Jaqueline Wolper amchangia Sajuki mil 15 za matibabu

Jaqueline Wolper amchangia Sajuki mil 15 za matibabu

jamani acheni uongo mbona mke wake sajuki amesema wamepata mil 19 kama jack angekua amechanga hizo hela basi c ingepita milioni 25
 
Habari ndo hiyo. Kumbe wasanii wa bongo wana hela.
Habari ndo hiyo hutaki unaacha.
source Radio pendwa na magazeti pendwa.

Acha uongo ww unauakikaunacho'kinena' kwamba katoa m.15 au unaandika 2!!
 
what ever the case,hata ka analiwa tigo and so on tuache utani huyo binti ana moyo,c rahisi kivile kutoa dola elf10,mola ambariki,amzidishie,aendelee kumpa moyo wa huruma,wangapi wana mihela hawajathubutu bhanaaaaa!!
 
hamna ukweli hapo leo wanakamati walikuwa wanasema kuwa zimesalia ml. 10 kumsafilisha na jumla ya fedha inayotakiwa ni ml. 25. Kama ndio unataka kuniambia pesa yote katoa peke yake au kuna uchakachuaji !
 
wiki iliyo isha si ulisikia wanalalamika kwamba sajuki kaibiwa hela yote laki 9 kwenye account ya simu? unafikiri kuna nini hapo.wabongo walikua hawajafikisha million 2 mkuu. mi mwenyewe habari nmetoa kwenye radio pendwa.
 
Haya endelea kuchunga ngombe, maana Radio zenu haziaminiki!
 
jamani acheni uongo mbona mke wake sajuki amesema wamepata mil 19 kama jack angekua amechanga hizo hela basi c ingepita milioni 25

Hakuna kisichowezekana, kama mke wake amesema zimepatikana mil 19 bado inawezekana mil 15 zimepatikana kutoka kwa Jack.
Pia kamati imetangaza kuwa bado mil 10 ili Sajuki asafirishwe bado uwezekano huo upo, kuwa Jack ametoa yeye pekee. Wa2 tunazungumza sana juu ya mgonjwa lakini msaada hatutoi.
Yumsubiri Masanja aliahidi kuwarusha hewani katika kipindi chake wa2 wote ambao tayari wamejitokeza kusaidia kumsafirisha mgonjwa, Mungu amsaidie Sajuki apate kupona upesi. Amin.
Jack pekee
 
Habari ndo hiyo. Kumbe wasanii wa bongo wana hela.
Habari ndo hiyo hutaki unaacha.
source Radio pendwa na magazeti pendwa.

Maaavi...
Eti Kabisa huku unabana pua ''Jaqueline Wolper amchangia Sajuki mil 15 za matibabu''.

peleka huu ushuzi Facebook.
Hapa watu hawakurupuki wala kuburuzwa.
 
Maaavi...
Eti Kabisa huku unabana pua ''Jaqueline Wolper amchangia Sajuki mil 15 za matibabu''.

peleka huu ushuzi Facebook.
Hapa watu hawakurupuki wala kuburuzwa.

wewe una akiri fupi kama maisha ya funza. nani kakuburuza? Hutaki unaacha. pumbavu.
 
Jk Hajatoa,??au anasubiri kwenda kusaini kitabu cha maombol....z,.(GOD forbid!) kama kawaida yake?
 
Maaavi...
Eti Kabisa huku unabana pua ''Jaqueline Wolper amchangia Sajuki mil 15 za matibabu''.

peleka huu ushuzi Facebook.
Hapa watu hawakurupuki wala kuburuzwa.

ha ha ha ha Komrediiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..nahene baba!
 
Maaavi...
Eti Kabisa huku unabana pua ''Jaqueline Wolper amchangia Sajuki mil 15 za matibabu''.

peleka huu ushuzi Facebook.
Hapa watu hawakurupuki wala kuburuzwa.

tatizo unavyoambiwa tanzania maskini unafiri wote ni maskini kama wewe....licha ya utajiri bado kutoa ni moyo.!!
 
Back
Top Bottom