Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
Thamani ya ligi yetu itaongezeka sana. Watanzania wataanza kuangaliwa ili wasajiliwe timu nyingine za Afrika. Na pengine makocha wetu wanaweza kutazamwa.
Yanga siwapendi na mpira wao uko sana mdomoni lakini ningefurahi mwaka huu na sisi tuwe na timu mbili kwenye makundi CAFCL. Azam nao nawatakia heri wapindue meza kesho kwenye Confederation.
Mnyama mkali sina wasiwasi naye, ni mfalme wa mechi za kimataifa na ndio timu pekee kubwa Afrika Mashariki.
Kila la heri Tanzania 🇹🇿