yake walifukuzwa kwa mara ya pili kwa wivu wa Sarah kuona Ismail akicheza na mdogo wake Isaka ndipo akaingia wivu wa urithi wa mzaliwa wa kwanza, akamwambia Ibrahim amfujuze mjakazi na mwanae.
Ibrahim hili likamtesa Mungu akasema nae asiogope Mungu atasimama nao, ndipo Ibrahim akawatimua wakati huo Isaka ana miaka 5 Ismail alikuwa na miaka 17
Hii chini ni C& P from JW.ORG
SOMO LA 9

Hatimaye Wapata Mtoto!
9—Hatimaye Wapata Mtoto!
Abrahamu na Sara walikuwa wameoana kwa miaka mingi. Waliacha nyumba yao nzuri huko Uru na sasa walikuwa wakiishi katika mahema. Lakini Sara hakuwa akilalamika kuhusu hali yao, kwa sababu alimtegemea Yehova.

Sara alitamani sana kupata mtoto hivi kwamba alimwambia Abrahamu hivi: ‘Lala na mjakazi wangu Hagari. Labda ninaweza kupata watoto kutokana naye.’ Baada ya muda, Hagari akajifungua mtoto aliyeitwa Ishmaeli.

Sara akiwa mjamzito
Miaka mingi baadaye, Abrahamu alipokuwa na umri wa miaka 99 na Sara alipokuwa na miaka 89, walitembelewa na wageni watatu. Abrahamu aliwakaribisha ili wapumzike chini ya kivuli cha mti na kula chakula. Je, unajua wageni hao walikuwa nani? Walikuwa malaika! Walimwambia Abrahamu hivi: ‘Mwaka ujao wakati kama huu, mtapata mtoto.’ Sara alikuwa akiwasikiliza katika hema lake. Alicheka na kuwaza hivi: ‘Je, kwa kweli ninaweza kuzaa mtoto nikiwa mzee?’

Mwaka uliofuata, Sara alijifungua mtoto wa kiume, kama ambavyo malaika wa Yehova aliahidi. Abrahamu alimwita mtoto huyo Isaka, jina linalomaanisha “Kicheko.”

Isaka alipokuwa na umri wa miaka mitano hivi, Sara alimwona Ishmaeli akimfanyia mzaha Isaka. Kwa kuwa alitaka kumlinda mtoto wake, alienda kwa Abrahamu na kumwomba awafukuze Hagari na Ishmaeli. Mwanzoni, Abrahamu alikataa. Lakini Yehova alimwambia Abrahamu hivi: ‘Msikilize Sara. Nitamlinda Ishmaeli. Lakini nitatimiza ahadi yangu kupitia Isaka.’
1102016019_univ_cnt_3_md.jpg

Sara akiwa na Isaka wakati Hagari na Ishmaeli wakiondoka

P
 
The Quran is not preserved and is corrupted
The famous statement and belief is that “Allah” wrote the Quran. But did Allah truly write the Quran or was it revealed to Muhammad who was incapable of writing the Quran. It was actually revealed in 7 dialects from Allah because certain tribes or groups didn’t know how to speak the other dialects. Therefore, the different lands had different preservations and memorizations of the Quran which is why after Muhammad died (which is when Qurans started being written), muslims were at disagreement and war with each other. Muslims we’re calling other muslims disbelievers because they believed in a different Quran.

If the different Qurans say the same, why would they feel the need to call other ones disbelievers.. the differences had to be great, which I have examples. But back to the history, Caliph Uthman decided out of his own will (not Allah’s or Muhammad’s order) to destroy the other Allah Given Qurans by burning them (sin) and he chose a council of muslims (some were companions of Muhammad) and re created a standardized Quran. Not the original, but his version. Remember, Muhammad told these companions different versions of the Quran so many did disagree yet we are still here to believe that there is only one Quran, when actuality, there is more than 26 Qurans in Arabic where the words are changed, which changes the meaning.

So I ask again, is the Quran today actually Allah’s word, or is it corrupted like every religion is supposedly. Let’s not forget sheep ate pages. Others were lost.

And to debunk this theory, if they memorized it perfectly, which lets say they did.. Allah sent 7 dialects. Muhammad taught different versions. If they were the same, why would one muslim feel to call others disbelievers ? Why would Uthman feel the need to make HIS OWN PERSONAL QURAN WITHOUT DIVINE REVELATION or COMMAND ?
Copy n paste bila ya ushahidi wowote...thibitisha kama Quran ni corrupted kwa ushahidi wa aya
 
Wanabodi,

Hakuna ubishi kuhusu Wakristo na Waislamu, kuwa ni watoto wa Baba mmoja, Nabii Ibrahim hivyo huu ni uthibitisho wa Mungu wa Wakristo na Waislamu ni Mungu Mmoja, na sheria za dini hizi zote mbili Wakristu na Waislamu, ni sheria moja ile ile ya Musa, ila kuna watu wanafundishwa ukweli na kuna watu wanadanganywa!.

Hakuna ubishi kuwa mtoto wa kwanza wa Ibrahim ni Ismail aliyezaa na mjakazi wa Kimisri, Hagir, na Isaka ni mtoto wa pili wa Ibrahim, aliyemzaa na mkewe Sarah.

Hakuna ubishi Ibrahim alitaka kumtoa mtoto wake Sadaka ya kuchinja.

Waislamu na Kitabu chao Kitukufu cha Quran Tukufu, kinamtaja mtoto huyo aliyetaka kutolewa sadaka ya kuchinja ni Ismail. Wakristo na Kitabu chao Kitakatifu cha Biblia Takatifu, kinamtaja mtoto huyo aliyetaka kutolewa sadaka ya kuchinja ni Isaka.

Je, ukweli halisi ni upi? Hii maana yake. Kama tukio la Ibrahim kutaka kumchinja mwanae kumtoa sadaka ni tukio moja, then

1. Hii maana yake ni kuna watu wanadanganywa, haiwezekani kwa Waislamu mtoto huyo awe ni Ismail na kwa Wakristu mtoto huyo awe ni Isaka, hii maana yake kuna kitabu hapo kinasema kweli na kuna kitabu kinasema uongo!, jee ukweli ni upi?
Paskal
Paschal hebu fafanua hiyo sentensi yako hapo chini:

"Waislamu ni uzao wa mwanaye wa kwanza Ismail na Wakristo ni uzao wa mwanaye wa pili Isaka"
Mkuu Uzalendo wa Kitanzania karibu pande hizi
P
 
Back
Top Bottom