Japo yuko nje ya nchi Freeman Mbowe achangia zaidi ya 50 mil ili kuwezesha Kongamano la BAWACHA Mlimani City

Bawacha wamesema hajachangia hata senti mia
 
MBOWE hawezi kutoa hata senti 4 ana kinyongo,roho mbaya dhidi ya uongozi uliopo madarakani. Hatakuja wala hatakihusisha nao.... Yupo pale kuangalia watakavyoanguka na ndio maombi yake makubwa. Hata siku anakubali kushindwa alitamka wazi wacha akae pembeni. Acheni kumtafutia sifa asizostahili.... MBOWE ni mroho wa madaraka hawezi kuchangia ili qenzake waonekana wanaofanya vizuri.
 
Lissu kachangia ngapi? Hata kwenye hili hamkutaka kumpa stahili yake FAM kwa sababu mlisema hajachangia hata thumni. Kila siku tunawaambia kuwa pamoja na juhudi zenu za kumchafua FAM atabakia kuwa muungwana.

Amandla...
Ameiba mabillion mangapi ya chadema?.
 
Hilda Newton sio msemaji wa Bawacha. Lile ni tamko lake binafsi, sio la Bawacha. Katibu Mwenezi ( ambae ndie msemaji wa Bawacha) wa Bawacha amemshukuru mchango wake katika kufanikisha shughuli ya Bawacha.

Amandla...
Malisa lake ni tamko la chama? Au hicho kipande cha blog ni tamko la chama?
 
Amefanya jambo la maana kuiwezesha taasisi yake iendeshe mkutano bila stress.
 
Malisa lake ni tamko la chama? Au hicho kipande cha blog ni tamko la chama?
Malisa alikuwa anam quote Katibu Mwenezi wa Bawacha ambae ni msemaji wa chama. Na Sigrada aliyasema haya mbele ya Lissu na Mwenyekiti wa Bawacha. Wote hao hawakumsahihisha.

Amandla...
 
Malisa alikuwa anam quote Katibu Mwenezi wa Bawacha ambae ni msemaji wa chama. Na Sigrada aliyasema haya mbele ya Lissu na Mwenyekiti wa Bawacha. Wote hao hawakumsahihisha.

Amandla...
Unaweza tupa alichoongea lisu kuhusu mpasuko ndani ya chama? Akiomba wazee wa chama wafanye jambo?
 
Anarudisha tu hela ya chadema aliyochukua
 
Ingekuwa ni kabla ya uchaguzi,ungesikia zinaitwa ni fedha chafu za "Mama Abdul ". Ila msemaji wa hizo hoja kwa sasa yuko meza kuu anapiga makofi na smile kubwa.
 
Bwahabwahabwahahahaaaaa!

Ni lini ccm iliendelea na makundi baada ya chaguzi zao?!!!! Huyo ndo mwamba na anayepaswa kupigwa. Ukiulizwa kundi gani? Eti kundi la lissu na mbowe. Lissu nae kuwa na kundi la kusumbua?!!!! Huko hakukuwa na MAKUNDI yoyote, huko kulikuwa mipasho tu ya overgrown babies wakijifunza kutokelezea na wao. Mbowe hakuwa na haja ya kiviiile na huo uenyekiti......naamini hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…