Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwisho wa siku bwana ni yuleyule wa asifiwe na tumsifu. Ni kama kusema x 'ameshakula' na mwingine akasema x 'amekula'.Mimi najuaje kama ni Yesu? ndio Maana sisi Tunasema Tumsifu Yesu Kristu.. lazma yesu na Kristu litamkwe..
Unafanya vitu ambavyo havipo kwenye biblia asiulize? Fuata bibliaHuwa hawachelewi kukengeuka hao. Ukipiga ishara ya msalaba utasikia kwenye biblia imeandikwa wapi?
Ni biashara Vatican (nchi) siyo kanisaUkatoliki ni biashara ya kanisa la vatikano, siyo dini.
Nawashangaa ambao mpaka leo hamjafunguwa macho.
The Roman Catholic Church is Big BusinessLeta ushahidi kuwa Ukatoliki ni Biashara ya Vatikano!
Bishana na ushahidi huu: The Roman Catholic Church is Big BusinessNi biashara Vatican (nchi) siyo kanisa
Mungu mwenyewe ndio anafungua macho na hufungua mmoja mmoja kwa wakati wake naamini hivyo
Umeshindwa kupinga Hata kimoja kwenye hiyo "article", nakuongeza hii: Vatican Inc.: 5 facts about the business of the Catholic ChurchHivi Akili unazo kweli? Hii si Article tu tena Crap of an Article.. Hata Mwanangu wa Darasa la 7 anaweza Kuiandika.. kama mtu mzima mwenye utashi na akili timau na mwenye uwezo wa kung'amua vitu unaamini vipi Article kama hizi?
Kuokoka kwako ni kupi hasaSasa mtoa maada kusema asante baba inakuuma? Kusema mpendwa unawashwa? Kusema Bwana Yesu asifiwe unakonda? Kweliwewe zao la shetani unaona masanamu hayo mnayo fukizia ubani nimhimu sana duu kweli tabu ipo
Hizo link hata uweke Buku sio Proof.. Nikajua ungekuja Proofs kutoka vatican kwenyeweUmeshindwa kupinga Hata kimoja kwenye hiyo "article", nakuongeza hii: Vatican Inc.: 5 facts about the business of the Catholic Church
Hizo link hata uweke Buku sio Proof.. Nikajua ungekuja Proofs kutoka vatican kwenyewe
Business in the VaticanHizo link hata uweke Buku sio Proof.. Nikajua ungekuja Proofs kutoka vatican kwenyewe
Rudia kusoma na nyongeza kusujudu msalabaYapi tunakengeuka Mkuu?