Uchaguzi 2020 Japokuwa kukaa kimya ni jibu, Serikali inatakiwa ijibu hizi tuhuma

Uchaguzi 2020 Japokuwa kukaa kimya ni jibu, Serikali inatakiwa ijibu hizi tuhuma

kwanza, Tundu Lissu hakutoa tuhuma kwa TAIFA, ametoa tuhuma kwa serikali.

Pili, serikali na jeshi la Polisi wameshatoa ufafanuzi mara kadhaa.

Ufafanuzi wa mwisho niliousikia ni kutoka kwa IGP Sirro ambaye alidai kwamba tangu Tundu Lissu arejee nchini wapelelezi wamekuwa wakimtafuta lakini bado hawajampata. Hiyo ndiyo statement ya hivi karibu toka kwa IGP Sirro.

Uchunguzi ulikuwa umekwama kwasababu Tundu Lissu alikuwa nje ya nchi. Sasa hivi uchunguzi umekwama kwasababu wapelelezi wa Polisi wamekuwa wakimtafuta Tundu Lissu lakini wameshindwa kumpata.
 
Watanzania sio wapumbavu,mpumbavu ni wewe ambae umeshindwa kufahamu kuwa serikali ndio inayowakilisha watanzania mil 60 ndio inatakiwa kujibu hizi tuhuma. Hata Au au Un wakifuatilia hizi tuhuma za watu kuuwawa ni serikali ndio itawajibishwa,sio kila Mtanzania.
Huyu ni ccm mwenzio ujue
 
Magufuli ni fisadi;
Magufuli ni muuaji;
Magufuli ni dictator;
Magufuli hawezi kujibu hoja na wewe mfuasi wake ndiyo kabisa huwezi kumtetea kwa ukilaza wako!
 
chagu wa malunde ,

..nadhani hii utaipenda zaidi.

..kwanza angalia body language ya wazungumzaji.

..particularly muangalie mtangazaji Ngoma anavyomsoma Mwigulu.

..ila komesha ni swali la kushtukiza alilotupiwa Mwigulu kabla clip haijakatishwa.😂😂

Back
Top Bottom