Japo yuko nje ya nchi Freeman Mbowe achangia zaidi ya 50 mil ili kuwezesha Kongamano la BAWACHA Mlimani City

Na mchango sio lazima pesa. Wakati mwingine ushauri ni mchango mkubwa kuliko pesa. Sharifa alisema wazi kuwa yeye ni Team Mbowe. Na kwa alivyozungumza Sigrada nae ni Team Mbowe. Kuwa hivyo haina maana kuwa hawamheshimu na kumkubali Mwenyekiti Lissu. Kitu ambacho hawakubali ni mchango wa Mbowe kuchafuliwa au kupotoshwa.

Amandla....
 
Zamani tungeambiwa kakikopesha chama ili baadaye ajilipe hela ndefu.
 
Amesema Kila Pesa Iliyoingia Walijua Inatoka Wapi na Hakuna Pesa Ipiyotoka Ikiwa inasema Imetoka Kwa Mbowe..
Kwahyo Hiyo Ni Madeup Stories Haina Uhalisia..

Hizo ni Pesa za Wadau na Kwa Mara Ya Kwanza Tukio la Kitaifa la Chama Limefanyika Bila Ya Mchango wa Mbowe So Team Mbowe Mpo Kwenye Denial
 
baada ya kumsema sana, ameona aibu, ngoja tu achangie. kutoa ni moyo.
 
Ngoja yaje machawa walizoea pesa za bure
 
Nani amemchafua Mbowe? Maccm ndo yanalalamika kwa hili ,chadema imewashika pabaya
 
Unadhani Lissu amewapa kazi Bazecha ya kuponya majeraha yaliyopo Chadema kwa sababu gani? Au na yeye ni CCM?

Amandla...
Wakiishiwa hoja uchochoro ni kuingiza CCM katika mauchafu yao, hata mke wake akibaduliwa na boda boda atakazana kuwa CCM tu inakula mzigo kuna shida sana uko Chadomo.
 
Kwa mabilioni aliyohongwa na ccm hiyo hela aliyotoa ni kama buku tu...
 
La ajabu ni lipi hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…