Kocha De Rosa ana leseni ya ukocha daraja A ya Uefa, ana uzoefu wa kutosha ktk coaching,,, anakaa na wachezaji kuanzia mazoezini mpaka kwenye mechi
Anajua uimara na udhaifu wa kila mchezaji, ana wasaidizi waliobobea ktk soka kuanzia Matola, Kocha wa makipa, Kocha wa physics, game analyst na wengne
Sisi mashabk tunamuona mchezaji katika muda usiozidi dk 90 tu,, wengi wetu hatuna taaluma ya ukocha
Mechi ya mwisho ya makundi dhidi ya Ahly Kagere alianza ile game ila Simba haikuwa tishio kabisa pale mbele, nafasi tulizotengeneza hazikuzidi hata Tatu,
Lakini akicheza Mugalu basi Simba inatengeneza nafasi za kutosha kabisa kuimaliza hio game, na tunakuwa tishio kwelikweli pale mbele,, hvyo inawapa fursa wachezaji wengne waweze kuscore kwasbb attention ya mabeki wawili wa kati inakuwa dhidi ya The StrongMan Mugalu
Sasa unapoanza kusema kwann hakumpanga Kagere badala ya Mugalu, unaonesha kiwango chako cha ungumbalu, upopoma na ushabk maandazi