Japokuwa Simba tuna mechi ngumu na Waydad tumejipanga kuchukua point 3

Japokuwa Simba tuna mechi ngumu na Waydad tumejipanga kuchukua point 3

Kasiano Muyenzi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2018
Posts
13,858
Reaction score
22,729
Tunajua kuna wenye roho mbaya hawalali wakitutakia mabaya wana Simba tushindwe na hao waarabu.

Enyi wenye roho mbaya nawaambieni wazi kwamba tumekuja kuchukua point zetu 3 kwa mwarabu, Simba sio team ya kukaa mkiani.

Simba nguvu moja.
Screenshot_20231208-081121.jpg
 
Tunajua kuna wenye roho mbaya hawalali wakitutakia mabaya wana Simba tushindwe na hao waarabu.

Enyi wenye roho mbaya nawaambieni wazi kwamba tumekuja kuchukua point zetu 3 kwa mwarabu, Simba sio team ya kukaa mkiani.

Simba nguvu moja.
View attachment 2836205
Tunamuona mchezaji wenu hatari Esomba Onana lazima awape point 3 bila kusahau mchezaji tishio kiungo Bora ambae whydad wanatakiwa wawe nae makini kijana wa Bujumbura Saido ntibazonkiza ataingia kambani maana anayo Kasi ya ajabu mithili ya radi point 3 lazima zibaki kwenu aisee🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom