super hero1
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 1,057
- 825
Bawacha wamesema hajachangia hata senti miaTaarifa ikufikie Popote ulipo kwamba Mwenyekiti Mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe amewezesha kitita kikubwa cha fedha ili kugharamia Kongamano la Wanawake la Kidunia lilioandaliwa na BAWACHA kwenye Ukumbi wa Mlimani City, D'Salaam.
Inatajwa kwamba Mwamba amechangia zaidi ya Sh mil 50 za Kitanzania
View attachment 3269091
Kwa niaba ya Dunia Natoa Shukrani za Dhati kwa Freeman Mbowe kwa Moyo wake huu wa kutoa, Mungu amzidishie.