Jaribio la kuiba dhahabu katika mgodi wa Geita (GGM) lazimwa

hivi mtanzani hasa wa geita ananufaika nini na huo mgodoi?
 
aaisee.. Hii ni hatari... Ianonekana zoez lilifail baada ya kuuawa huyu kaamanda aliekua na plan nzima
 
huyu jamaa ni mjeshi au? ila suala la kujiuliza kwa nini hiyo dhahabu itokee kwa kiwanja cha ndege cha hapo uwanjani na kwenda direct south africa? nani anaikagua au kuthibitisha kiwango? wanaona tabu gani kuipitishia dar?
 
RIP kamanda pamoja sana.
Hata walio kuua nao ni majambazi tuu.
Au kwa kuwa wao wanatuibia kwakushirikiana na mafixad ccm
 

Good attempt!

Nilitamani kusikia kuwa hawa jamaa wamefanikiwa kuchukua hii DHAHABU maana ni mali yao halali inayoporwa na WAWEKEZAJI UCHWARA. PENGINE TUWAULIZE HAWA POLISI WALIOZIMA JARIBIO HILI LA WIZI NCHI YETU INAPATA FAIDA GANI?

Maaana kiukweli HAWA WENYE NDEGE NDIO MAJAMBAZI WALIOKUWA WANATOROSHA DHAHABU YETU KWENDA AFRIKA KUSINI. Nawaita waizi kwasababu katika DHAHABU hii serikali haiambulii chochote kwa maana ya KODI INAYOTOKANA NA THAMANI ya dhahabu hiyo.
 
tofauti ya huyu jambazi na hao makaburu wanaokwapua bila kutulipa hata hiyo 3% kwa ku-underdeclare ni nini??


kwa upande wangu nadhani ni bora tu majambazi yangechukuwa dhahabu hiyo,maana haitufaidishi kabisaaaaaaaaa,

tena nayashukuru majambazi hayo kutujulisha kuwa kulikuwa na dhahabu za zaidi ya bilioni 1 zilizokuwa zikisafirishwa kwenda nchi ya nje na naimani kabisa kuwa serikali ilikuwa haijui nini kinaendelea juu ya usafirishaji huo,

bila ya hayo majambazi tusingejua nini hua kinaendelea ktk viwanja hivyo vilivyopo ndani ya mgodi huo,inasikitisha sana hivi ni sh ngapi serikali inapata baada ya wao kusafirisha mali ya zaidi ya bilioni 1?
 
tofauti ya huyu jambazi na hao makaburu wanaokwapua bila kutulipa hata hiyo 3% kwa ku-underdeclare ni nini??

Wote wako sawa tu mkuu! Hapo Inamaana kwa mwizi Kaingia mwizi!
 
what is the importance of rescued gold shipment to our national welfare?
 
Kwani mapato ya hizo dhahabu yanatuhusu sisi wadanganganyika pia?? Pole sasa ndugu yetu jambazi kwani izo mali ni za akina ngeleja akiwasaidia kuibia ccm ambao nao ni majambazi tu tena wakubwa zaidi yako brother jambazi, rip
 
Imenisikitisha wamemuuwa kamanda aliyekuwa anapigania maliyake RIP man
 
Huyu Jamaa nadhani ni wa arusha huyu......Kama sio hii ni ile remainderya kina Simoni kimathi(Seymo)
ukicheki swaga zao zinafanana sana kuvaa mashati mengi,suruali ya jeshi mabomu hahahaha....na bulet proof,
na kama kweli jamaa ni kiongozi wao basi ndo walewale wakina kim.....by the way wabongo wachache sana tunaweza kufanya hiyo
kitu..lazima ni wakenya tena wa Isilii( east Leigh)manake jamaa yupo full...AB Tichaz upo wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…