Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Na bado hapo hujahesabu kati ya vichwa vya hao watahiniwa ni vipi vilivyo na elimu nzuri zaidi.Kwa takwimu za wanaofanya mitihani ya kidato cha nne mwezi huu Novemba 2024
Kenya ina jumla ya watahiniwa 965, 501 na Tanzania ina watahiniwa 557,000.
Je ni kwa nini Tanzania watahiniwa ni wa chache ilihali idadi ya watu ni kubwa kuliko
Kenya au ndio idadi kubwa ya wanafunzi wanaacha shule kwa sababu mbalimbali?
Kwa lipi wakati wanatuzidi na wanafunzi laki 4 zaiditz tuko vizuriii
Kenya hakuna Simba na Yanga.Kwa takwimu za wanaofanya mitihani ya kidato cha nne mwezi huu Novemba 2024
Kenya ina jumla ya watahiniwa 965, 501 na Tanzania ina watahiniwa 557, 731.
Je ni kwa nini Tanzania watahiniwa ni wa chache ilihali idadi ya watu ni kubwa kuliko
Kenya au ndio idadi kubwa ya wanafunzi wanaacha shule kwa sababu mbalimbali?
Hapa ndio majanga yalipoNa bado hapo hujahesabu kati ya vichwa vya hao watahiniwa ni vipi vilivyo na elimu nzuri zaidi.
Ni nini tunaweza sasa?Tanzania na Elimu wapi na wapi?
Hapo ndio hali itakuwa mbaya zaidi.Na bado hapo hujahesabu kati ya vichwa vya hao watahiniwa ni vipi vilivyo na elimu nzuri zaidi.
Watu wanahahaNa bado hapo hujahesabu kati ya vichwa vya hao watahiniwa ni vipi vilivyo na elimu nzuri zaidi.
Ni kweli na uchawa Kenya hakuna pia.Kenya hakuna Simba na Yanga.
Kumshabikia Zuchu, Simba na YangaNi nini tunaweza sasa?
HahahahQuality vs Quantity
Wanafunzi wa Tz hawawezi shindana na Wanafunzi wa Kenya.
Wachukue uwape topic 1 ndo maana hakuna Walimu kutoka Tz wanafundisha Kenya ila kuna walimu wengi wa Kenya Tanzania
Elimu na Tanzania wapi na wapi wanaotaka kusoma hawapewi nafasi ya kusoma wasiotaka wanapewa nafasi unategemea nini?Quality vs Quantity
Wanafunzi wa Tz hawawezi shindana na Wanafunzi wa Kenya.
Wachukue uwape topic 1 ndo maana hakuna Walimu kutoka Tz wanafundisha Kenya ila kuna walimu wengi wa Kenya Tanzania
Wametuzidi kwa vyote Quantitative na Qulitative.Quality vs Quantity
Wanafunzi wa Tz hawawezi shindana na Wanafunzi wa Kenya.
Wachukue uwape topic 1 ndo maana hakuna Walimu kutoka Tz wanafundisha Kenya ila kuna walimu wengi wa Kenya Tanzania
Na idadi ya waofika vyuo vikuu ni wachache zaidi, lakini hata kwa huoElimu na Tanzania wapi na wapi wanaotaka kusoma hawapewi nafasi ya kusoma wasiotaka wanapewa nafasi unategemea nini?
Unaongea bila takwimu? Mimi nimeweka takwimu hizo na zipo kwenye PublicWatanzania wengi ni malimbukeni au hawajatembea,Kwa saiz tunavyoongea Kenya haiigusi Tanzania kielimu,endeleeni kukatiri story za miaka ya hamsin nyuma