Japokuwa Tanzania ina watu wengi kuliko Kenya, ila wanafunzi wanaohitimu Tanzania ni wachache kuliko Kenya. Sababu ni nini?

Mtambachuo

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2023
Posts
1,907
Reaction score
3,560
Kwa takwimu za wanaofanya mitihani ya kidato cha nne mwezi huu Novemba 2024

Kenya ina jumla ya watahiniwa 965, 501 na Tanzania ina watahiniwa 557, 731.

Je, ni kwa nini Tanzania watahiniwa ni wa chache ilihali idadi ya watu ni kubwa kuliko. Kenya au ndio idadi kubwa ya wanafunzi wanaacha shule kwa sababu mbalimbali?
 
Kwa takwimu za wanaofanya mitihani ya kidato cha nne mwezi huu Novemba 2024

Kenya ina jumla ya watahiniwa 965, 501 na Tanzania ina watahiniwa 557,000.

Je ni kwa nini Tanzania watahiniwa ni wa chache ilihali idadi ya watu ni kubwa kuliko
Kenya au ndio idadi kubwa ya wanafunzi wanaacha shule kwa sababu mbalimbali?
Na bado hapo hujahesabu kati ya vichwa vya hao watahiniwa ni vipi vilivyo na elimu nzuri zaidi.
 
Kwa takwimu za wanaofanya mitihani ya kidato cha nne mwezi huu Novemba 2024

Kenya ina jumla ya watahiniwa 965, 501 na Tanzania ina watahiniwa 557, 731.

Je ni kwa nini Tanzania watahiniwa ni wa chache ilihali idadi ya watu ni kubwa kuliko
Kenya au ndio idadi kubwa ya wanafunzi wanaacha shule kwa sababu mbalimbali?
Kenya hakuna Simba na Yanga.
 
Quality vs Quantity

Wanafunzi wa Tz hawawezi shindana na Wanafunzi wa Kenya.

Wachukue uwape topic 1 ndo maana hakuna Walimu kutoka Tz wanafundisha Kenya ila kuna walimu wengi wa Kenya Tanzania
Hahahah
 
Elimu na Tanzania wapi na wapi wanaotaka kusoma hawapewi nafasi ya kusoma wasiotaka wanapewa nafasi unategemea nini?
 
Wametuzidi kwa vyote Quantitative na Qulitative.
 
Elimu na Tanzania wapi na wapi wanaotaka kusoma hawapewi nafasi ya kusoma wasiotaka wanapewa nafasi unategemea nini?
Na idadi ya waofika vyuo vikuu ni wachache zaidi, lakini hata kwa huo

uchache bado wengine wanakosa mikopo nashindwa kuendelea na masomo.
 
Watanzania wengi ni malimbukeni au hawajatembea,Kwa saiz tunavyoongea Kenya haiigusi Tanzania kielimu,endeleeni kukatiri story za miaka ya hamsin nyuma
 
Unaongea bila takwimu? Mimi nimeweka takwimu hizo na zipo kwenye Public

sio siri. Wewe unatumia vigezo gani au tafiti ulifanya wapi?
 
Back
Top Bottom