Akina nan hao mm nawashabikia?Umeona Sasa watu uliokuwa unawashabikia jinsi walivyo wa hivyo!?
Huu ndio ukweli, hatuna chochote cha kufanya zaidi ya kulalamika tu!Wameamua kufanya watakacho na wakifanya hakuna kitu tunafanya ndio maana wanaendelea kuonea watu.
Yaani mtu anakuja kwenye ofisi yako unayolipia kodi na kila kitu kama anaingia kwake aisee hapana tufike sehemu tusitegemee mahakama ni kufanya kitu Dunia inatakiwa ishangae kama utakua hai.Huu ndio ukweli, hatuna chochote cha kufanya zaidi ya kulalamika tu!
ItakuwaHawa mashetani wamechukizwa na Uzi wa britanicca uliotaja location za kambi za watu wanaopotea
MhnnnNaomba mwenye zile taarifa nyeti za Yule big wa Zimbabwe anipenyezee
Kuna mambo yanatokea nchi his ya ajabu sana ila huko mbeleni tutakujaYaani mtu anakuja kwenye ofisi yako unayolipia kodi na kila kitu kama anaingia kwake aisee hapana tufike sehemu tusitegemee mahakama ni kufanya kitu Dunia inatakiwa ishangae kama utakua hai.
Uoga wetu ndo unaowapa kiburi.Yaani mtu anakuja kwenye ofisi yako unayolipia kodi na kila kitu kama anaingia kwake aisee hapana tufike sehemu tusitegemee mahakama ni kufanya kitu Dunia inatakiwa ishangae kama utakua hai.
WanamtandaoAkina nan hao mm nawashabikia?