Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu samahani kidogo...Vatican imesharidhia hiyo kitu na Kuna idara maalum inayoratibu ukarismatic kuanzia vatikan, kitaifa, kijimbo na kiparokia. Mkuu hata hi liturjia unayoiona sasa hivi awali haikuwa hivyo. Mfano kabla ya mtaguso wa Tisa wa vatikan mapadre na waumini wote walikuwa wanaangali kwenye tabernakulo nasio km ilivosasa mapadre wanaipa kisogo tabernakulo. Na Kuna mpango wa kurasimisha baadhi ya maudhui ya karismatic kuingizwa ktk sehemu ya misa kuu za kila jumapili.
How abt Islamic...????Ukatoliki ni biashara ya kanisa la vatikano, siyo dini.
Nawashangaa ambao mpaka leo hamjafunguwa macho.
Ushahidi wa Muddy kuishi kinyumba na binti wa miaka sits au....????maana kwa nyakati hizi Muddy gereza lingemuhusu *****...,Leta ushahidi.
Created link from Antichrist so we don't care....,
Ndugu yangu umesababisha kanisa kutukanwa bure kwenye hii mada yako.Tumsifu Yesu Kristu wanaJF!
Kwa wakatoliki wenzangu kuna hawa Jamaa wanajiita Charismatic Catholics, au Karismatiki Katoliki.. hawa Jamaa wamekaa muundo fulani wa kilokole.. Hili Jambo binafsi linanikwaza (Japo sio Big deal).. kwa mfano siku Mkarismatiki akiwa mtoa neno utasikia maneno ya kilokole kama Mpendwa, Bwana asifiwe na Mengine Kadhaa.. sasa mimi binafsi nakuwa mvivu kuwa atentive kwa staili yao Hii..
Juzi kuna sala za Novena (sala za siku 9) nilikuwa nazipitia tukiwa tunajiandaa kwa Novena ya Kushukuru.. Kilichonivunja moyo Niliona mstari umeandikwa Tunasema Asante Baba.. Jambo ambalo wakatoliki awali hatujalizoea..
Sasa wakatoliki wenzangu Nafanyeje ili niweze kudeal vyema na hawa Jamaa..? ili niwe comfortable..
Asanteni!
Divine Khan!
Islam is submission to Allah only.How abt Islamic...????
Created link from Antichrist so we don't care....,
Raisi wa nchi anakiri kuharibiwa na mapadre wa kikatoliki, anasema si yeye tu. Wote! Wewe umepona kweli? Fungus...Sina neno kama padre ambaye ndie huyo askofu.. Ndiye huyo Kardinali.. Umemuweka kwenye hili kundi.. Tena katika muundo wa kashfa..
Councils...hivi mitaguso ni nini mkuu!
Sio kweli mtaguso ni mikutano ya mabadiliko inajumuisha viogozi kanisa Kwa mfano mapadre,maaskofu,macardinali na viogozi wengine..!!Kwa mfano mtaguso Wa kwanza wa Vatican..mkutano Wa kwanza wa vatican kwenye hiyo mikutano ndo hayo mabadiliko ujadiliwa..Kwa lugha nyepesi ni mabadiliko, maboresho au marejeo ya kanuni, taratibu, Sheria kuhusu swala, tendo au mfumo wa kuabudu, kuhudumu, kuamini Jambo la kikatoliki. Kifupi ni mabadiliko ya kikanuni ya kanisa la Roma ambapo makardinali wote duniani wanakutana vatikani kupitisha.
Eti kanisa. Roman catholic siyo kanisa. Waanzilishi wake wana mission tofauti sana na mnachokiamini. Ndio maana wakiona waumini wanaofuata maandiko wanafyekelewa mbali.Kanisa linajitahidi kuaccomodate watu wake wote kadri iwezekanavyo.
Kila kitu katika ukristo kiliandaliwa na Wakatoliki una maanisha nini mkuuUislamu.. Pia ni Biashara ya wakatoliki.. Kwa Taarifa yako Kila kitu katika Ukristu Kiliandaliwa na wakatoliki!
Kawadanganye wajinga kama wewe.Eti kanisa. Roman catholic siyo kanisa. Waanzilishi wake wana mission tofauti sana na mnachokiamini. Ndio maana wakiona waumini wanaofuata maandiko wanafyekelewa mbali.
Kwa mfano wanatakiwa wajue kwanini wanaabudu Jumapili, Kwanini wanaabudu sanamu,Je 25.12 ndio siku alizaliwa Yesu waliipata wapi siku hiyo? Kwanini watoto wanabatizwa wakati kubatizwa kunaendana na kuamini je watoto wachanga nao wanaaminije? Kwanini Passover imetafsiriwa kama Easter.Shida kubwa ya kanisa katoliki ni kuwa na wakatoliki wasiojua ukatoliki na wanadai wanaujua, hawa ndio shida kuliko wasioijua imani yenyewe. Mkatoliki kama unajua kusoma lazima utafute maana ya imani yako sio kuwa mvivu wakutafuta masuala ya imani yako halafu unakuja humu unasema unakwazwa tafuta maana ya maandiko yapo mengi ya kujua imani yako. Mungu tuepushie mbali wakatoliki wasiotafuta maana ya imani yao na bado wanajiita wakatoliki
Mimi siyo mjinga na sitakuwa mjinga