Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Na mchango sio lazima pesa. Wakati mwingine ushauri ni mchango mkubwa kuliko pesa. Sharifa alisema wazi kuwa yeye ni Team Mbowe. Na kwa alivyozungumza Sigrada nae ni Team Mbowe. Kuwa hivyo haina maana kuwa hawamheshimu na kumkubali Mwenyekiti Lissu. Kitu ambacho hawakubali ni mchango wa Mbowe kuchafuliwa au kupotoshwa.
Amandla....
Amandla....