Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Mkuu una nondo hatari-Hili nilikuwa sijawi kulisikaBishana na ushahidi huu: The Roman Catholic Church is Big Business
Hahahaha. Wewe mwenyewe umeona kuwa huo ni upuuzi tu. Nimekuwekea vitu toka Vatican nawe fanya hivyo kama u mkweli.
Wewe ni bendera mfuata upepo tu sasa....Soma Mitaguso ya Imani hasa ule wa Tisa ndo utaelewa historia ya hicho chama....Penda kufaamu misingi ya Imani yako....!!
Sasa wewe unayeandika kihuni hivi si ajabu ni mlokole tena unajiona mtakatifu..Sasa mtoa maada kusema asante baba inakuuma? Kusema mpendwa unawashwa? Kusema Bwana Yesu asifiwe unakonda? Kweliwewe zao la shetani unaona masanamu hayo mnayo fukizia ubani nimhimu sana duu kweli tabu ipo
Bado sijaona mantiki na upendo wa kimungu wa kutukana wakristo wenzako hata wawe wa dhehebu jingine au mwanadamu yoyote aliyeumbwa na mungu,hiki ni kiburi mbele za mungu.Ndo maana wameambiwa siku nyingi watoke huku kati kati yetu watuachie dini yetu lakini hawataki. Paroko wengi tiyari weshawatimua kutoka kati yetu na kama ulipo bado mwambieni baba Paroko awatimulie mbali. Fyekelea mbali. hao mazezeta
Bwana yesu yupi mkuu unamzungumzia maana yesu wapo wengiYaani umeacha kukwazwa na namna hilo dhehebu lilivyozikanyaga amri za Mungu na kweli za biblia kama kuabudu sanamu, kuikanyaga sabato ya Mungu, kuwaombea wafu, kutubu kwa binadamu wenzenu mapadri, kumpa Maria cheo cha Yesu kama mwombezi wetu.,unakwazwa na salamu ya Bwana Yesu asifiwe?
Kama hao wakarismatiki wanapinga baadhi ya vitu vyenu kidogo wameanza kupata mwanga wa ukweli na wanawasaidia huko mbeleni
Mkuu nadhani kitu ulichokiweka hapa ni dhahabu safi ya kuelewa hizi dini zetu. Kumbe kuna siri nyingi sana ,ila sisi waumini tunaburuzwa ya kuwa tunamwabudu Mungu ,kumbe waanzilishi wenyewe wana mission zao na wala Mungu siyo kipaumbele chao. They are doing business. Mungu akubariki mkuu. Umezidi kuniimarisha kwenye Imani yangu
Asante sana Mkuu.. Sharing is Caring..Mkuu nadhani kitu ulichokiweka hapa ni dhahabu safi ya kuelewa hizi dini zetu. Kumbe kuna siri nyingi sana ,ila sisi waumini tunaburuzwa ya kuwa tunamwabudu Mungu ,kumbe waanzilishi wenyewe wana mission zao na wala Mungu siyo kipaumbele chao. They are doing business. Mungu akubariki mkuu. Umezidi kuniimarisha kwenye Imani yangu
Asante Mkuu kwa Mchango wakoTukisema Dini imevumbuliwa na binadamu hamtaki, tukisema kila siku inavyoenda binadamu ataikoroga Dini iendane na yeye atakavyo hamtaki, sasa tuwaache mlumbane na maneno kwamba haya yanatumika na wakatoliki au kilutheri sisi hatuyatumii! Tutafikia kuna maneno yanatumika kwenye Koran yatakuwa hayatumiki kama ni Msabato! Kazi kwenu...