Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna Mungu atakaye kutetea. Unahitaji nini ili ujue Mungu anakutetea? Amekupa dhahabu mali asili isiyopatikana kirahisi. Amekupa mito, bahari na maziwa makuu bado unataka Mungu akutetee.Hawataki kuipitisha Dsm kwani "wanapunguza gharama".
Watz wengi hawajui mambo haya but tujue kila tukio ni darasa. NI KWELI KWAMBA "MAJAMBAZI HAYA" YALIYOOKOA DHAHABU WANAYOITA YAO wana viwanja kwenye karibu migodi yao yote. Hakuna kinachopitia Dsm au TA zaidi ya ule "mchanga wa dhahabu" ambao wanafanya hivyo kutokana na uzito tu.
Eti hukohuko migodini kuna maofisa wawili wa serikali; mmoja wa TRA na mwingine wa TMA wakifanya "uwakilishi"-I'M NOT SURE IF THIS WORKS!!
-Ni kama ile ya kamati teule ya bunge iliyotakiwa kwenda kukagua malalamiko ya wanaMARA huko kwenye mgodi halafu mwekezaji/mlalamikiwa akatuma ndege yake kuwabeba.
TANZANIA ILIPATA UHURU NA BAADAE IKAURUDISHA KWA NGUVU ZOTE NA KUWAAMBIA "HATUWEZI KUJITAWALA"... Inaumiza ila Mungu tu ndiye anaweza
kuwatetea waTZ.
Ni dalili ile ile ya failure of intelligence! Think about it.
Hapa kuna kila dalili ya udanganyifu kwenye picha hizi. Kwanza tukio linaonekana kufanyika usiku, huku jambazi akiwa amevalishwa mawani nyeusi, kitu ambacho hakiingii akilini. pili, picha ya kwanza, akiwa na mask hakuwa amevaa miwani, ila alipotolewa musk, anaonekana amevishwa mawani. which is which? huu ni mchezo mchafu unaofanywa na makaburu wakishirikiana na askari wetu wenye njaa kali, ambao yule mhariri aliyefunguliwa kesi aliwaambia watumie akili zao katika kutekeleza maagizo ya mabosi wao
Hakuna Mungu atakaye kutetea. Unahitaji nini ili ujue Mungu anakutetea? Amekupa dhahabu mali asili isiyopatikana kirahisi. Amekupa mito, bahari na maziwa makuu bado unataka Mungu akutetee.
Hakuna kitu kama hicho huu ni upumbavu ambao hauelezeki. About $2 billion annually n still they don pay tax? Country is being robbed our leaders just struggle to remain in power. Intelligence of the country is doom. It just a puppet of the rulling party to the extent that the threat to Tanzania is CDM n not foreingers who take out billions of money and n leave deadly caves. Intelligence is drunk with CCM rubbish money to the extent that they do not know when beutiful twigas n zebras are taken out by Arab jets.
The solution is only one TAKE CCM OUT n reclaim our right to protect our resources n tape them responsibly.
I work in the mine industry. I know what I am talking about.
Hapo jambazi ni makaburu hao jamaa walienda kuchukua mali ya nchi.
tofauti ya huyu jambazi na hao makaburu wanaokwapua bila kutulipa hata hiyo 3% kwa ku-underdeclare ni nini??
inamaana walimvua kofia ya kuficha uso wakamvalisha miwania au alivaa mwenyewe akiwa amekwishakufa?!!!
Ile picha ya pili pale mbona kama Nyani Ngabu? Yupo hapa my dude kweli?