Japo wenye Maono ya Kimpira tulisema tumeshatoka, ila yafuatayo kadhaa yamechangia kabisa Kaizer Chiefs FC Kufuzu kwa Aggregate ya 4 - 3

Mkuu GENTAMYCINE ,una kipaji kikubwa sana.
Ila sijui ni kipaji gani.
Kongole sana.
Pia umeandika ukweli kwa asilimia 85.
Asante sana Mkuu na Shukran mno pia kwa Kongole zako ambazo nimezipokea na zimezidi Kuniimarisha na kunipa Moyo wa Kufanya Chambuzi za Kina zaidi niwapo hapa JamiiForums. Ubarikiwe Mkuu.
 
Swine.
 
Na ni Popoma 1st class...Eti anazungumzia ubinafsi wa mpira na kukosa magoal. Ni striker gani Dunian hapa hakosi magoal..Anzia kwa lewandosk mpka kwa kina Tammy abrahm...akina rashford hadi kwa kina benzema...
Kuna Watu ni Wapumbavu hadi mnaboa.
 
Mimi naona waliofanya Simba asishinde mechi ya jana ni Waganga wa Kienyeji, waliloga kupitiliza.
 
Hilo ndo tatizo la wajinga yaan kwakuwa yanga walifanya vibaya basi unajificha kweny kivuli hicho? Hapa linazungumzwa Simba kutolewa kwny mashindan ww kwa upumbavu wako unalinganisha na yanga.

Umeumia eeh
 
Nimekusoma hapa.

1. Mugalu michosho.
2. Ubinafsi wa wachezaji.

Hayo mawili pekee yangefanyiwa kazi haraka jana, wale Kaizer wangetoka mapema sana, bado siamini inakuwaje kocha hakuona kabisa umuhimu wa Kagere kwenye ile mechi.

Sub ziliisha mapema
Majeruhi ya lwanga na onyango pamoja na ile sub ya mapema ya muzamiru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…